lakiwosha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 203
- 79
Kumbuka hata maandiko ya Mungu yanavosema, tuishi nao kwa akili. Nakupa pole sana mkuu, naamini wanaume wengi lazima wamepitia hii hali hata kama sio kwa kuachana lakini ni kawaida sana kukuta watu wanaopendana wamegombana kwa kiasi cha juu sana. Kama yy ndo amekuacha usije jaribu kuonesha unataka kumnyenyekea utakuja kujiua bure. Achana naye kabisa, umepewa ushauri mzuri sana hapo juu. Kwanza futa kumbukumbu zake zote na pili hakikisha unajichanganya na watu yaani kutafuta marafiki tena Nakushauri bora wasiwe wa kike. ASANTE