Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

suala lako zuri sana
Marekani kuna kitengo FBI hichi kina fanya kazi na maslahi ya ndani ya nchi hakichukuai amri kutoka serikalini au kwa Raisi

Hawa ndio walomtoa Richard Nixon

CIA ni uslama wa taifa kwa nchi zanje na kipo na Raisi wa nchi

CIA, NSA, and FBI hivi ndivo vitengo vitatu na kila kitengo vina kazi yake
 
That mentality is what I hate about them....

They think they are,but I think they are not that much privileged........Its an illusion they are riding on,they are so average left and right just like you and me....
Wengine tumetamani sana hizo nafasi tukazikosa saizi tumekuja humu na ule msemo Wa sungura Wa sizitaki mbichi hizi. Acha kukebehi na kuwahadaa watu Kijana.ulitumia sample ya wangapi hadi umekuja humu kugeneralize kuwa TISS wanajiona?
 
kiroboto21
Haaa haaaa haaaa haaa teeeh teeeeh.
Acha Poise, ni nicheke kwa huruma.

Mkuu,
hearly , unapewa kijiko cha sumu kilichofunikwa kwa utandu wa asali... Chunga sana mkuu, hiyo inaitwa don't try at home.
Or Park at Your Own Risk.
haaahaa mkuu poise
nimekuelewa ngoja nifunge bakuli langu
yasije yakanifika yale yaliyokuwa yanawafika watu kwa kupitia yule kibaraka wa wajerumani aliyekuwa na sifa ya kuadhibu .kunyonga ama kutesa pale inapobainika kuwa umeidharau serikali ya mabwenyenye hao

jamaa alikuwa anafahamika kwa jina La
mtemakuni
( kwakuwa sitaki kuja kukiona cha mtema kuni) Ngoja nirushe mbawa zangu mie maana ndio sifa ya kunguru muogai

[HASHTAG]#ATUBU[/HASHTAG]
 
Heshima kwako mkuu,
Zakupotea?
BTW jibu lako limekaa kimkakati sana, sidhani kama atajisumbua
Njema Mkuu tumepoteana sana najua ni majukumu ya serikali yanakubana mkuu pole na hongera,

Mkuu jibu langu lipo wazi sifahamu hiyo idara mkuu Wangu

Huwa najihisi bado sijakomaa /sina kifua Cha kuizungumzia mkuu

Mwaka mpya uwe wa baraka kwako Mkuu
 
Yes,I hate'em...wana ile hali ya kujiona wao ni exclusive..kwamba ni tabaka flani la juu la nchi...Hapo tu ndio wanaponifanya niwachukie.....

Halafu kwenye kujifanya wana akili zaidi ya kenge wengine wote.....Kwamba wao ni cream of the crop!
Community of Elite is always superior to other people all around the world
 
Yes,I hate'em...wana ile hali ya kujiona wao ni exclusive..kwamba ni tabaka flani la juu la nchi...Hapo tu ndio wanaponifanya niwachukie.....

Halafu kwenye kujifanya wana akili zaidi ya kenge wengine wote.....Kwamba wao ni cream of the crop!
Hata mwanzo niliamini hivyo kwamba jamaa ni akili kubwa, baada ya jamaa zangu wawili watatu kwenda huko nikagundua ni mchongo tu hawana cha kufatiliwa miaka 60, hawana cha upembuzi ni michongo tu.

bashite kama mabashite wengine tu, ila ukiwa upinzani hata uwe mzuri kichwani vp? uwe na sifa zote hawawez kukuchukua ila nenda hiyenaaaaa hiyenaaaaaaa fasta
 
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
labda tujadili muundo wa TISS, kwamba kuna idara moja inaiharibia tashwira nzima ya Tiss. lakini upuuzi wote unaoendelea nchii TISs wanahusika moja kwa moja

kuna idara ndani ya TTiss inahusika na siasa. Idara hii zamani ilikuwa chini ya Jack Zoka/Madafa kazi ya idara hii ni kukandamiza upinzani wa kisiasa dhidi raisi au chama tawala

1. aliyemtesa na kumuumiza ulimboka
Ighondu ni mwana kitengo
2.aliyemtishia nape bastola naye pia ni mwana kitengo
3.waliomshambulia lissu nao walitoka kitengo

kama taasisi nyeti inatuhumiwa kushiriki kuibia nchi, kwa kuchota mapesa kwa magunia kutoka bank ya stanbic hapo kuna tatizo,

ninachokiona majukumu ya taasisi yamehama kutoka kuwa usalama wa taifa na kuwa usalama wa genge LA majambazi wachache wanaog'ang'ania madaraka
 
Kaka,mimi sijabobea katika hayo mambo ya usalama sema kuna watu wengi wa karibu(ndugu zangu) wanafanya kazi katika hiyo IDARA.Kukujibu swali lako,wanaintelijensia na wale bodyguards wanaovaa airfon,wote ni waajiriwa wa TISS(president office),kuna mwanafamilia aliingia enzi zile kwenye IDARA,kipindi hicho walikuwa wanafundishwa huo mfumo Wa radio na WAKYUBA,lakini katika hilo kundi,ndani palikuwa na hao wapelelezi(intelligencia) na hao walinzi(bodyguards),lakini baada ya kumaliza mafunzo hayo na mengine yeye akachaguliwa kwenye kundi la Intelligencia lakini anajua kila kitu kuhusu radio,na wengine wakawa bodyguards lakini walipitia mafunzo karibia yote ya intelligencia,hawa wote wawili ni makomandoo,lakini bodyguards baada ya kuchaguliwa uwa kuna mafunzo special wanapitia kabla ya kupangiwa kazi na hao intelligencia kuna mafunzo pia wanapitia baada ya kuchaguliwa,so inshort hao wote ni makomandoo na kila mmoja anaweza kufanya kazi ya mwenzake lakini utengenishwa na viongozi wanaowafatilia wakati Wa mafunzo,nafikiri nimekujibu vizuri Kaka
Heshima yako mkuu,
Aisee umefafanua vizuri sana, mpaka vilaza wameelewa,
 
Mbona tunasikia kuna kitengo ndani ya TISS kinaitwa Presidential Security unit PSU? Wanajeshi wanamlinda Rais???? je command inatokea wapi?
Ulinzi wa Rais ni fivefold. Analindwa na vikosi vyote vya ulinzi na usalama na kila kikosi kina kamanda wake anayeripoti kwa rais.

Polisi. Wanajeshi (wa ardhini angani na majini) FFU Mgambo Raia TISS na Magereza wote wanamlinda rais.

Wanajeshi ndio top na ndio jamaa alikiwa anawasema.
 
MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA

Exactly, SERIKALI -SIRI KALI
 
Njema Mkuu tumepoteana sana najua ni majukumu ya serikali yanakubana mkuu pole na hongera,

Mkuu jibu langu lipo wazi sifahamu hiyo idara mkuu Wangu

Huwa najihisi bado sijakomaa /sina kifua Cha kuizungumzia mkuu

Mwaka mpya uwe wa baraka kwako Mkuu
Hahaha hahaha mkuu mimi bado na hangaika na bahasha yangu mkononi, sijawahi kuwa mtumishi wa serikali,
Sentensi zilizosalia tuna fanana pakubwa sana
Nadhani mwakani tutakutana tena hapa
 
Masuala ya usalama wa nchi hayajadiliwi kwenye mitandao kama mnavyofanya.
Mtaishia kuliwazana tu, lakini ukweli wa masuala ya usalama wa nchi mtajitahidi kuujua kwa 7% tu.
 
Yes,I hate'em...wana ile hali ya kujiona wao ni exclusive..kwamba ni tabaka flani la juu la nchi...Hapo tu ndio wanaponifanya niwachukie.....

Halafu kwenye kujifanya wana akili zaidi ya kenge wengine wote.....Kwamba wao ni cream of the crop!
🙂 wale ni cream sio ! Hahaha
 
Back
Top Bottom