Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Mkuu YST , Jana nmesoma hii post nikaona nije nkoment Leo !!.

When you love ,just do it BUT DO NOT EVER DARE to expect something in returns.

Mie I used to love ,and yes when I love you ,the world must know Lkn Ikitokea siku unanizengua Don't expect kutetemeka ,unajua faida ya huu msimamo Wangu ??? Sijawahi kua Siku mbaya za kimahusiano wala kulia kwasababu ya mwanamke na sitegemei kulia.

Ninachokiamin nikwamba ,mtu akikufanyia ubaya ,tena unapaswa kumshukuru maana amekuonyesha Her true colour kwaivo amekuokoa namambo mengi ,,so what if ,angeendelea kula buyuuuuuuu then akaja kukuacha ktk point ambayo yo have no place to go ???.

Aiseeee scientists they do believe in solving problems rather than Kuruhusu tatizo liwamalize !!

Lemutuz anasema "You Know".,,,sasa kwann Uumie ??? Acha zako basi.

Amezengua ,,achana naye ,songa mbele.
 
Fala sana mtoa mada nyie ndo watu ambao hamtakiwi kuendelea kuwa duniani. Bora ufe wajinga wapungue utaliliaje mwanamke
 
You took advantage of the girl'z situations. Unajua ukiwa kwa bahari ukamuona mtu azama unatakiwa ujue mbinu ya kumuokoa vinginevyo atakuzamisha. Mwenzako jana kanywa sumu saa hizi anasikilizia hukk alipo baada ya mke kumtesa. Why dont you try that
Ushauri mzuri sana huu
 
Huwa najiulizaga,kwa uandishi kama ule,mleta maada anakuwa na maana gani! Kama kiswahili,si atumie kiswahili aeleweke? Au kama kizungu,wamuelewe wanaoongea kiingeleza? Tabia isiyofaa kabisa.
Wanajiaminisha wakitumia kimombo wataonesha usomi wao. Kumbe ni ulimbukeni uliopitiliza.

Simshangai Trump alivotuita waafrika. Maana bado sana yani...
 
*Kingeleza

mapenzi yanaumiza ukisikia kwa mtu unaweza sema masihara unaweza sema yule jamaa bwege tu mapenzi ndio yamfanye vile,ilikuwa haijawahi nitokea wiki chahce zilizopita imenitokea asieee chakura hakiliki kabisa nikienda hotelini kura nakuwa na njaa ya maana lakini hamu ya kura sina-watu wakaniambia labda naumwa minyoo kumbe mimi na moyo wangu najua kilichonitokea.
haya mambo usipokuwa na moyo mkubwa ni rahisi sana kujitoa uhai.

Hakika ndiyo inavyokuwa,ni uzoefu wa mgumu na wa aina Yake!pole sana
 
Nakumbuka ilikua asubuhi siku ambayo niligundua kwamba kuna mdada mmoja kaumizwa na mapenz na kiplay boy chake nlimwonea huruma ni zamani kidogo nlimwonea huruma masomo yake how will she study ??! Nlitaka kumwonyesha not all men are like that others loves trully they don't cheat kumbe ndo ulikua mwanzo wa maumivu yangu ambayo sijui yataisha lini huu Uzi nmeandika saa1:39 nnakosa usingiz nna deppresion kubwa nmejitahid kuwaeleza marafiki zangu everybody sees it as normal at least jf nnapiga story na washikaj but that still doesn't help me to reduce stress that I have .. I loved her I did everything for her .. She promised me to love me forever we passed through many hardship kuna kipind niliuza large award nliyoipata sehem bcoz of brain that God gave me , there are many things I risked because of her , wakuu nilitaka hadi kubakwa because of her ... But still she told me she don't love me any more najaribu kuondoa hii deppresion but nashindwa najaribu kuwa happy kuwafanya watu wafurahi humu jukwaan but me for myself am not happy ... I loved her I wanted her to be happy ... Wakuu I still need to live I know there is something mungu ameweka kwangu so as I should do it for our country but naona Giza totoro najiuliza kwa nini anifanyie hivi !!! I need to live I need to breath more .. I pray much to God almighty but am still stressed ... YOU KNOW WHAT AM NOT JOKING BUT MAY BE YOUR ADVICE MAY LIGHTEN UP THIS YOUNG MAN SPIRIT !!
Nikikumbuka nilivyokubali kuishi kwa shida hadi kufikia stage ya kuomba kwenye mabaa .... Nilitaman awe na furaha siku zote .... I SEE BLACKNESS IN MY FUTURE I SEE MY TALENT FADING I DON'T KNOW WHAT TO DO ... YOUR ADVICE MAY CABRICATE ME FROM THIS PIT IT IS HORRIBLE
And when people talk about karma sijui kama ipo but I don't want it to happen to her ... ... I am in situation please advise me fellows
Chagua lugha moja
 
Mwenzako alijiua mbeya juzijuzi kwa upumbavu kama uliopost hapa!acha ujinga.....mama yako huyo? Yeye ndo mwanamke pekee ulimwenguni? Ukiona tabu na wewe jileftishe uwatie hasara wazazi wako.....post gani hii! dume zima unalialia ......mjinga wewe !unamlilia mwanamke!mama yako huyo? Pumbavu!
 
Ni mara yake ya kwanza ku experience. So ni kama mtoto anapojikata na wembe ndipo anajifunza na kuwa makini na wembe.

Usimkashifu
 
One word man,
YATAPITA

i was there, once upon a time. Here is what's going to happen...

Utapata mawazo mengi. Utapata ideas za namna ya ku-move on.
Uta-fantasize akirudi kwako huku wewe unamringia.
Utajaribu ila kila mwisho wa siku utarudi kuumia pale pale.
Simu ikiita utakuwa una-hope ni yeye lakini hapo hapo utakuwa unajiambia usijipe hopes; while deep down you'll be praying awe ni yeye.
Itajirudia na kujirudia.
Uta-give up. Utalia for the last time ukiwa mwenyewe.
Then uta-let everything flow.

Kuna siku utaamka af utajiuliza what happened?
Utashangaa umemaliza mwezi bila kumkumbuka.
Utajiona mjinga kwa jinsi ulivyokuwa unaumia.
Utajiona mpuuzi.
Baada ya wiki kadhaa, utachukulia kama kakitukio kadogo sana...
Everything will be as clear as before...
You will be back...
You'll feel the energy...

So, just accept this; you are mourning...
Grief, you will move on eventually.
 
Nakumbuka ilikua asubuhi siku ambayo niligundua kwamba kuna mdada mmoja kaumizwa na mapenz na kiplay boy chake nlimwonea huruma ni zamani kidogo nlimwonea huruma masomo yake how will she study ??! Nlitaka kumwonyesha not all men are like that others loves trully they don't cheat kumbe ndo ulikua mwanzo wa maumivu yangu ambayo sijui yataisha lini huu Uzi nmeandika saa1:39 nnakosa usingiz nna deppresion kubwa nmejitahid kuwaeleza marafiki zangu everybody sees it as normal at least jf nnapiga story na washikaj but that still doesn't help me to reduce stress that I have .. I loved her I did everything for her .. She promised me to love me forever we passed through many hardship kuna kipind niliuza large award nliyoipata sehem bcoz of brain that God gave me , there are many things I risked because of her , wakuu nilitaka hadi kubakwa because of her ... But still she told me she don't love me any more najaribu kuondoa hii deppresion but nashindwa najaribu kuwa happy kuwafanya watu wafurahi humu jukwaan but me for myself am not happy ... I loved her I wanted her to be happy ... Wakuu I still need to live I know there is something mungu ameweka kwangu so as I should do it for our country but naona Giza totoro najiuliza kwa nini anifanyie hivi !!! I need to live I need to breath more .. I pray much to God almighty but am still stressed ... YOU KNOW WHAT AM NOT JOKING BUT MAY BE YOUR ADVICE MAY LIGHTEN UP THIS YOUNG MAN SPIRIT !!
Nikikumbuka nilivyokubali kuishi kwa shida hadi kufikia stage ya kuomba kwenye mabaa .... Nilitaman awe na furaha siku zote .... I SEE BLACKNESS IN MY FUTURE I SEE MY TALENT FADING I DON'T KNOW WHAT TO DO ... YOUR ADVICE MAY CABRICATE ME FROM THIS PIT IT IS HORRIBLE
And when people talk about karma sijui kama ipo but I don't want it to happen to her ... ... I am in situation please advise me fellows
Sema yaliyokukuta kiongozi,au kuambiwa tuu hutakiwi ndio inakupa depession
 
WALK AWAY
abeff14dab2f606450d5dc10cd448804.jpg
 
Sema yaliyokukuta kiongozi,au kuambiwa tuu hutakiwi ndio inakupa depession
Anapenda asipopendwa.anaumizwa na hyo hali.
Nilishawahi kupitia hyo hali.na ninayajua maumivu yake..
Kama una roho nyepesi unaweza ukafa kwa mawazo.kila kitu utakiona hakipo sawa.maishani mwako.
Suluhisho ni ajitahidi kumuacha na atafute mwanamke mwingine.
 
Mkuu YST , Jana nmesoma hii post nikaona nije nkoment Leo !!.

When you love ,just do it BUT DO NOT EVER DARE to expect something in returns.

Mie I used to love ,and yes when I love you ,the world must know Lkn Ikitokea siku unanizengua Don't expect kutetemeka ,unajua faida ya huu msimamo Wangu ??? Sijawahi kua Siku mbaya za kimahusiano wala kulia kwasababu ya mwanamke na sitegemei kulia.

Ninachokiamin nikwamba ,mtu akikufanyia ubaya ,tena unapaswa kumshukuru maana amekuonyesha Her true colour kwaivo amekuokoa namambo mengi ,,so what if ,angeendelea kula buyuuuuuuu then akaja kukuacha ktk point ambayo yo have no place to go ???.

Aiseeee scientists they do believe in solving problems rather than Kuruhusu tatizo liwamalize !!

Lemutuz anasema "You Know".,,,sasa kwann Uumie ??? Acha zako basi.

Amezengua ,,achana naye ,songa mbele.
Mkuu Vladimir hahah shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom