Insane coincidence: Futility and Titanic

Insane coincidence: Futility and Titanic

Naamini wewe ni mtu wa kiroho. Wengi hawajui kuwa kila kinachofanyika au kuonekana kwenye ulimwengu wa mwili huwa kimekwisha tokea kwenye ulimwengu wa roho. Haya mambo yana connection za kiroho 100%...
Unaweza kufafanua zaidi mkuu?
 
Film ya titanic ina uhalisia au ni fiction haswaa kwa upande wa wahusika kama Jack na Rose
 
Aise inawezekana walimjasusi asije akaandika hadithi nyingine halafu yakatokea ya kutokea.
Hebu fanya upekuzi kwenye vyanzo vyako mkuu utuletee uzi kuhusiana na kifo chake
Kuna jambo sijaliandika kwenye makala hii..

jambo lenyewe ni kwamba kitabu cha Morgan kilikuwa na toleo la pili ambapo kilihusisha Titan II na muda huu ninavyokueleza Titanic II inatengenezwa na itaanza kazi 2018....

kitabu hiki hakipo kabisa mtandaoni siku hizi sijajua ni kwanini lakini iko hivyo....
 
Asante sana mkuu kwa kutujuza zaidi kuhusu meli ya Titanic

Kwa hiyo walimwua Morgan au?

kuna wakati unaweza kuwaza kitu halafu baada ya muda hata miaka 1 au 2 kinakuja kutokea unajiuliza ilikuwa ni ndoto
Hiyo HUNITOKEA
 
Kuna jambo sijaliandika kwenye makala hii..

jambo lenyewe ni kwamba kitabu cha Morgan kilikuwa na toleo la pili ambapo kilihusisha Titan II na muda huu ninavyokueleza Titanic II inatengenezwa na itaanza kazi 2018....

kitabu hiki hakipo kabisa mtandaoni siku hizi sijajua ni kwanini lakini iko hivyo....
Tudokezee kidogo kuhusu titanic 2
 
Mkuu Eiyer kuna habari titanic ilizamishwa kwa sababu ya matajiri watatu waliokwemo ndani ya titanic,ambao ni Benjamin Guggeenhein, Isador Strauss pamoja na John Jacob Astor aliyeaminiwa kuwa tajiri namba moja duniani kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom