Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Oh yeah! Hii ni mada sensitive sana inapaswa kusoma kuona michango ya watu yamkini mtu akapanua uelewa na kutokea hapo akaweza kupata shauku ya kuwajua vzr hawa ndg zetu. Actually ni vile hakuna machapisho mengi ya TISS na kazi walizowahi kufanya. Naamini wengi wangewakubali sana
 
Kwenye huu uzi "watu wa kitengo" wanajificha kwenye MIGONGO ya kusema "kuna ndugu yangu,kuna ndugu zangu wanafanya kazi TISS"
Ila hao wenyewe ndo wafanyakazi wa huko,wanatuzuga hapa
 
chizcom ,
Mkuu
Hivyo ni vitengo vinavyofahamika Sana ila USA wana vitengo kama 17 vya mambo ya National Security and Intelligency Agencies ambapo watu wengi wanafahamu hizo units tatu hasa ulizozitaja.
Kuna Homeland Security,kuna DIA
 
suala lako zuri sana
Marekani kuna kitengo FBI hichi kina fanya kazi na maslahi ya ndani ya nchi hakichukuai amri kutoka serikalini au kwa Raisi

Hawa ndio walomtoa Richard Nixon

CIA ni uslama wa taifa kwa nchi zanje na kipo na Raisi wa nchi
Na wale wanajiita SS secret service ni wapi hao?!
 
Oh yeah! Hii ni mada sensitive sana inapaswa kusoma kuona michango ya watu yamkini mtu akapanua uelewa na kutokea hapo akaweza kupata shauku ya kuwajua vzr hawa ndg zetu. Actually ni vile hakuna machapisho mengi ya TISS na kazi walizowahi kufanya. Naamini wengi wangewakubali sana

Wala usijisumbue kuwajua hao hawana mpango
 
Kuna Homeland Security,kuna DIA

SDG ,
Mkuu,
Hivyo vitengo viwili ulivyovitaja ni sawa na ukiongeza na vile vitatu alivyovitaja mkuu mwingine inakuwa idadi ya vitengo 5.

Hivyo, bado vipo 12 zaidi ambavyo havijatajwa hapa ili kufikisha idadi ya 17.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
SDG ,
Mkuu,
Hizvyo viwili ulivyovitaja ni sawa na ukiongeza na vile viatu alivyovitaja mkuu mwingine inakuwa idadi ya vitengo 5.

Hivyo, bado vipo 12 zaidi ili kufikisha idadi ya 17.
Ukweli,DIA sikuwa naijua.
Nimeijua last year wakat naanza kuifatilia series ya The Brave
 
Wengine hatuelewi kitu,ngoja tuwe wasikilizaji
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
Hujamuelewa mtoa uzi.
 
Ukweli,DIA sikuwa naijua.
Nimeijua last year wakat naanza kuifatilia series ya The Brave

SDG,
Tena hiyo DIA ni ya juzi hivi haina zaidi ya 16 years tangia kuanzishwa.

Ilianzishwa baada ya tukio la ugaidi la September, 11.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huu uzi umekaa kimkakati zaidi, kuna kitu mleta mada anajaribu kutaka kukijua?
 
SDG,
Tena hiyo DIA ni ya juzi hivi haina zaidi ya 16 years tangia kuanzishwa.

Ilianzishwa baada ya tukio la ugaidi la September, 11.
Asante sana ndugu kwa kunitoa tongotongo,
USA kwa ulinzi wake yupo makini sana,labda kwakua ana hela
 
Back
Top Bottom