Kauze maandaziSasa mimi na diploma yangu ya uwalimu itakuaje?
itakuwa ndo kimekulamba!😂Sasa mimi na diploma yangu ya uwalimu itakuaje?
Haya mambo yanakatisha sana tamaa kusomesha watoto shule binafsi.
Wazazi wengi wamepeleka watoto shule za serikali nowdays
Maana unajibana kulipa ada kubwa halafu baadae anakuja kuzunguka na bahasha na ajira hapati
Ndo sasa utoe watoto wako EMS warudishe Kayumba fasta. Sio unasema inasikitisha sana halafu watoto wako bado wapo EMS😁😁😁Inasikitisha sana
Tukutane mkwajuni tuition centre tuongee mawili matatu unaweza kunifaa..Sasa mimi na diploma yangu ya uwalimu itakuaje?
Ndo sasa utoe watoto wako EMS warudishe Kayumba fasta. Sio unasema inasikitisha sana halafu watoto wako bado wapo EMS😁😁😁