Asante Mkuu ubarikiwe sanaJamaa kapiga chini wewe ukamwona ni ukatili na ukajifanya una huruma saaana, sasa unalilia nini endelea na huruma yako, na jifunze kutofautisha kati ya mapenzi, huruma na fadhira na kama umeshindwa kujua hilo sijui unachojisifia kipaji chako ni kipi? labda ni cha kula vitumbua.
Pole Mkuu pole sana chukua advice za watu humu ndani !!mapenzi yanaumiza ukisikia kwa mtu unaweza sema masihara unaweza sema yule jamaa bwege tu mapenzi ndio yamfanye vile,ilikuwa haijawahi nitokea wiki chahce zilizopita imenitokea asieee chakura hakiliki kabisa nikienda hotelini kura nakuwa na njaa ya maana lakini hamu ya kura sina-watu wakaniambia labda naumwa minyoo kumbe mimi na moyo wangu najua kilichonitokea.
haya mambo usipokuwa na moyo mkubwa ni rahisi sana kujitoa uhai.
nxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuI love you too hubby
Ntajitahd ncwe zomb tenaNdo shida ya kuwa na kambi moja, likiungua na kipisi cha sigara bas tena unalala nje,
Na mwanamke ukiwa unamwambia kila siku nakupenda, nakupenda, anakuona fala wa kutupwa, ishi kijanja bhana, siyo unakuwa zombi zombi.
Hahaa Mkuu nmekuelewabroo mademu wote hawa bdo unalilia kicheche m1 tuu?
Haina shaka mkuu,,wako weng sana hao mkuu ss m1 akitupa mawazo atatuchelewesha sna kuzisaka kkaHahaa Mkuu nmekuelewa
Aah mkuu[emoji41] [emoji15]Miss natafuta njoo Huku unahitajika
Sawa Mkuu ntazisaka hela until my bank acc to read like a phone numberkuna mawili....
1. aidha demu wako ni class sana so sio type yako, unaforce kingi, pengine alikukubali tu bc umeelezea hapo aliachwa na playboy wake ndio wewe ukatake advantage
2.huna hela, simply huwezi mtimizia mahitaji, dem amepata wa kumtimizia kila kitu, now anakuona wewe wa nini ?
nimegundua wewe ni jinga kabisa, zama hizi ni zama za kulilia mapenzi ? fanya kazi saka mapene hata kibabu cha miaka 80 kinaweza mtafuna mtoto mzuri tu kwa sababu pochi inaongea, wake up dude hawa viumbe tumeambiwa tuishi nao kwa akili
pole sana huwez jua Mungu kakupangia nini usiforce mapenz kwa mtu asiyekupenda,Mungu atakupa wako wa maisha,Nakumbuka ilikua asubuhi siku ambayo niligundua kwamba kuna mdada mmoja kaumizwa na mapenz na kiplay boy chake nlimwonea huruma ni zamani kidogo nlimwonea huruma masomo yake how will she study ??! Nlitaka kumwonyesha not all men are like that others loves trully they don't cheat kumbe ndo ulikua mwanzo wa maumivu yangu ambayo sijui yataisha lini huu Uzi nmeandika saa1:39 nnakosa usingiz nna deppresion kubwa nmejitahid kuwaeleza marafiki zangu everybody sees it as normal at least jf nnapiga story na washikaj but that still doesn't help me to reduce stress that I have .. I loved her I did everything for her .. She promised me to love me forever we passed through many hardship kuna kipind niliuza large award nliyoipata sehem bcoz of brain that God gave me , there are many things I risked because of her , wakuu nilitaka hadi kubakwa because of her ... But still she told me she don't love me any more najaribu kuondoa hii deppresion but nashindwa najaribu kuwa happy kuwafanya watu wafurahi humu jukwaan but me for myself am not happy ... I loved her I wanted her to be happy ... Wakuu I still need to live I know there is something mungu ameweka kwangu so as I should do it for our country but naona Giza totoro najiuliza kwa nini anifanyie hivi !!! I need to live I need to breath more .. I pray much to God almighty but am still stressed ... YOU KNOW WHAT AM NOT JOKING BUT MAY BE YOUR ADVICE MAY LIGHTEN UP THIS YOUNG MAN SPIRIT !!
Nikikumbuka nilivyokubali kuishi kwa shida hadi kufikia stage ya kuomba kwenye mabaa .... Nilitaman awe na furaha siku zote .... I SEE BLACKNESS IN MY FUTURE I SEE MY TALENT FADING I DON'T KNOW WHAT TO DO ... YOUR ADVICE MAY CABRICATE ME FROM THIS PIT IT IS HORRIBLE
And when people talk about karma sijui kama ipo but I don't want it to happen to her ... ... I am in situation please advise me fellows
Shukran bosspole sana huwez jua Mungu kakupangia nini usiforce mapenz kwa mtu asiyekupenda,Mungu atakupa wako wa maisha,
huyo hakukupenda ndio mana alikuacha but angekuwa na real love asingekuacha, so tulia wako wa maisha anakuja
sababu ilikuwa nini mkuu, au ulikosa chapaa!Hamna kitu kama hicho Mkuu niamini mimi, kuna sababu nyuma ya we kuachwa, na yote haya mwisho wa siku hulinganishwa na mfuko/wallet yako, nimesoma vitu ulivyovifanya kwake namna ulivyompenda hunifikii hata kidogo ila mwisho wa siku nami niliachwa pia, nakuhakikishia mie nina tabia njema na nzuri kuliko wewe lakini niliachwa, nilikuwa na mahusiano yenye amani sana na yule Dada lakini akaniacha, baada ya mda nalipata sababu kwanini nimeachwa, hivyo nikaamua kuondoa kikwazo ili nisije nikaachwa siku za usoni, ndugu yangu nakupa siri wewe tu, nikaja pata binti mrembo, msomi, mpole, mvumilivu na msikivu kuliko wote waliotangulia, sasa nawe acha kulia lia apa tafuta sababu kwanini umeachwa itatue isije kuwa kikwazo kwako siku za usoni.