inaumiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha_ya_mikoa_ya_Tanzania_kwa_Pato_la_Taifa
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

    Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98% Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu IGP, Mkuu wa...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Katika historia ya mwafrika hii part naichukia sana na inaumiza

  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Hali ya Barabara Didia – Solwa eneo la Ndagwa, Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola inaumiza Wananchi

    Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

    Sina muda wa Salamu. Nina hasira kichizi. Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha. Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, kwa siku, week au mwezi April 2025 kuna Matamshi Mabaya ambayo Mdude aliyasema?Labda tuanzie hapo inaumiza sana

    Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate. Tafadhari ndugu zangu si kwa...
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mzazi kusomesha mtoto degree ya udaktari, ajira hapati anaishia kuwa muuza pafyumu kwa kucheza cheza mtandaoni wateja waone bidhaa

  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  12. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushahidi kuwa Viongozi wetu walipambana Sana. Inaumiza kwa kweli

    Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana. Sisi tunapambania chama, tunasifu na kuabudu viongozi wanakuja faidika wengine

    Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama Mwanaishambwa na tilatilaa? Hawa watu juhudi zao kila siku tunazisema kwenye vikao. Dulla hawaoni hawa? Pesa...
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kile ambacho Israel inakifanya Gaza inaumiza sana. Hezbollah na Hamas mnatizama tu?

    Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa jamaa waliitaka hii vita kwa hima fahima. Hii Vita ilianzishwa kiujanja ujanja sana. Israel walitaka...
  16. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya waajiriwa serikalini inaumiza. Benki gani inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali?

    Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa. Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa 1. MKOPO-16,000,000/ 2. MUDA-MIEZI 60...
  17. proff g

    JamiiForums Tanzania Kodi hii imefikia wakati Serikali iitazame upya kwa watumishi, inaumiza

    Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
  18. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Uchunguzi wa binti aliyebakwa, inaumiza sana lakini inabidi tuzoee

    Wakuu, Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii Wanaweza kutolewa wahuni mahabusu wakafunikwa na vitenge vichwani tukaambiwa ndo hawa tumewakamata Inaumiza sana...
  19. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
Back
Top Bottom