Asante MkuuNlijua umechanganyikiwa kumbe bado zimo. Dunia limejaa warembo hili we umemuona mmoja tu. In the future jifunze kupenda kiasi na uweke akiba ya mapenzi
Kamanda ntaemove onPole kamanda acha mambo ya kupenda kijinga move on"
Nashukur
Mzizi wa mbuyu umejichimbia chini zaidi. Sasa huyo tazama tu asikuunganishe kwenye grid ya taifa. Tatizo badala ya kufunga ndoa umefunga pingu za maisha. Karibu huku kwetu unaoa mpaka wanneMimi wa kwangu anachelew kurudi nyumbani kila siku....hata siku asizoenda kazini anayafuta sababu...ili atoke tu achelewe kurudi. Nimetumia watumushi wa Mungu, makofi, n.k hajirejebishi.
Mimi baba ndie nawahi home sasa, nikichelewa nakuta watoto wamemlalia beki tatu ambae nae ni mtoto Tu!! Nakasirika wee!!
Naomba kweli kwa Mungu nipate bahati aondoke, lkn hata dalili hana! Wallet yangu haishi kuisachi nishamfuma mara Jubal..!! Hata nimnunulie nini, hata gari...hawezi kusema asante!!
Siku ikitokea nimerudi home nimemkuta hata kama nina vifurushi vingi namna gani, hapokei kuingiza ndani hata kimoja...wala kusema karibu au pole kwa kazi! Napokelewa na msichana wa kazi!!
Lkn ukiniona nina nafuraha tele! Sitaki ageuke kaburi langu.....
Hapa natafuta kanisa lolote linaloruhusu kuoa wake wawili nimtie adabu!!
Hata mie niliachwa si mbaya tukauguzana maumivuKamanda ntaemove on
FursaHata mie niliachwa si mbaya tukauguzana maumivu
Hamna kitu kama hicho Mkuu niamini mimi, kuna sababu nyuma ya we kuachwa, na yote haya mwisho wa siku hulinganishwa na mfuko/wallet yako, nimesoma vitu ulivyovifanya kwake namna ulivyompenda hunifikii hata kidogo ila mwisho wa siku nami niliachwa pia, nakuhakikishia mie nina tabia njema na nzuri kuliko wewe lakini niliachwa, nilikuwa na mahusiano yenye amani sana na yule Dada lakini akaniacha, baada ya mda nalipata sababu kwanini nimeachwa, hivyo nikaamua kuondoa kikwazo ili nisije nikaachwa siku za usoni, ndugu yangu nakupa siri wewe tu, nikaja pata binti mrembo, msomi, mpole, mvumilivu na msikivu kuliko wote waliotangulia, sasa nawe acha kulia lia apa tafuta sababu kwanini umeachwa itatue isije kuwa kikwazo kwako siku za usoni.Kaniacha kaamua kuniacha without a reason ... Umenielewa !!!
Waona wivu auFursa
You just shut the hell up man. Do you think he is stupid? This is his first time to get hit by this, he is beggining to learn, lets him learn through pain.. he will be strong man after this.Stupid men like you must be taught a tough lesson like that. A clever man learns from others mistake but a dumbass from his own. Nakushauri unywe sumu utuache tupumue
Mkoa una uhusiano gani na kuachwa kwako?Unaishi mkoa gani nianzie hapo
Uashaur wako si mzuri. Unamteketeza badala ya kumjenga. Atafute hela alaf amrudie wtf man...Kweli kabisa kazunguka zunguka tuu, akijaribu kutueleza mazuri aliyofanya bila kueleza nini chanzo, anajisifu yupo na uwezo kichwani alafu wakati huo huo kashindwa kuugeuza huo uwezo kuwa pesa.
Ushauri wangu kwake kama bado angali bado mambo hayajakaa vyema, ajitahidi kutafuta pesa za kutosha, then amfuate tena huyo binti nakuhakikishia atarudi tu.
Hahaha man good. I see hana upendo kabisa, ana interest zake.. lakin umeendelea kuwa happy.. nimekukubaliMimi wa kwangu anachelew kurudi nyumbani kila siku....hata siku asizoenda kazini anayafuta sababu...ili atoke tu achelewe kurudi. Nimetumia watumushi wa Mungu, makofi, n.k hajirejebishi.
Mimi baba ndie nawahi home sasa, nikichelewa nakuta watoto wamemlalia beki tatu ambae nae ni mtoto Tu!! Nakasirika wee!!
Naomba kweli kwa Mungu nipate bahati aondoke, lkn hata dalili hana! Wallet yangu haishi kuisachi nishamfuma mara Jubal..!! Hata nimnunulie nini, hata gari...hawezi kusema asante!!
Siku ikitokea nimerudi home nimemkuta hata kama nina vifurushi vingi namna gani, hapokei kuingiza ndani hata kimoja...wala kusema karibu au pole kwa kazi! Napokelewa na msichana wa kazi!!
Lkn ukiniona nina nafuraha tele! Sitaki ageuke kaburi langu.....
Hapa natafuta kanisa lolote linaloruhusu kuoa wake wawili nimtie adabu!!
Sawa Mkuu nmepta sababHamna kitu kama hicho Mkuu niamini mimi, kuna sababu nyuma ya we kuachwa, na yote haya mwisho wa siku hulinganishwa na mfuko/wallet yako, nimesoma vitu ulivyovifanya kwake namna ulivyompenda hunifikii hata kidogo ila mwisho wa siku nami niliachwa pia, nakuhakikishia mie nina tabia njema na nzuri kuliko wewe lakini niliachwa, nilikuwa na mahusiano yenye amani sana na yule Dada lakini akaniacha, baada ya mda nalipata sababu kwanini nimeachwa, hivyo nikaamua kuondoa kikwazo ili nisije nikaachwa siku za usoni, ndugu yangu nakupa siri wewe tu, nikaja pata binti mrembo, msomi, mpole, mvumilivu na msikivu kuliko wote waliotangulia, sasa nawe acha kulia lia apa tafuta sababu kwanini umeachwa itatue isije kuwa kikwazo kwako siku za usoni.