Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
Tiss ina vitengo vingi mkuu ni kama unavyoona jeshi la polis na mfumo wake yaani unategemea ukiingia huko unacover kitengo gani kulingana na elimu ujuzi na kadhalika.. ila asilia kubwa ni usiri na akili nyingi na maarifa ya juu
 
Kweli kabisa mkuu
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
Umejitahidi kumjibu nadhani ataridhika
 
Poole Mkuu, ila asilimia kubwa wako peace saana na usishangae wengine unakunywa nao kahawa na story kwa saana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila I hate em...with passion!

F**'em!
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Acha uongo
 
Uko sawa kabisa mimi sina siri wala sina kiapo,mimi nimehoji katika misingi ya uzalendo na ukweli kwamba kama mwananchi naamini kwamba sio sawa kwa TISS kuhusishwa na matukio ya kihuni na ni dalili mbaya kama TISS ambao wana wajibu wa ku neutralize mambo watahusishwa na maswala ambayo kimsingi yanashusha hadhi na heshima ya Taasisi

Over
Kifupi wanatakiwa kuwa neutral and not otherwise
 
TISS ni taasisi kama zilivyo taasis nyingine nikupe mfano tu mdgo ndani ya jeshi LA police kuna idara kama zifuatazo
1.police traffic
2.police Cid
3.police field force FFU
4.police GD
5.police intelligence do not confuse with Cid.
Kwa mfano huo TISS nayo inaidara zake ndani hata recruitment zake ni tofauti idara moja na nyingine mfano utakuta kuja idara
1.Presidential security unit PSU maalum kulinda viongoz wakuu wa nchi
2.kuna usalma wa taifa kitengo cha maswala ya uchumi wa nchi
3.usalam kitengo cha maswala ya kuzuia uharifu wa kimitandao
Kwa hyo PSU ni kitengo ndani ya TISS wakuu wa idara wote wanaripot kwa mkurugenzi mkuu anayeitwa Dr kipilimba
Duh
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
Ndo tabu ya kukariri... Ingia google bas alaf andika TISS TZ utaelewa ndugu
suala lako zuri sana
Marekani kuna kitengo FBI hichi kina fanya kazi na maslahi ya ndani ya nchi hakichukuai amri kutoka serikalini au kwa Raisi

Hawa ndio walomtoa Richard Nixon

CIA ni uslama wa taifa kwa nchi zanje na kipo na Raisi wa nchi

Jaribu kuwa serious inamaana content yote hiyo ya mleta mada amejieleza kuhusu intelijensia,usalama wa Taifa nk hujaelewa? Umesoma level gani wewe ushindwe kutofautisha TISS Tanzania intelligence and security services na Tanzania interbank yako ya biashara.
Mleta mada yuko sahihi na hilo neno sio geni hasa kwa mtu unaepita mitandaoni ndio neno hutumiwa.

Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
Saruti mkuu
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Fafanua zaidi mkuu naona kama umeishia njiani
 
Kuna mambo ya kujadili in pub ila kuhusu mada km hii hakuna chochote cha kutaka kujua hapa unadhani n nani mhusika atakaetoa taarifa hizo mzitakazo? Pia mnazitaka ili iwe vipi,kuna mambo ambayo hayana faida kuulizia, labda mtapapasa tu mkiwa ndani ya giza mkakuta mnapoteza mda bure tu.

Mleta madai hii unataka nani akuletee taarifa ya kweli ili uifanyie nn?

Je,ingekuwa ww ndo uko huko ndani ungetoa siri za hauko? Km,usingetoa unataka nani akuletee aliyeko huko ndani.

Chungeni site zenu yasiyowahusu kaa nazo mbali.
Wewe vipi Acha kuleta Ujima, TISS sio autonomous Ivo acha wavuja jasho na kutoa kodi waulizie utendaji wake panapowezekana mana Idara hio inatutegemea sisi wavuja jasho kulipa kodi ili ijiendeshe, Ivi mnazichukuliaje izo Agencies hamjui Dunia imetanuka na Mambo mengi yanahitaji kuinvolve jamii direct na kupata Opinion zao, Mkikaa kijima ivi idara itajaa ndugu ambao hakuna utendaji kwa mgongo wa Usiri we ujui TISS kila wilaya na mkoa wana Ofisi zao , sasa za nini? Hujui mpaka wana HQ kijitonyama?

Naelewa kuna Classifieds informations Ziendelee kuwa siri ila yanayozungumzika wacha yasemwe tu hii italeta motivation kwa hao watendaji, Uzi bado una afya ndio mana unaona bado upo ukiwa threat mods wataondoa tu
 
Back
Top Bottom