Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
4,008
2,000
Sijaelewa mkuu
Ukihisi kumpa hela mwanamke ndo atakupenda mpe kidogo,ukihisi kumchekea chekea mwanamke ndo atakupenda cheka kdg,ukihisi kumpigia simu kila mda ndo atakupenda piga simu mara chache...yaani hiyo mdo formula simple ya kufanya mwanamke akupende...stupid trick but inafanya kazi..
 
scientist_tz

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
608
1,000

Asante sana mkuu
 
Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
575
1,000
Mtumie hii meseji
I wish I were a part of your future, but I can't make you change your mind. I think it will be best if we don't talk to each other for a while, so before that happens, I just want to tell you one last time that I do love you and I want only the best things for your life.
 
Asante Mkuu nyingine hauna Mkuu !!? Nashukur ntamtumia iko poa
 
kidumba

Member
Aug 16, 2013
56
125
Nakumbuka ilikua asubuhi siku ambayo niligundua kwamba kuna mdada mmoja kaumizwa na mapenz na kiplay boy chake nlimwonea huruma ni zamani kidogo nlimwonea huruma masomo yake how will she study ??! Nlitaka kumwonyesha not all men are like that others loves trully they don't cheat kumbe ndo ulikua mwanzo wa maumivu yangu ambayo sijui yataisha lini huu Uzi nmeandika saa1:39 nnakosa usingiz nna deppresion kubwa nmejitahid kuwaeleza marafiki zangu everybody sees it as normal at least jf nnapiga story na washikaj but that still doesn't help me to reduce stress that I have .. I loved her I did everything for her .. She promised me to love me forever we passed through many hardship kuna kipind niliuza large award nliyoipata sehem bcoz of brain that God gave me , there are many things I risked because of her , wakuu nilitaka hadi kubakwa because of her ... But still she told me she don't love me any more najaribu kuondoa hii deppresion but nashindwa najaribu kuwa happy kuwafanya watu wafurahi humu jukwaan but me for myself am not happy ... I loved her I wanted her to be happy ... Wakuu I still need to live I know there is something mungu ameweka kwangu so as I should do it for our country but naona Giza totoro najiuliza kwa nini anifanyie hivi !!! I need to live I need to breath more .. I pray much to God almighty but am still stressed ... YOU KNOW WHAT AM NOT JOKING BUT MAY BE YOUR ADVICE MAY LIGHTEN UP THIS YOUNG MAN SPIRIT !!
Nikikumbuka nilivyokubali kuishi kwa shida hadi kufikia stage ya kuomba kwenye mabaa .... Nilitaman awe na furaha siku zote .... I SEE BLACKNESS IN MY FUTURE I SEE MY TALENT FADING I DON'T KNOW WHAT TO DO ... YOUR ADVICE MAY CABRICATE ME FROM THIS PIT IT IS HORRIBLE
And when people talk about karma sijui kama ipo but I don't want it to happen to her ... ... I am in situation please advise me fellows
Mimi huwa nawashangaa sana wanaumr wa aina hii mwingine ndo huyo nimesikia kajinyonga mby,huyu ni mtu tu mmekutana barabarani mkaanza kupendana ndo akutoe roho kiasi hicho?kupenda kupenda nini bwana mngempenda Mungu kiasi hicho dunia ingekuwa mahali pazuri pa kuishi,bora kakuacha now huna comitment nae kubwa ungekuwa ushaweka ndani je?au ukalea mtoto asiye wako?halafu nyie watoto mnasumbua sana watu humu na mapenzi yenu ya lamuja del mi vida muwe wanaumeee akikuacha mwambie hewala jipe muda tafuta wa kwako huyo hakua wa kwako,acha utoto mwanaume habembelezwi kama mtoto wa kike unapewa makavu live so that you can movr on.
 
Asante Mkuu ubarikiwe sana !!
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,712
2,000
HII NDIO DEFINITION YA NDEGE MJANJA
nisamehe tu maana namna nikujuavyo wewe
kisha nakujakugundua kuwa umezongwa na haya makando kando ..aiseee NASHINDWA JIZUIA KUCHEKA ..
WACHANICHEKE MKUU KWANI SH.NGAPI
HAHAAAAAAA dadeqq hahaaaaa

kichekana IMO sometyms namimi ykinikuta nitkuja kukwambia iliulipize

daaaahh mwenzio mimi nimeupumzisha moyo wangu kwa muda mrefu sasa masuala yakuufnya uwe unatuna kma pulizo sitaki aisee
hapa ni mwendo wa ukinipigia nitakupigia pia . ukichuna na uchuna pia
ukinitafuta nitakutafuta pia

ukionyesha upendo nitkuonyesha upendo pia
hivyo yaani tusisunbueane ..?? binti akinipotezea na mimi nampotezea Siku akiamua kunitafuta wala simuonyeshi tofauti yoyote najilia zangu mzigo tukitoka hpo kila mtu na hamsini zake

pole mnoo mkuu ..
 
Hahahah Mkuu daah ndo hvyo ila wadau wamenshaur nmewaelewa wanasema usifiche maradhi ila nmepitia magum mnoo asante kwa aliyegundua jf imensaidia mnoo kupoteza stress hahaha Mkuu nazisaka pesa sa hivi mpk acc yangu isome like a a phone number !!
 
Hiyo siku ntacheka hahahahahahhahaahahajaj daah omba yasikukute ila ntaficha kamba zote usije ukajiwahisha akhera!!
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,712
2,000
Hahahah Mkuu daah ndo hvyo ila wadau wamenshaur nmewaelewa wanasema usifiche maradhi ila nmepitia magum mnoo asante kwa aliyegundua jf imensaidia mnoo kupoteza stress hahaha Mkuu nazisaka pesa sa hivi mpk acc yangu isome like a a phone number !!
hahaa naona umekuwa mc Gregory
pmabna mkuu Hawa viumbe uchawi wao mkubwa ni Pesa tu
tena kama waishi dar ndio kabisaa huku hali ya hewa ya mahusiano imechafuka mithili ya pepo za kusi..
kama ukiwa na hela hata kama hauna uwezo wakuzalisha mkeo atakuwa anahaha kutafuta bwana wakumpachika mimba ili tu akusingizie mtoto usipate wazo lakumtimua na hata utakpo mtimua asiondoke bure ...mtoto atakuwa anampa matumaini yakuondoka na mali siatarithi kwako...

tutafute Pesa tu ..hvyo vingine niziada nawakati unapojiri huja vyenyew auto...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom