Inspirational Speakers wazidi kupungua

Inspirational Speakers wazidi kupungua

Kuna Sister nilikutana naye kwenye basi kwa jinsi nilivyopauka kwa vumbi la mkaa akajua labda nina ngoma,akanipa kikaratasi akitangaza wanayo hospital inatoa tiba mdabala,inatibu magonjwa sugu na bla bla bla kibao,cha kushangaza huyo siter alikuwa anakohoa kinoma,nikajiuliza mbona na yeye hajitibu kwa hizo tiba mbadala?

Utakutana na hawa watu wanaouza mafuta sijui yanaondoa chunnusi na bla bla kibao,yeye anayeuza hayo mafuta uso wake una chunusi utafikiri fenesi au wanauza dawa za meno kwa kusema zinangarisha meno na bla bla kibao,ukiyacheck meno ya huyo muuzaji utafikiri ni Shabiki wa yanga.

Huwa sinaga upuuzi wa kusikiliza watu wa type hizo.
Mm hapo ndipo niniposhindwa kuwaelewa kabisa
 
Bado hawa wa semina za ujasiliamali, eti wameajiriwa kufundisha watu wajiajiri wawe matajiri. Sijui wenyewe hawautaki huo utajiri!!!!
Wale wanakupa faida tu lakini hasara hata hawagusi utasikia

"Ukifuga kuku 300 utakua na Uwezo wa kupata mayai 150 kwa siku minimum, trey moja ya mayai n elf 12 minimum sasa mayai 150 ni trey 5 kwa hiyo utaweza kuingiza elf 60 kwa siku minimum"

Pumbavu hawaongelei hasara endapo kuku wakifa, au wakapata magonjwa, ukakosa soko la mayai, kuku wakashindwa kutaga
 
Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Hizi ndio Akili za wadandanyika wengi wanaamini akianguka mwenzie yeye ndio atafanikiwa
 
Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Hawa ni matapeli wana vaa suti na tãi.

Unakuta majitu hayataki kwenda Shamba yanakimbilia mini kupiga domo tuu na kuyafanya maisha yaonekane rahisirahisi huku yenyewe yakichukua pesa ya kiingilio.

Eti motivational speaker pwambaffu
 
Poor you. Huwezi ku-understimate role ya inspirational speakers. Jamii ina matatizo mengi mengine yakiwa ni Uvivu, Ugonjwa wa akili na Sonona etc. Hawa watu wanastahili kupewa message ya kuwakumbusha kuwa hawajachelewa to be what they wanna be. Inspirational speak wengi huja ku-share skills zao na perception kuhusu maendelo or Jinsi ya Kujikwamua. Lakini kwa Akili yako ndefu na Pana, Umewaona ni wapiga dili!! Hahaha...

As a parent, nakushauri ufanye kazi kwa bidii, usome or usomeshe saana na timiza wajibu wako kama mwafrika. Adui yako naona yuko ndani yako...
Mbona haya majibu yanalundikana mijini tu?

Kama kweli mbona hayeendi kumotivate watu kule nanyumbu, nanjilinji, manyovu ama kule ziwani nyasa?

Mjini ndio ndio penye pesa ya kutapeli . Mtaji wa Tapeli ni ujanjaujanja na kusukasuka maneno matamu kwa njia za kilaghai kwa lengo la kujipatia fedha.

Najua matapeli wa aina hii wasiopenda kutoa jasho wapo wengi humu na ndio hawa kama wewe povu linamwagika mkiambiwa mnasema mnaonewa wivu.

Namshukuru Mh Magu anatufanya tuishi mijini kwa kufanya kazi na sio ujanja ujanja tu.

Nawashauri hawa wajinga wakamotivate huko vijijini huku mjini watu washajitambua tayari.
 
Yani mtu anayesema ukweli anaitwa tapeli lakini yule muongea uongo kwenye majukwaa ndio anaonekana malaika
 
Wenzetu wachambuzi wanakua angalau waliwahi kucheza mpira angalau ligi ya kimataifa huku kwetu Kitenge, edokumwembe na Kibonde mpira wa kusoma magazetini nae anajiita mchambuzi wa soka
Hao wote wachumia tumbo tu. Wavivu wa kuingia mitandaoni ndio watamsikiliza sijui Kumwembe, Dr Likey nawengine. Angalau Mayai naweza kumsikiliza kwa sababu ni footballer
 
Sijui hii roho mbaya ya kutotaka wengine wafanikiwe tumerithi kwa nani Watanzania??
Yaani mtu anafurahi kabisa mtanzania mwenzake anaposhindwa kuendelea(financially), tena pengine ndio anakwambia kabisa Utalimia meno, seriously. Vijana pambaneni mkatafute maisha nje ya Nchi yenu, mtakufa masikini huku mnajiona!🙌🙌
 
Back
Top Bottom