Insane coincidence: Futility and Titanic

Insane coincidence: Futility and Titanic

Mkuu eiyer Mimi niliacha kabisa kupost jamii intelligence, hawa jamaa wanachokifanya ni kero kubwa sana. Mtu unaweka thread inabidi usubiri siku 3 ili ije kuonekana. sijui hua wanaedit nini, yani bado sijaelewa, maana hata wakiachia unakuta thread iko vile vile kama ulivyoipost.

Uongozi wa JF watuletee moderator specific kwajili ya jamii intelligence, awe mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kusoma thread na kufanya editing (kama kutakuwa na umuhimu) na kuachia thread iwe public in less that half an hour.
Well said mkuu..

Hii kitu inakera sana, na mbaya zaidi uzi unakuwa pending kwa Massa/siku kadhaa na bado ukija kuachiwa haijarekebishwa kitu chochote hata nukta... Sijui huwa wanahariri kitu gani...

Nimepiga kelele sana huko PM kwao kuhusu hili mpaka wameniona mkorofi still sioni mabadiliko yoyote!
 
Asante sana mkuu kwa kutujuza zaidi kuhusu meli ya Titanic

Kwa hiyo walimwua Morgan au?

kuna wakati unaweza kuwaza kitu halafu baada ya muda hata miaka 1 au 2 kinakuja kutokea unajiuliza ilikuwa ni ndoto
What you think in your mind becomes manifested on physical reality....we are creators of our own destiny.

Wheather you think good things,those gud things will manifest in your physical world...when you think much on bad situations also you attract bad things in your life...ndo mana mara yingi kitu unakifikilia zaid kichwani mwako huwa kinaonekana badae hata kama sio bada ya siku mbili au mwka mzima au zaid ya miaka lazima kitakuja kuonekana....so life is how you make it....

Study more of universal laws...
There are laws that govern the physical form and existance of everything in this universe....but these laws were hidden to few people and these people are who control us....

You can control anything by using power of mind..it has strong energy than you can imagine

Law of attractions,law of vibration,law of love,law of karma etc..these laws were put by the universe (God) whoever uses them effectively will become a ceeator of his physical world....every body lives in a life that you create your own.

Nothing happens by chance but it is due to real manifestations of what you had concetrated in previous time...law of vibration is the only law to enhence manifestslation of reality of what you think in your mind and beings it into manifestations in real physical worls...

Nikipata muda siku moja nitakuja kutoa soma hapa juu ya hiii kitu...
 
Mkuu

Kwa namna ambayo ninafahamu juu ya kanuni na sheria zote zinazousimamia na kuuendesha ulimwengu huu ni kwamba,tunachojua au niseme labda tulichoambiwa kuhusu sheria na kanuni hizo ni theluthi tu ya ukweli mzima ulivyo.Na sababu hii ndiyo iliyokufanya wewe na wengine weengi sana wadhani kuwa sisi ndiyo tunaotengeneza kila kinachoonekana kwenye maisha yetu kitu ambacho mimi sikubaliani nacho kabisa....

Mwili wetu ni kama redio,unapokea kutoka nje yake na siyo kutengeneza chochote....

Uzoefu kama wa NDE unaonesha mambo mengi ambayo wengi hawayajui....

Uwezo wa kufikiri ambao kimsingi siyo wa mtu mwenye mwili huo nao unaonesha maajabu katika ukweli mkubwa zaidi...

Mkuu,ngoja ukija kuweka mada hii tutabadilishana uzoefu kwenye haya mambo maana hapa ni kama tunaingia machakani zaidi maana hii thread haihusiani na haya mambo kwa kiwango kikubwa sana...

Tuombe uzima mkuu...
 
Hapana mkuu...kitu kama hukifahamu usibishe ...this universe is too secrete to understand the real nature ofbits operations.....

Be humble to learn new universal power that holds every free living organisms......you have more and those power lie in you subconcious mind when you activate them utajua ukweli juu ya uwezo wako mkubwa...every mind is connected to universal mind(God) inorder to shape the reality...the reality should not deviate but alligned in single plane...

Ngoja nikueleze kitu kidogo hapa though sina moody ya kuandika makala ndefu snaa but read it carefully utajifunza kitu hapa...

Do your Beliefs Reflect Reality or Create It?

Have you ever wondered whether your beliefs reflect reality or create it?
The answer to the question is realized in understanding the concept of objective and subjective reality
and the difference between the two. Most people believe that objective reality is made up by the physical
laws that govern the universe. Law of gravity, thermodynamics, electromagnetism are some of those laws.
But the truth is that even the physical laws themselves are governed by the higher laws of reality.
Quantum physics states that everything in the most minute level is actually pure energy that is conscious,
intelligent and living. This energy is directed and governed by consciousness itself. Therefore the physical
laws of the universe are actually governed by the mental laws of consciousness. The physical is ruled by
the spiritual.
Now although we know that mind rules over matter, that does not suffice to say that we can go ahead and
attempt to defy the law of gravity by jumping off a cliff just for the fun of it, without a real and strongly
justifiable purpose of doing so. This is where some people misunderstand the truth and why they go and
do stupid things which land them in undesirable consequences.
The physical laws of the universe are not governed by the mind of a single individual alone but by the
universal mind. The universal mind is the infinite intelligent consciousness of God which is connected to
the minds of every single living thing in the universe. It is the universal mind that determines whether a
physical law of reality is subjugated by the mind of an individual or not.
In the event where a person manages to defy a physical law of reality, it is because he/she is in harmony
with the will and purpose of the universal mind. That is the reason why miracles happen in this world
where people are saved from certain death or experience divine providence and empowerment.
So objective reality is the spiritual laws of the universe. That which is immutable, unchanging and
constant. It exists whether you believe in it or not, that’s why it is objective reality. It is not subjected to
your individual mind alone but by the universal mind that is greater and above all.
Spirituality is defined as “belief in those aspects of reality that are not of this world or this material
universe”. All reality is truly spiritual in essence.
Truth is opinion that conforms to reality. Reality is that which is so whether anyone knows it or not and
whether anyone likes it or not. Thus, truth is based in reality, but reality is independent of opinion. The
modern notion expressed as “my truth, your truth” I automatically translate as “my opinion, your opinion,”
and the assertion that we each create our own reality is an example of what I refer to as “fantasy”.
Beliefs that reflect reality are beliefs in objective reality. They do not lead to its creation or
uncreation.
As for Subjective reality, it is the aspect of reality that you have immediate and direct control over
because it is made up by your thoughts and interpretations of your experiences. It is the inner world of
your mind. Subjective reality can be influenced, transformed and shaped by you. That is why it is
subjective reality, it is changeable according to your beliefs.
We know that the world within governs the world without. Your thoughts literally control reality. We can
have control over the whole of reality by following the spiritual laws of consciousness. Hence we can
govern all subjective reality by using the power of true objective reality.
Subjective reality is subject to change since it is temporal. You can choose to believe differently about
what you are observing and cause reality to change instantaneously or over time.

Beliefs that create reality are beliefs in subjective reality. They have the power to create,
perpetuate or change reality.
There are things you do not have to believe in order for them to exist. They already exist in the universe
anyway. Believing causes them to manifest in your experience according to the Law of Attraction.
Disbelieving keeps them away from appearing in your individual reality. They may exist to others who
believe but not to you.
Everything you experience is the result of your thoughts whether present or some time in the past. You
can explain everything that has already happened to you through this paradigm. Was there something
already within your consciousness that made this words appear in your reality as the manifestation of
your own thoughts?
The purpose of having this understanding about beliefs and reality, is to enable you to choose authentic
beliefs that serve to empower you and create the reality you desire. Understanding brings you power. You
now have greater a understanding of belief so you have greater power than others in using it.
 
Be humble to learn new universal power that holds every free living organisms......you have more and those power lie in you subconcious mind when you activate them utajua ukweli juu ya uwezo wako mkubwa...every mind is connected to universal mind(God) inorder to shape the reality...the reality should not deviate but alligned in single plane...
Mkuu

Nafahamu haya yote lakini bahati mbaya sana hayasaidii chochote kwenye mada hii hapa ndiyo maana nikashauri uanzishe mada yake kisha tutajadili yote haya....

Nilichokiandika hapo juu sikubahatisha bali naelewa sana tu.Hizi copy and paste au maandishi ya lugha za wengine huwa hazinivutii sana mkuu,ni vizuri sana ukaandika kwa lugha yako kile ulichokielewa kisha tukakijadili kwenye mada nyingine na siyo kuweka copy and paste au kuandika kwa lugha ambazo wengi hawazielewi vizuri....

Nashauri andika mada tujadili mkuu....
 
Daaaah kama ni coincidence basi that was hell of it.....na kama ilipangwa ilikuwa nikwa purpose ipi hasa....najaribu kutafakari najikuta nabaki gizani tu
 
Daaaah kama ni coincidence basi that was hell of it.....na kama ilipangwa ilikuwa nikwa purpose ipi hasa....najaribu kutafakari najikuta nabaki gizani tu
Mkuu we acha tu....

Yote katika yote sababu ipo tu,tuendelee kujiuliza zaidi mkuu....
 
Asante kwa tag mkuu Eiyer.
Inapotokea nawaza na kukataa kuwa sio coincidence maswali huzidi kuwa mengi kuliko ningekubali. Kusudio la hawa tunaowaita watawala wa dunia walio nyuma ya pazia. 1. Kwanini wanapotaka kutekeleza mipango yao huwa wanaianika kabla ya utekelezaji,hii ni kwa sababu ipi. Hata kama inawekwa kwa namna ya mafumbo sana lakini kwanini visikae sirini kabla na baada ya tukio? 2. Kuna matukio ambayo unaona wanatumia gharama kubwa sana kulitekeleza lakini ukiangalia vizuri kunakuwa na namna nyingine na rahisi zaidi ya kulimaliza kwa hilo suala. Shukrani wadau.
 
Hata mimi nimefikiriaaaa sijapata majibu. Maybe its jut a coincidence.
 
mkuu mleta post kwanza bravo sana Kwa story hii ila sometimes kun baadhi ya matukio na siku huwa naziona kama nishashaziishi hizo siku na vitendo vilevile huwa naona kama nilishawahi kuvifanya....hii sijui imekaaje...cc mkuu blaki womani
Hatua ya kwanza: jifunze kuweka kumbukumbu kwa kila jambo unalodhani ushawahi kuliona kabla, lakini pia usisahau kunukuu kila tukio uliloliota (hasa kuanzia saa 7 usiku hadi saa 11 alfajiri) ambalo unahisi una wasiwasi nalo, mwisho penda sana kusoma na kutafakari Neno la Mungu (ingawa sijajua imani yako), utashangaa kuona kuwa unafunuliwa mambo mengi zaidi...
 
Asante kwa tag mkuu Eiyer.
Inapotokea nawaza na kukataa kuwa sio coincidence maswali huzidi kuwa mengi kuliko ningekubali. Kusudio la hawa tunaowaita watawala wa dunia walio nyuma ya pazia. 1. Kwanini wanapotaka kutekeleza mipango yao huwa wanaianika kabla ya utekelezaji,hii ni kwa sababu ipi. Hata kama inawekwa kwa namna ya mafumbo sana lakini kwanini visikae sirini kabla na baada ya tukio? 2. Kuna matukio ambayo unaona wanatumia gharama kubwa sana kulitekeleza lakini ukiangalia vizuri kunakuwa na namna nyingine na rahisi zaidi ya kulimaliza kwa hilo suala. Shukrani wadau.
Mkuu,kama kila jambo lina sababu,sababu hiyo haiwezi kuwa haipo kwasababu tumeshindwa kuielewa bali itaendelea kuwepo tu....

Kama njia ya kuelekea kwenye ukweli ni ngumu hatuna budi kuifuata hiyo hiyo....
 
Asante kwa tag mkuu Eiyer.
Inapotokea nawaza na kukataa kuwa sio coincidence maswali huzidi kuwa mengi kuliko ningekubali. Kusudio la hawa tunaowaita watawala wa dunia walio nyuma ya pazia. 1. Kwanini wanapotaka kutekeleza mipango yao huwa wanaianika kabla ya utekelezaji,hii ni kwa sababu ipi. Hata kama inawekwa kwa namna ya mafumbo sana lakini kwanini visikae sirini kabla na baada ya tukio? 2. Kuna matukio ambayo unaona wanatumia gharama kubwa sana kulitekeleza lakini ukiangalia vizuri kunakuwa na namna nyingine na rahisi zaidi ya kulimaliza kwa hilo suala. Shukrani wadau.
Kuna nguvu mbili duniani nguvu ya Mungu na ile ya shetani, haya yote yanayo tokea ni nguvu ya shetani na nguvu ya Mungu ni kufichua kinachotokea. Biblia ipo wazi kabisa hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana.
 
Back
Top Bottom