Inspirational Speakers wazidi kupungua

Inspirational Speakers wazidi kupungua

Poor you. Huwezi ku-understimate role ya inspirational speakers. Jamii ina matatizo mengi mengine yakiwa ni Uvivu, Ugonjwa wa akili na Sonona etc. Hawa watu wanastahili kupewa message ya kuwakumbusha kuwa hawajachelewa to be what they wanna be. Inspirational speak wengi huja ku-share skills zao na perception kuhusu maendelo or Jinsi ya Kujikwamua. Lakini kwa Akili yako ndefu na Pana, Umewaona ni wapiga dili!! Hahaha...

As a parent, nakushauri ufanye kazi kwa bidii, usome or usomeshe saana na timiza wajibu wako kama mwafrika. Adui yako naona yuko ndani yako...
Mmoja wao
 
Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Tunakwenda mbele au tunarudi nyuma?Hao ni muhimu sana hoja ingekuwa fani kuvamiwa na wasiohusika.
 
Wewe apo umefaidika na nini sasa labda.

Watu kma nyie mkifatliwa lazima mmetoka ukoo za watu wenye tabia za kichawi alafu hizi koo ndyo zimejaa Tanzania. Na ndyomaanin Tz haiendelei.
 
Back
Top Bottom