Insane coincidence: Futility and Titanic

Insane coincidence: Futility and Titanic

Huenda mengine hayakuwa ya kusisimua kama hilo kiasi yasingelipa kama angeandikia vitabu.
Mmmmh!!

Mkuu haya mambo sidhani kama yapo hivyo...

1;Kama mwandishi hakujua chochote ni wazi hata hadithi zake nyingine zingekuwa habari ya mujini maana jamaa tayari angekuwa maarufu...

2;Kama alijua kuhusu tukio hili inawezekana ndiyo kilichomuondoa duniani....
 
Nilitegemea kusikia kuhusu huu mwisho wake. Sasa naamini kabisa kuwa jambo hilo lilikuwa na uhusiano na ulimwengu wa roho, maana wengi wao huwa na sifa kama za huyo mtu: wanaonekana kuwa ni watu wa kawaida sana, wanaonekana kama wana matatizo ya akili (kwa kuwa wanaishi katika dunia inayoitwa 'beyond imagination'), na hata vifo vyao huwa ni vya kutatanisha, au huambatana na mauzauza fulani...

Nikipata nafasi nitaeleza zaidi kuhusu dunia ya 'beyond imagination' (kwani kwa sasa kuna kazi muhimu naifanya kwanza), kwani wengi waliofanikiwa sana (kama marais, wafanyabiashara wakubwa, watu mashuhuri) walianzia kwenye hii dunia kabla ya kufika hapo walipo...
Mkuu uje useme lakini hapo kwa marais na wafanyabiashara wakubwa uwe makini sana....

Nitakuja kusema huko mbeleni kwenye makala zingine ni kwa nini uwe makini....

Tuombe uzima mkuu....
 
Mkuu endelea kusema kuhusu hili...

Ninafahamu baadhi ya haya unayoandika hapa,hebu maliza halafu tuone kama inaweza kutusaidia kuelewa chochote kilichosababisha yote haya....
Kuna bandiko moja zuri sana humu lenye kichwa cha habari@
Hivi ni nani anamiliki Federal Reserve Banks na Central Banks zingine duniani?
 
Hadithi ilitungwa miaka kumi na minne iliyopita na meli ilizama tarehe kumi na nne
"duh hapa kuna ka ki2 amaizing sana "
ila mkuu eiyer kuna sehemu nilisoma ni kuwa hawa illuminati huwa wanapanga vi2 vyao kwa ufanisi mkubwa mfano lile tukio la sep/11 pia wiki moja kabla halijatokea kuna katuni mbali mbali walishaaanza kuonesha mfano wa maghorofa mawili yakiwa yanaungua kwa moto tena 7babu ikiwa ni jetfighter moja kugonga maghorofa hayo ss hapa landa wanaweza wakawa wanahusika kwa kiwango flani
 
Matatizo ya akili tena? daaahh kuna kitu hapo
yawezekana ni tukio lililopangwa siku nyingi naye akateuliwa kuandika kitabu ili isijeeleweka baadae litakapotokea
swali la kuendelea kujiuliza na abira je ?
Mmmmh.
Inawezekana kweli?
 
ukija kuangalia barua tatu za albert pike juu ya world wars na jinsi ilovyokuja kweli kutokea ni vi2 ambavyo naona wanapanga hao illuminati
 
Hadithi ilitungwa miaka kumi na minne iliyopita na meli ilizama tarehe kumi na nne
"duh hapa kuna ka ki2 amaizing sana "
ila mkuu eiyer kuna sehemu nilisoma ni kuwa hawa illuminati huwa wanapanga vi2 vyao kwa ufanisi mkubwa mfano lile tukio la sep/11 pia wiki moja kabla halijatokea kuna katuni mbali mbali walishaaanza kuonesha mfano wa maghorofa mawili yakiwa yanaungua kwa moto tena 7babu ikiwa ni jetfighter moja kugonga maghorofa hayo ss hapa landa wanaweza wakawa wanahusika kwa kiwango flani
Mkuu

Sept 11 ina mengi sana na wengi wameshasema mengi kuhusiana na tukio lile,lakini mkuu yapo mengi sana hayajasemwa na ni ya kustaajabisha sana....

Ngoja tuendelee taratibu tutaweza kuyaona yote hayo na tutaelewa tu taratibu mkuu....
 
Mmmmh!!

Mkuu haya mambo sidhani kama yapo hivyo...

1;Kama mwandishi hakujua chochote ni wazi hata hadithi zake nyingine zingekuwa habari ya mujini maana jamaa tayari angekuwa maarufu...

2;Kama alijua kuhusu tukio hili inawezekana ndiyo kilichomuondoa duniani....
Namba 2 naweza kukubaliana na wewe,hasa endapo watu wa secret society walihusika
 
mi siku zote najua titanoc ilikua ina safari nyingine ilofanya kipindi cha nyuma ndo safari hiyo ilopata ajali ndo ya mwisho....kumbe ilikua safari ya kwanza kabisa?doh!!
Nami nilidhan kabla ya ajali ilishawah Kusafiri
 
Back
Top Bottom