Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Nilikua na stress hafu jukwaa La usiku wa manane mkachukulia poa Leo nakuja kutafuta ..... { sijaachaga matan }
Haha tatizo lako matan mengi...kumbe unaugulia moyon pole bhan nimefeel stress zako ..uje badae kule ntakupa namna ya kuzitoa
 
Pole sana.
Kwanza mshukuru Mungu amekupa mwangaza umeona na kuelewa kabla haujazidi kumfanyia makubwa zaidi ambayo usingeweza hata kuwaza Mara mbili na pengine ungefanya uamuzi mbaya sana maishani mwako.
Wengi wamekushauri mazuri,kubwa tu mshukuru Mungu..hujui amekuepushia nini.
Polee
 
Aliyeanzisha mapenzi for really aheshimiwe.Yani kama mie kuna mtu nampenda lakini ye ndo hata hajali anakuumiza leo kesho anarudi namsamehe kila navyojaribu kujitoa nimsahau nashindwa mwisho wa siku nimeishia kupata madonda ya tumbo kwa mawazo maana unakuta kuna mda nasema yatosha but at the end naishia mwenyewe kujipendekeza nakuta naanza relation mpya lakini hata hisia nakuwa sina na mtu huyo mwishoe huwa naona tu nirudiane na nimpendaye na basi bora hata angekuwa na hela.Yani usiombe upende usipopendwa though pole sana hope utarecover soon.
 
Asante math !! Aah mase ...maserati
 
Pole sana mkuu
 
Mapenzi siyataki tena
Tangu nisalitiwe na mnyaturu duuuh aina ya maumivu yake si ya kawaida,
But i feel good now, nimepata mzungu, nimesahau huko nilikotoka.
 
Umenif
pole sana mkuu, hayo maisha wengi tunayapitia BE A MAN, be STRONG amini hili ni suala la muda tu, erase everything related to her, jichanganye sana na masela usipende kukaa peke yako, do that for one week and you will erase her completely....yalinikutaga nikatamani kufa ila kampani ya masela ilinifanya nikajiona mi mjinga sana kutaka kudata kisa pussy, let her go ma nigga, mademu wako kibao kesho unaokota mzuri na atakaekupenda kuliko yeye..!!!
Urahisha hapo ulipotaka kudanja kisa pussy, maisha ya mapenzi is like a game
Teh
 
You took advantage of the girl'z situations. Unajua ukiwa kwa bahari ukamuona mtu azama unatakiwa ujue mbinu ya kumuokoa vinginevyo atakuzamisha. Mwenzako jana kanywa sumu saa hizi anasikilizia hukk alipo baada ya mke kumtesa. Why dont you try that
Ofcoz...jamaa nae kazamishwa afuu mwenzie kaponaa katoka kwenye majii..!!
 
Mkuu umefanyaje? Amefanyaje? Tatizo ni nini? Mbona hujafafanua ili tujue hasa shida iko wapi?

Hakuna ambaye hajaumiza kwny mapenzi, na si kila mahusiano yamepangwa ku last, mengine ni kituo tu unapumzika na kuvuta pumzi wakati unaendelea na safari, so wewe kimekusibu nini?

Kumuachia aende ni tiba nzuri sana kuliko kumngangania
 
Natamani nitoe kaushauri kangu, sema hiki kilugha cha malkia kimenipita kushoto kidogo.

Kila la kheri mkuu
Huwa najiulizaga,kwa uandishi kama ule,mleta maada anakuwa na maana gani! Kama kiswahili,si atumie kiswahili aeleweke? Au kama kizungu,wamuelewe wanaoongea kiingeleza? Tabia isiyofaa kabisa.
 
Huwa najiulizaga,kwa uandishi kama ule,mleta maada anakuwa na maana gani! Kama kiswahili,si atumie kiswahili aeleweke? Au kama kizungu,wamuelewe wanaoongea kiingeleza? Tabia isiyofaa kabisa.
Sawa Mkuu ntabadilika nilikua sijui hampendi samahan kwa kukwaza Mkuu wangu
 
Sawa Mkuu ntabadilika nilikua sijui hampendi samahan kwa kukwaza Mkuu wangu
Wala usijisikie vibaya,ila najua kuna asikimia kubwa ya wachangiaji hupotea pale lugha inapobadilika ghafla. Pia,uelewa w stori yenyewe hubadilika na walio wengi kupuuza huku msaada ungepata,maana wengi wamepitia skendo kama hizo na wangegauli ufanyeje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom