Ingekuwa kama TWITA

:biggrin1::biggrin1: kweli kwa makalio ya namna hiyo wala huitaji ubongo wakati wa kupost :happy:
 
Asprin....5,4,3....Nitake radhi haraka sana.la sivyo nitaacha kukufolo na uchumba wetu wa kudumu utakufa rasmi...
 
Last edited by a moderator:
Duh! Sikubali! Yaani sie ni videmu! Ila hongera kwa kupata maujiko. Kama namuona cacico tabasamu mpaka kisogoni!
mwaJ am looking for u msiri wangu where hav u been jamani
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaa! I'm around my dear. Acha kuyeyusha! Mie ndio nilikuwa nakutafuta muulize babu Asprin. Ila ukionana na babu mwambie aache mipango anayoifanya na Mwita Maranya kuhusu mie na mdogo wangu Blue G.
mwaJ.....kuna mipango gani tena hebu ning'ate sikio.... Asprin eti una salamu zangu?
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu! Eti anataka kunioza mie au Blue G kwa mkurya! Si tutaishia kukatwa masikio jamani!

He! mwaJ hivi unataka kuendelea kuniona hapa jamvini au uwe unaniletea uji Segerea? Maana nahisi hilo likitokea, kuna uhai wa mtu utapotea..Huyu Blue G ameshakaguliwa? alipitia mlango gani..... Asprin, kikombe alichonipa baba nisikinywe?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaa! I'm around my dear. Acha kuyeyusha! Mie ndio nilikuwa nakutafuta muulize babu Asprin. Ila ukionana na babu mwambie aache mipango anayoifanya na Mwita Maranya kuhusu mie na mdogo wangu Blue G.
Haaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaa neno hilo,tena akae mbali kabisa na sisi.
 
He! mwaJ hivi unataka kuendelea kuniona hapa jamvini au uwe unaniletea uji Segerea? Maana nahisi hilo likitokea, kuna uhai wa mtu utapotea..Huyu Blue G ameshakaguliwa? alipitia mlango gani..... Asprin, kikombe alichonipa baba nisikinywe?
Hivi we Kaizer unataka nikaguliwe mara ngapi???????mi nishamaliza.naona huamini hilo, au kwa kuwa hukuwepo kwenye ukaguzi???????
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu! Eti anataka kunioza mie au Blue G kwa mkurya! Si tutaishia kukatwa masikio jamani!

Na hivi ndo wengine tuna vichwa vigumu,sipati picha dada yangu mwaJ mbona tutakatwa na visivyokatwa we unasema masikio tu?hapo ujue tutakuwa tumesamehewa sana.
 
Last edited by a moderator:
He! mwaJ hivi unataka kuendelea kuniona hapa jamvini au uwe unaniletea uji Segerea? Maana nahisi hilo likitokea, kuna uhai wa mtu utapotea..Huyu Blue G ameshakaguliwa? alipitia mlango gani..... Asprin, kikombe alichonipa baba nisikinywe?

Mie naomba umuonye huyo Mwita Maranya maana naona yeye ndio anamshawishi sana Asprin. Babu anawajukuu wengi kwanini anatuchagua sie?
 
Last edited by a moderator:

Mmmmmh!! Ila sometimes babu Asprin naye huwa umiza kichwa maana anatuchanganya wajukuu. Kwenye vijiwe na kufukuzia dili za mitaani tupo naye tu, bibi ana kazi kweli..
 
Last edited by a moderator:
Hivi we Kaizer unataka nikaguliwe mara ngapi???????mi nishamaliza.naona huamini hilo, au kwa kuwa hukuwepo kwenye ukaguzi???????
Blue G hata kukufaham bado, ningekuwepo vipi kwen ukaguzi, ndo maana nikauliza ulipita mlango gani? hebu jitambulishemo kidogo basi....naona u mgeni machoni pangu....si unajua tena shati kuu kuu ndo dekio jipya??
 
Last edited by a moderator:
hubby Asprin nimekufolo, lolest!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…