Insane coincidence: Futility and Titanic

MI NAPITA TU HAPA, Mkuu shusha nondo nasubiria majibu mubashara uliyoulizwa hapo juu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Heshima Mkuu, Blaki.

Nadhani binadamu mwenye sifa za kinabii ndiye mwenye uwezo wa kutabiri jambo then baada ya muda utabiri wake hujidhihirisha.

Hivi tuite ndoto au maono?.Au yote kwa pamoja?.

Salama sana mkuu

nafikiri tuite vyote maana unaweza kuoteshwa kama YUSUPH wa kwenye Biblia
Huyo jamaa aliyeandika kitabu na baadaye kuja kutokea kama alivyoandika na bado kifo chake utata mtupu inaonekana kuna kitu zaidi ya hapo.
 
Wabheja sana.
 
Historia ya jamaa inaonesha alikuwa "wa kawaida sana" na wengine walikuwa wakidhani alikuwa na matatizo ya akili....

Kifo chake nacho ni cha kustaajabisha sana maana alikutwa akiwa amekufa kwenye chumba cha hoteli.Wakati Morgan robertson anaishi hakukuwa na wazo la meli hiyo kutengenezwa hadi miaka mingi kidigo baadaye....

Hapo ndipo ugumu wa jambo hili unapokuja....

Matatizo ya akili tena? daaahh kuna kitu hapo
yawezekana ni tukio lililopangwa siku nyingi naye akateuliwa kuandika kitabu ili isijeeleweka baadae litakapotokea
swali la kuendelea kujiuliza na abira je ?
 
Pia ni vyema tukawajua hawa kina Ismay na mrs astor walikuwa ni kina nani na kwa nini waliatract public interests,vifo vyao vilikuwaje latter on?pia walikuwa wanajihusisha na taasisi gani?
Inajulikana kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1830 Amerika bado ilikuwa haijawa na Benki Kuu wakati majasusi hawa wa Ki-Italiano walihitaji benki nyingine Amerika ambayo wangetumia kuchota fedha kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya vita na ajenda nyingine za siri duniani kote.

Mnamo mwaka 1910 karibu na pwani ya Georgia katika kisiwa cha Jekyll wanaume saba walikutana kwa lengo la kuanzisha benki hiyo ambayo ingeitwa Benki ya Akiba. Hapa ninawazungumzia Nelson Aldrich na Frank Vanderlip ambao waliwakilisha taasisi ya fedha ya tajiri Rockefeller; Henry Davison, Charles Norton na Benjamin Strong waliowakilisha kampuni ya J.P, wengine ni Morgan na Paul Warburg waliowakilisha benki ya Uropa ijulikanayo kama Rothschilds ambayo ilikuwa ni wakala wa Kipapa ikifanya kazi moja tu, nayo ni kulinda utajiri wa kanisa la Katoliki.Ujenzi wa meli ya Titanic ulianza mnamo mwaka 1909 katika karakana ya kutengeneza meli ya Belfast, mji mkuu wa Ireland Kaskazini ukiwa na waumini wengi wa Kiprotestanti ambao walikuwa ni maadui wakubwa wa Jesuits katika harakati zao za kusimika Ukatoliki duniani.

Hii ilitokana na hofu kwa Jesuits kwamba watu hawa wangeweza kutumia umaarufu na utajiri wao kuzuia kuwepo kwa Benki ya Akiba. Na kwa kuwa hawa ni watu ambao walipenda starehe na kuponda raha, ni lazima wangependa kuishi ndani ya Titanic ambayo iliundwa maalumu kama kaburi lao bila kujua.
 
Foolish people can't join dots.
Both of them, failed to make a smart decision instead they made a decision.

That's a proper answer.
 
Mkuu mm niliota mama yangu kafariki baada ya miaka mitatu tukio likarudia vile vile paka nikajua naota tena kumbe nipo kwenye uhalisia ni kama nilimuadithia kifo chake kitavyo kuwa kwasababu niliota nikamuambia mama nimeota umekufa nikamudithia ndoto yote na siku aliyokufa kweli akuna ata tukio moja lililoenda tofauti na nilicho kiota

Aise pole sana mkuu

ilishawahi kukutokea tena baada ya ile ndoto ya kifo cha mama yako?
 
Mkuu mm niliota mama yangu kafariki baada ya miaka mitatu tukio likarudia vile vile paka nikajua naota tena kumbe nipo kwenye uhalisia ni kama nilimuadithia kifo chake kitavyo kuwa kwasababu niliota nikamuambia mama nimeota umekufa nikamudithia ndoto yote na siku aliyokufa kweli akuna ata tukio moja lililoenda tofauti na nilicho kiota
Mkuuu twende kwenye jukwaa la wazee wenzangu wa kuweka mzigo unaweza kuwa mwarobain wa mikeka.
 
Hii ni meli inayotengenezwa baada ya ile ya kwanza kuzama....

Inatengenezwa ili ije ifanye safari kitoka kule kule Southampton kuelekea New York....

Meli hii inatengenezwa Australia na kampuni ya CSC Jinling,Nanjing....

Meli hii itagharimu dola mil 500...

Meli hii ni mali ya kampuni ya Blue Star line....

Itakuwa na urefu wa futi 883 na kampuni itakayomiliki meli hii iko chini ya billionea Clive Palmer ambaye ni mwenyekiti wa kampuni.......
Namaanisha.
huyo mwandishi alichokiandika kuhusu atlantic 2 ni nini, kwa ufupi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Inajulikana kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1830 Amerika bado ilikuwa haijawa na Benki Kuu wakati majasusi hawa wa Ki-Italiano walihitaji benki nyingine Amerika ambayo wangetumia kuchota fedha kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya vita na ajenda nyingine za siri duniani kote.

Mnamo mwaka 1910 karibu na pwani ya Georgia katika kisiwa cha Jekyll wanaume saba walikutana kwa lengo la kuanzisha benki hiyo ambayo ingeitwa Benki ya Akiba. Hapa ninawazungumzia Nelson Aldrich na Frank Vanderlip ambao waliwakilisha taasisi ya fedha ya tajiri Rockefeller; Henry Davison, Charles Norton na Benjamin Strong waliowakilisha kampuni ya J.P, wengine ni Morgan na Paul Warburg waliowakilisha benki ya Uropa ijulikanayo kama Rothschilds ambayo ilikuwa ni wakala wa Kipapa ikifanya kazi moja tu, nayo ni kulinda utajiri wa kanisa la Katoliki.Ujenzi wa meli ya Titanic ulianza mnamo mwaka 1909 katika karakana ya kutengeneza meli ya Belfast, mji mkuu wa Ireland Kaskazini ukiwa na waumini wengi wa Kiprotestanti ambao walikuwa ni maadui wakubwa wa Jesuits katika harakati zao za kusimika Ukatoliki duniani.

Hii ilitokana na hofu kwa Jesuits kwamba watu hawa wangeweza kutumia umaarufu na utajiri wao kuzuia kuwepo kwa Benki ya Akiba. Na kwa kuwa hawa ni watu ambao walipenda starehe na kuponda raha, ni lazima wangependa kuishi ndani ya Titanic ambayo iliundwa maalumu kama kaburi lao bila kujua.

Mkuu hebu endelea kutupia nondo hapa tunaendelea kupata mengine yaliyotokea kwenye ajali hiyo.

kwa mtizamo huo kuna mengi yamejificha.......
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Namaanisha.
huyo mwandishi alichokiandika kuhusu atlantic 2 ni nini, kwa ufupi
Sijaweza kujua lakini kutokana na baadhi ya watu waliokuwa karibu na Morgan Robertson wanadai kuwa aliwahi kuandika hicho kitabu lakini haijulikani kilikwenda wapi.....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Matatizo ya akili tena? daaahh kuna kitu hapo
yawezekana ni tukio lililopangwa siku nyingi naye akateuliwa kuandika kitabu ili isijeeleweka baadae litakapotokea
swali la kuendelea kujiuliza na abira je ?
Ujuwe kuna mengi kwenye jambo hili na mara zote ukilifuatilia utaishia kubaki na maswali yasiyokuwa na majibu....

Huyu mtunzi alikufa kifo cha "ajabu" kabisa na alizikwa kwenye makaburi ya kwao lakini haijulikani ndugu wala watu wengine wa familia yake....

Kimsingi huwezi kuwa na tukio la namna hii halafu ukaacha mtu ambaye "kwa bahati" aliandika |hadithi ambayo inafanana na ajali hiyo....
 
Inajulikana kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1830 Amerika bado ilikuwa haijawa na Benki Kuu wakati majasusi hawa wa Ki-Italiano walihitaji benki nyingine Amerika ambayo wangetumia kuchota fedha kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya vita na ajenda nyingine za siri duniani kote.
Mkuu endelea kusema kuhusu hili...

Ninafahamu baadhi ya haya unayoandika hapa,hebu maliza halafu tuone kama inaweza kutusaidia kuelewa chochote kilichosababisha yote haya....
 
Back
Top Bottom