Inawezekana?

Inawezekana?

Ila Invisible na clue yake duh watu tumeshindwa hata kushusha Juice sababu ya hii issue
Sikutegemea kama itakuwa hivi !
 
Xpin binamu yetu wa ukweli yuko wapi jamani?
(still on vekesheni (eliza.chawote ,)
 
Comrade labda wanaogopa mifupa hiyo inayotembea......watu wamezoea minyamanyama...Lol

Hehehehe huu ni mwendo wa kunyata nyata Komredi hehehe.

unamega na kuacha tena kwa kujiexpress
wanyange wanaogopa sasa....

Mi nashindwa kuelewa mabinti wa kibongo haya mambo si maelewano tu uzuri wa mm huwa nakuwa muwazi kabla ya kumega ndo tatizo hilo mabinti wa kibongo hampendi kuambiwa ukweli mnapendwa kudanganywa.

Teh teh! mzee wa kudownload,falling in love kwa Fidel ni msamiati.

Hehehe mm kabla ya kudownload n'tu anapewa ukweli akikataa si lazimishi si unajua ukilazimisha ni dhambi kwa Mungu.
 
Charity kamfungia ndani leo....


Hapana sijamfungia.2010 tumeacha mapenzi ya kufungiana.Amefuatilia maendeleo ya Matesha shule mara moja na anakuja muda si mrefu.


Xpin binamu yetu wa ukweli yuko wapi jamani?
(still on vekesheni (eliza.chawote ,)

Hili nalo ameacha.2010 Iribini is a changed man,He is a responsible Babushka!
 
Bora umefahamu.Kaa nae mbali asije akakuponza kwa B wako bure.
afu kama ulikuwepo, huwa anajitahidi sana kunifitini na B wangu sema my hubby wangu muelewa sana.........
 
pearl - weka namba yako tu please tutakuwa tuna ku- update
 
ha ha ha bibie usimtishe sana ataogopa kuja siku nikimkaribisha a cup of coffee!!

Mpaka hapo nishaanza kukuogopa.Ukinikaribisha cup of cofee itabidi nije na bodigadis,kulia bht na kushoto Pearl.
 
Mpaka hapo nishaanza kukuogopa.Ukinikaribisha cup of cofee itabidi nije na bodigadis,kulia bht na kushoto Pearl.

Naona leo JF tunaingia ma-superuser tu!
icon10.gif
 
Ntakupa pole ya kingoni hapo baadae.
Jf ni kama ulevi fulani hivi, ambao ukiingia damuni ni vigumu kutoka.
 
Ni wazo zuri limetolewa na pearl
Tusaidieni
Hata mi jana majira ya mchana iligoma
 
Meku hizo priority mlipata wachache, sisi toka saa tisa jana tulishindwa kulog in tukabaki kuchungulia tu kama wageni.....

na wewe najua kwa nini ulipata unafikiri ungekuwa mgombana unge-access??? subutu....
mi nikadhani nimepigwa ban nikajaribu kuregister upya nikapiga olaa tena nikajua hii problema yao.
 
uliona eeeh!!! no wapwaz no binamuz nikasema kwisha habari yetu........
Tumerudi sasa!!!
Nitawa-PM number wapwa wote...................im on line 10Hr a day.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom