charminglady kakupiga misumari wewe hujisikii hujitambui,subiri sasa akuzalie point five ndo utashika adabu.
Nimekaa hapa naangalia tu
Baba V hebu angalia huyu mutu anavyotaka kuharibu ndoa yangu... kisa yake imemshinda... hivi hakuna kamati inayoshughulikia watu km hawa???
Hata mimi nashauri kamati kama hiyo maana naona ndoa yangu inamazonge mengi. Niwashtaki akina sweetlady, Nicas Mtei na St. Paka Mweusi!
Baba V hebu angalia huyu mutu anavyotaka kuharibu ndoa yangu... kisa yake imemshinda... hivi hakuna kamati inayoshughulikia watu km hawa???[/QUOTE
Hakuna uongo uongo unaoweza kumuangusha mtu mwema, kama ni kwa nia mbaya, WATASHINDANA NAWE HAWATASHINDA
Kama unalitambua hilo kwa nini hutulii unaenda kurukaruka na wale vijana wa Arusha akina Mr Rocky!!!???
Hivi ulidhani mmejificha wewe na Mr Rocky !!??
Bishanga ungejua mie point5 la kigiriki na kisukuma hata usingesema, unadhani charminglady kazimikia nini kwangu? mie hybrid kaka
Kuna nani kinaendelea hapa?
Kuna nani kinaendelea hapa?
my wife wangu kuna mtu anasema maneno mengi hapa kama amemeza redio ya mbao
eti mimi na wewe tunapigana kila siku wakati hawajui maana ya kupigana
My wife nuiikuletee ile wine yako unayoipenda