Inawezekana?

me was real shocked pale nilipoona kuna watu wanapost wakati mie siwezi, tried reaching muheshimiwa not reachable nikasema basi tena kifo cha wengi harusi........

wakwetu mimi nilijua tumekula ban...kazi kweli kweli
 
hahaa hommie wako alinipigia akasema mamusha nimekula ban nini?? cant access....

lol....kumbe hamna ujanja eeh!!!
ha ha ha naona hasira zake alizimalizia kwenye Value huoni mpaka sasa hajatokea ana mning'inio!! Mi nilitaka nikwendee hewani nikuulize kulikoni wote mmepotea nikakuta wese hamna na nipo porini huku no access!!
 
we mods hawezi kutoa ban kwa watu wote hao....maana nilichake JF home page nikakuta current members walikua 31 tu..wakati kila siku wanakua zaidi ya 500..nikajua Tz mambo yameharibika!![/QUOTE]
Kumbe wewe unabeba maboksi? haya mbona umewahi kuamka,kulikoni?
 
anabeba bunduku huyu sio buree!!! Charity nimekumis ujue.......
 
ha ha ha naona hasira zake alizimalizia kwenye Value huoni mpaka sasa hajatokea ana mning'inio!! Mi nilitaka nikwendee hewani nikuulize kulikoni wote mmepotea nikakuta wese hamna na nipo porini huku no access!!

wese hamna una maana drainage imebuloku au??? aaaaah nimekupata Meku bora hata kukuja hewaji ningemalizia hasira kwako.....
 
wese hamna una maana drainage imebuloku au??? aaaaah nimekupata Meku bora hata kukuja hewaji ningemalizia hasira kwako.....
ha ha ha dah afadhali maana tena ungenipa za kimgomabani kabsaa!!
 
Hehehehe dah siamini kwa lipi napenda sana kujiexpress au lipi? au namega sana?

Haswaaaaaa,ndio tatizo.
Comrade labda wanaogopa mifupa hiyo inayotembea......watu wamezoea minyamanyama...Lol

Hawaogopi avatar.Tatizo lipo kwenye tigo,na mila na valuu.Ukichanganya hivi vitatu.nafikiri utaelewa maana yake.
Teh teh! mzee wa kudownload,falling in love kwa Fidel ni msamiati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom