Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Kaka,mimi sijabobea katika hayo mambo ya usalama sema kuna watu wengi wa karibu(ndugu zangu) wanafanya kazi katika hiyo IDARA.Kukujibu swali lako,wanaintelijensia na wale bodyguards wanaovaa airfon,wote ni waajiriwa wa TISS(president office),kuna mwanafamilia aliingia enzi zile kwenye IDARA,kipindi hicho walikuwa wanafundishwa huo mfumo Wa radio na WAKYUBA,lakini katika hilo kundi,ndani palikuwa na hao wapelelezi(intelligencia) na hao walinzi(bodyguards),lakini baada ya kumaliza mafunzo hayo na mengine yeye akachaguliwa kwenye kundi la Intelligencia lakini anajua kila kitu kuhusu radio,na wengine wakawa bodyguards lakini walipitia mafunzo karibia yote ya intelligencia,hawa wote wawili ni makomandoo,lakini bodyguards baada ya kuchaguliwa uwa kuna mafunzo special wanapitia kabla ya kupangiwa kazi na hao intelligencia kuna mafunzo pia wanapitia baada ya kuchaguliwa,so inshort hao wote ni makomandoo na kila mmoja anaweza kufanya kazi ya mwenzake lakini utengenishwa na viongozi wanaowafatilia wakati Wa mafunzo,nafikiri nimekujibu vizuri Kaka
Mkuu makomando ni hawa JW pale sanga sanga au 92??
 
TISS ni Watanzania wenye Uzalendo na Taifa lao! Ni wewe na mimi bila kujali kama tumeajiriwa katika TISS kwa sababu bila wewe na mimi TISS haiwezi kufikia malengo ya kuanzishwa na kuwepo kwake! Yaani TISS inatutegemea sisi katika kufanya kazi. It need to be fed with Intelligence from us....

Hivi wale informers wa TISS wanatapikana vip?? na je wapo kwenye payroll ya TISS maana bila hao hakuna TISS
 
Kama lilivyo jina lao, kazi yao kubwa ni kulinda usalama wa taifa.
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Sio kwamba wanapitia TISS...
 
Hongera mkuu, kumbe ukikaa sana makambi ya jeshi unanona sana mapaka unatapika hivyo aloo uko vizuri
 
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI

Maku
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
TISS yetu imegeuka kuwa usalama wa ccm na viongozi wake, imepoteza credibility ya usalama wa TAIFA
 
MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA
Kuna mambo ya kujadili in pub ila kuhusu mada km hii hakuna chochote cha kutaka kujua hapa unadhani n nani mhusika atakaetoa taarifa hizo mzitakazo? Pia mnazitaka ili iwe vipi,kuna mambo ambayo hayana faida kuulizia, labda mtapapasa tu mkiwa ndani ya giza mkakuta mnapoteza mda bure tu.

Mleta madai hii unataka nani akuletee taarifa ya kweli ili uifanyie nn?

Je,ingekuwa ww ndo uko huko ndani ungetoa siri za hauko? Km,usingetoa unataka nani akuletee aliyeko huko ndani.

Chungeni site zenu yasiyowahusu kaa nazo mbali.
 
Mwanaume muoga mpaka unaogopa kutumia Jina lako
Mwanaume jasir wa maneno matendo kunguru

Mwanaume wa aina gani hivi tusimame hadharani hata wanaofanya wajue tumewachoka

Kuwa mwanaharakati afu ukawa muoga ni bora tusimame na maiti kuliko wewe

Itasaidia
Itatupa nguvu
Itatupa spirit ya kutimiza malengo
Tupate ujasir kudai haki tusimame hadharani

Angalau hata kwa kuanza kutumia full name illwanaharakati na wazalendo tujuane
TISS yetu imegeuka kuwa usalama wa ccm na viongozi wake, imepoteza credibility ya usalama wa TAIFA
Mwanaume muoga mpaka unaogopa kutumia Jina lako
Mwanaume jasir wa maneno matendo kunguru

Mwanaume wa aina gani hivi tusimame hadharani hata wanaofanya wajue tumewachoka

Kuwa mwanaharakati afu ukawa muoga ni bora tusimame na maiti kuliko wewe

Itasaidia
Itatupa nguvu
Itatupa spirit ya kutimiza malengo
Tupate ujasir kudai haki tusimame hadharani

Angalau hata kwa kuanza kutumia full name illwanaharakati na wazalendo tujuane
 
MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA
Yeah ni boora kuongea machache, mwenye kutaka kukuelewa atakuelewa
 
Yes,I hate'em...wana ile hali ya kujiona wao ni exclusive..kwamba ni tabaka flani la juu la nchi...Hapo tu ndio wanaponifanya niwachukie.....

Halafu kwenye kujifanya wana akili zaidi ya kenge wengine wote.....Kwamba wao ni cream of the crop!
Poole Mkuu, ila asilimia kubwa wako peace saana na usishangae wengine unakunywa nao kahawa na story kwa saana.
 
Kinachoniuzi kwenye kazi hiyo ni viapo vyao.maana mtu unakuta anatumwa kazi ya hovyo kabisa na unajua kabisa kazi hii ni kwa maslahi ya mtu lakini unaenda tu.ni ujinga kabisa.
NINGEKUA NAFANYA HII KAZI ,MTU AKITOKEA HATA AWE NANI NIKIGUNDUA ANANUTUMA KAZI YA HOVYO NAANZA NA YEYE NAMPA YA KICHWA TU ,BASI.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom