Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,574
- 1,996
Noted
Mkuu uje useme lakini hapo kwa marais na wafanyabiashara wakubwa uwe makini sana....
Nitakuja kusema huko mbeleni kwenye makala zingine ni kwa nini uwe makini....
Tuombe uzima mkuu....
MkuuOkay, nimerejea kama nilivyoahidi. Pia nimezingatia angalizo lako.
Maisha ya binadamu huwa yamezungukwa na layers (hatua) nne katika kuhakikisha anapiga hatua kuelekea mafanikio yake, layers ambazo huwa zinamsukuma kufanya mambo (wakati mwingine bila yeye mwenyewe kujua). Layers hizi ndizo huchagiza msukumo wake kuelekea maendeleo au kushindwa kwake.
Ndiyo maana nikasema mambo mengi sana huwa yanaanzia kwenye ulimwengu usioonekana (ulimwengu wa roho) kabla hayajaonekana kwenye ulimwengu wa mwili.Mkuu
Nimekusoma sana tena sana na nimekuelewa kirahisi sana...
Niliposema kwamba uwe makini kwenye kuwaelezea hawa viongozi wa kisiasa nilikuwa na maana kubwa sana.Ngoja tu Mungu akijaalia usima kuna makala moja naihangaikia kumhusu kiongozi mmoja mashuhuri sana duniani na kuna kitu utakielewa tu....
Mkuu,maisha hayapo kama tunavyoyaona,matukio na namna watu wanavyofanikiwa siyo kwa kufuata kanuni zinazouongoza ulimwengu huu ambazo hizo hatua ulizozisema ni sehemu yake....
Tutaelewa tu mkuu kadiri tunavyoendelea kuishi na kutafiti,tuombe uzima tu mkuu.....
Sijaweza kujua lakini kutokana na baadhi ya watu waliokuwa karibu na Morgan Robertson wanadai kuwa aliwahi kuandika hicho kitabu lakini haijulikani kilikwenda wapi.....
Inabidi tuanzishe uzi wa series ya Lost kupata maana yake zaidi.Everything is under watch hapa dunia,..ni masterplan ambazo huwez fikiria kama zna exist...kuna series moja ya LOST ukiiangalia vzur kwa umakin unaweza pata picha flan,af huyu grand master planner huwa anatoa clues flan sema kwasabab humans ni tomaso,so hua hatuoni.
Mkuu kuna watu hawatumii au kufuata hizo kanuni unazozisema hapo.....Ndiyo maana nikasema mambo mengi sana huwa yanaanzia kwenye ulimwengu usioonekana (ulimwengu wa roho) kabla hayajaonekana kwenye ulimwengu wa mwili.
Mara nyingi huwa tunafanya au kusukumwa kufanya mambo ambayo hatujui kwamba tayari yamekwisha fanyika kwenye ulimwengu wa roho, ila kinachofanyika kwenye ulimwengu wa mwili huwa ni kukamilisha tu process. Hizo hatua nilizozianisha ni sehemu tu ya ulimwengu huo (bila sisi ku-notice).
Formula ni ileile tu, ni kama vile mtu anapoamua kuandika na kuchapisha kitabu au gazeti, kabla kitabu (au gazeti) hakijatoka na kusomwa, huanzia kwanza kwenye kitu kinachoitwa soft copy (ulimwengu wa roho), na baadaye ndipo huja hard copy (ulimwengu wa mwili)...
Ni kweli,nakubaliana na wewe. Hii moja tu ya formula, ingawa sio lazima kila mtu apitie hatua hizi, lakini bado zinabaki kuwa ndizo layers zinazowazunguka bila wao kujua...Mkuu kuna watu hawatumii au kufuata hizo kanuni unazozisema hapo.....
MkuuNi kweli,nakubaliana na wewe. Hii moja tu ya formula, ingawa sio lazima kila mtu apitie hatua hizi, lakini bado zinabaki kuwa ndizo layers zinazowazunguka bila wao kujua...
Okay!...Mkuu
ninachotaka kusema hapa ni kwamba kuna kundi kubwa kiasi la wanadamu ambao wameweza kupata access ya siri ambazo binadamu hakupaswa kuzijua...
Ngoja aje na Bishop Hiluka anaweza kukupa mawazo zaidi mkuu...mkuu mleta post kwanza bravo sana Kwa story hii ila sometimes kun baadhi ya matukio na siku huwa naziona kama nishashaziishi hizo siku na vitendo vilevile huwa naona kama nilishawahi kuvifanya....hii sijui imekaaje...cc mkuu blaki womani
Niliomiangalia 3 yrs ago...mpaka leo naona maruerue tuuEverything is under watch hapa dunia,..ni masterplan ambazo huwez fikiria kama zna exist...kuna series moja ya LOST ukiiangalia vzur kwa umakin unaweza pata picha flan,af huyu grand master planner huwa anatoa clues flan sema kwasabab humans ni tomaso,so hua hatuoni.
Mkuu bado hujakata kiu yanguInajulikana kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1830 Amerika bado ilikuwa haijawa na Benki Kuu wakati majasusi hawa wa Ki-Italiano walihitaji benki nyingine Amerika ambayo wangetumia kuchota fedha kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya vita na ajenda nyingine za siri duniani kote.
Mnamo mwaka 1910 karibu na pwani ya Georgia katika kisiwa cha Jekyll wanaume saba walikutana kwa lengo la kuanzisha benki hiyo ambayo ingeitwa Benki ya Akiba. Hapa ninawazungumzia Nelson Aldrich na Frank Vanderlip ambao waliwakilisha taasisi ya fedha ya tajiri Rockefeller; Henry Davison, Charles Norton na Benjamin Strong waliowakilisha kampuni ya J.P, wengine ni Morgan na Paul Warburg waliowakilisha benki ya Uropa ijulikanayo kama Rothschilds ambayo ilikuwa ni wakala wa Kipapa ikifanya kazi moja tu, nayo ni kulinda utajiri wa kanisa la Katoliki.Ujenzi wa meli ya Titanic ulianza mnamo mwaka 1909 katika karakana ya kutengeneza meli ya Belfast, mji mkuu wa Ireland Kaskazini ukiwa na waumini wengi wa Kiprotestanti ambao walikuwa ni maadui wakubwa wa Jesuits katika harakati zao za kusimika Ukatoliki duniani.
Hii ilitokana na hofu kwa Jesuits kwamba watu hawa wangeweza kutumia umaarufu na utajiri wao kuzuia kuwepo kwa Benki ya Akiba. Na kwa kuwa hawa ni watu ambao walipenda starehe na kuponda raha, ni lazima wangependa kuishi ndani ya Titanic ambayo iliundwa maalumu kama kaburi lao bila kujua.
mkuu hiyo kitu ni deja vu.....things ambazo ur sub cons mind inakuw imeshuhudia, Katik uliwengu wa kiroho unakiwa vimefunuliwa then vikija hapen, unaanz ona viti vinajirudia.Uzi mzuri naomba unitagi kwenye nyuzi zako nyingine.
Kama mm siwezi panda hata nikiwa na uwezoHii ni meli inayotengenezwa baada ya ile ya kwanza kuzama....
Inatengenezwa ili ije ifanye safari kitoka kule kule Southampton kuelekea New York....
Meli hii inatengenezwa Australia na kampuni ya CSC Jinling,Nanjing....
Meli hii itagharimu dola mil 500...
Meli hii ni mali ya kampuni ya Blue Star line....
Itakuwa na urefu wa futi 883 na kampuni itakayomiliki meli hii iko chini ya billionea Clive Palmer ambaye ni mwenyekiti wa kampuni.......