Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Pole sana kwa hili. Muache aende, relax wewe sio wa kwanza kuachwa, inauma sana, but with time you will be healed. Itabaki history. Maybe kuna jambo unaepushwa au hakuwa wa kwako utakutanishwa na wa kwako some other times. Every thing happens with reasons, Mungu ana mpango na kila kitu maishani mwetu, Mshukuru Mungu na muombe usonge mbele tena tunapaswa kumuomba Mungu msamaha kwa sababu tunafanya sana zinaa. Ni wakati wako sasa kujitafakari, kaa chini, tulia , anza upya. This time muombe Mungu akupatie mwenza wa maisha kabisa Mungu ni mwaminifu. Futa number za huyo dada, destroy all her memories, jichanganye na marafiki, ndugu na jamaa then endelea na mipango yako. Tafuta pesa fanya mambo yako ya kimaendeleo on the way utapata tu wa kwako huyo hakuwa wako. Tena bora kakuacha mapema kuliko angekua ana cheat na kukuletea watoto wasio wako. Bado upo kwene early stage of denial, kubali tu kua ushaachwa. Jifungie somewhere lia then say I'm done it's okay to cry and grief coz we are human. Then move on that's life buddy!! Ukijisikia ku share na rafiki wa karibu just talk about it ndo njia ya kupona pia, kuacha na kuachwa wengi wanapitia na with time unakua normal life goes on. Pole na endelea kufurahia zawadi ya maisha.
Nashukur Mkuu asante
 
Mshukuru kwa kukuambia ukweli, kumbuka upendo waliokupa wazazi wako unconditional love leo waje wajue kuna binadamu aliye zaliwa kama wewe anakupa masononeko wao pia wataumia..

Take this time to set out a life goal that you can achieve this year and make your self and those who love you proud.
Assnte sana
 
Mkuu nasikitika kukwambia kwamba hukuwa unaishi u were just surviving and the results is here.

Kabla hujaanza mahusiano anza kufikiria mazuri na mabaya ambayo yanaweza kutokea kati yenu. Baada ya hapo anza kuishi sasa katika mazuri yakija kutokea mabaya haitakuumiza kwa sababu ulishajiandaa, ulishatengeneza namna ya kuyakabili kwa iyo kinachofuata ni kuanza kuyaishi.

The problem is that you expected too much katika mazuri hukufikiria kama kuna upande wa pili. So sorry for that.

Tuishi nao kwa akili.
 
1.There is no permanent situation

2.And always the end marks the beginning..while someone is dying out there,somebody is born

3. U just treat yourself better with a winning mentality

4.People choose their destiny..don't hate or blame anyone!!...we live in the world of competition!!

5.Abjure not to be impecunious or less important

6.Persist,be of good courage until u be affluent

7. 8+billion people in the world!!!
Trust me "u'll never walk alone"
~~~~~

Remember the above advice works only,if there is a positive mind!!!
Otherwise u'll end up a looser!!
 
Inaweza kuwa ngumu kusahau but still live to be happy hata kama ni yakufake. Mwisho wa siku kwa kadri unavyo ilazimisha furaha ndivyo unavyo ijenga moyoni that is thing you need to be it.
Hakuna kitu kinauma demu uliyekwisha mtambulisha kwa wazazi anakusaliti anapewa mimba sehemu yingine wakati hata wewe unauume. Mbaya zaidi unaamua muachane ile umeingia kwenye new relationship gafra anakudharau kisa wewe hauna pesa au hari ni ngumu maskani
 
Stupid men like you must be taught a tough lesson like that. A clever man learns from others mistake but a dumbass from his own. Nakushauri unywe sumu utuache tupumue
Asante Mkuu naenda kuinunua kwa mangi usihof Mkuu wangu
 
Mshukuru kwa kukuambia ukweli, kumbuka upendo waliokupa wazazi wako unconditional love leo waje wajue kuna binadamu aliye zaliwa kama wewe anakupa masononeko wao pia wataumia..

Take this time to set out a life goal that you can achieve this year and make your self and those who love you proud.
His life goal was to make the said woman happy mpaka anakopa bar. Hebu fanya mpango urest in piece
 
Sikukopa bar Mkuu elewa nilikubal kuish low life ...
You took advantage of the girl'z situations. Unajua ukiwa kwa bahari ukamuona mtu azama unatakiwa ujue mbinu ya kumuokoa vinginevyo atakuzamisha. Mwenzako jana kanywa sumu saa hizi anasikilizia hukk alipo baada ya mke kumtesa. Why dont you try that
 
UMEZUNGUKA SANA NAHISI HUJASEMA NINI KILITOKEA KABISA..UMEZUNGUKA ZUNGUKA TUU
Kweli kabisa kazunguka zunguka tuu, akijaribu kutueleza mazuri aliyofanya bila kueleza nini chanzo, anajisifu yupo na uwezo kichwani alafu wakati huo huo kashindwa kuugeuza huo uwezo kuwa pesa.
Ushauri wangu kwake kama bado angali bado mambo hayajakaa vyema, ajitahidi kutafuta pesa za kutosha, then amfuate tena huyo binti nakuhakikishia atarudi tu.
 
You took advantage of the girl'z situations. Unajua ukiwa kwa bahari ukamuona mtu azama unatakiwa ujue mbinu ya kumuokoa vinginevyo atakuzamisha. Mwenzako jana kanywa sumu saa hizi anasikilizia hukk alipo baada ya mke kumtesa. Why dont you try that
Sawa Mkuu ntakunywa kama unavyoshaur asante kwa ushaur Mkuu wangu be blessed abundantly
 
Kweli kabisa kazunguka zunguka tuu, akijaribu kutueleza mazuri aliyofanya bila kueleza nini chanzo, anajisifu yupo na uwezo kichwani alafu wakati huo huo kashindwa kuugeuza huo uwezo kuwa pesa.
Ushauri wangu kwake kama bado angali bado mambo hayajakaa vyema, ajitahidi kutafuta pesa za kutosha, then amfuate tena huyo binti nakuhakikishia atarudi tu.
Kaniacha kaamua kuniacha without a reason ... Umenielewa !!!
 
Mimi wa kwangu anachelew kurudi nyumbani kila siku....hata siku asizoenda kazini anayafuta sababu...ili atoke tu achelewe kurudi. Nimetumia watumushi wa Mungu, makofi, n.k hajirejebishi.
Mimi baba ndie nawahi home sasa, nikichelewa nakuta watoto wamemlalia beki tatu ambae nae ni mtoto Tu!! Nakasirika wee!!
Naomba kweli kwa Mungu nipate bahati aondoke, lkn hata dalili hana! Wallet yangu haishi kuisachi nishamfuma mara Jubal..!! Hata nimnunulie nini, hata gari...hawezi kusema asante!!
Siku ikitokea nimerudi home nimemkuta hata kama nina vifurushi vingi namna gani, hapokei kuingiza ndani hata kimoja...wala kusema karibu au pole kwa kazi! Napokelewa na msichana wa kazi!!
Lkn ukiniona nina nafuraha tele! Sitaki ageuke kaburi langu.....
Hapa natafuta kanisa lolote linaloruhusu kuoa wake wawili nimtie adabu!!
 
Back
Top Bottom