Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Hamna kitu kama hicho Mkuu niamini mimi, kuna sababu nyuma ya we kuachwa, na yote haya mwisho wa siku hulinganishwa na mfuko/wallet yako, nimesoma vitu ulivyovifanya kwake namna ulivyompenda hunifikii hata kidogo ila mwisho wa siku nami niliachwa pia, nakuhakikishia mie nina tabia njema na nzuri kuliko wewe lakini niliachwa, nilikuwa na mahusiano yenye amani sana na yule Dada lakini akaniacha, baada ya mda nalipata sababu kwanini nimeachwa, hivyo nikaamua kuondoa kikwazo ili nisije nikaachwa siku za usoni, ndugu yangu nakupa siri wewe tu, nikaja pata binti mrembo, msomi, mpole, mvumilivu na msikivu kuliko wote waliotangulia, sasa nawe acha kulia lia apa tafuta sababu kwanini umeachwa itatue isije kuwa kikwazo kwako siku za usoni.
Uligundua mini mkuu tuambie na sisi ili tujifunze kupitia kwako
Asante Mkuu naenda kuinunua kwa mangi usihof Mkuu wangu
 
Wanawake ni weengi sana. Elfu kumi watatu. Be patient let bygones be bygones start by accepting the reality kwamba hakua rizki usiwe na papara utapata kifaa cha ukweli maisha hayaizhii hapo yanasonga. People dont always talk about the goodside of karma, forgive, forget and youll be compesated. Cheers
 
MKUU HAUPO PEKE YAKO, HUU MWEZI SIO, TUJIPE MOYO TUTAFIKA, ME MWENYEWE HATA WIKI HAIJAISHA NIMEPIGWA KIBUTI CHA MAANA TENA BILA SABABU YA MSINGI, TULIPENDANA SANA, HADI SAIVI NAJIULIZA KAMA NTAEZA MPATA MTU TUTAKAYEPENDANA KA HUYU EX,
ILA BADO NIKIKAA NAJIULIZA KAMA ALINIPENDA SANA KWANINI KANIACHA?
HIVO TU NABAKIA KUJISEMEA KUWA HAKUNIPENDA NDO MAANA KAONDOKA
Pole mkuu
 
Mkuu basing on my experience kwenye mapenzi ,nakushauri kitu ambacho hata mimi ndo nakifanya ,
1.kamwe kwenye maisha usimjali demu,pesa zako tumia ,jinunulia vitu vingi vingine vya anasa wewe nunua tu ili ufurahishe nafsi yako,zingine weka bank,never trust a woman mkuu never hata kama ukimuoa utengenezee moyo wako mazingira ya kua u can survive bila yeye ,

2.b4 hujawa na mwanamke(demu) kua makini katika kuchagua,chagua mwanamke mkimya asiye na papara,najua unaweza kua unavutiwa na wanawake mapepe (imenitokea hata mimi) but achana nao kabisa hao ,chagua mkimya na mwenye kazi yake ili usimuudumie
 
Sawa Mkuu ntautumia ushaur wako effectively ubarikiwe mkuu
 
Kwahyo mkuu kwa lugha rahisi ni kuwa aliyekuwa demu wako kakudampu?

Wala usilie njoo PM tuyajenge!

Yan unakosa usingizi kisa demu? Tena ambaye hakupendi tena? Seriously? Wachaa hizo mambo njoo inbobo nikuoneshe cha kufanya,,, utanishukuru baadae sana
 
Back
Top Bottom