Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

TOENI UJING A WENU HUKO,nchi ina mambo mengi ya maana ya kufanya kama kujenga mabarabara na madaraja sio ujinga wenu huo
Bashite,maendeleo hayapimwi kwa madaraja wala makalavati...yanapimwa kwa GDP na GNP,humo utakuta vipato vya watu binafsi vimehusishwa na maendeleo ya watu
Ukisoma viashiria vya maisha mazur kwa mwanadamu vinaanzia kwenye mwili wa mtu husika,hii hujumuisha vitu kama mavazi,nywele anazosuka (haiwezekani masikini anayelala njaa asuke nywele za Tsh 25,000/= kwa wiki),aina ya mawasiliano anayotumia (device of communication not means of communication-haiwezekani mtu anayelala njaa awe na cm ya million tatu)
Baada ya hapo viashiria vingine vya maisha mazur ni elimu bora,makazi mazur,mlo safi,huduma nzur za afya,ulinzi kwa mtu mmoja mmoja nk so,ww na Bwana jiwe acheni kudanganyana kuwa watu wanamaendeleo wakati hata ujenzi watu waliachana nao kpnd cha Kikwete!
 
Hizo ndege Ngosha atachukua fedha za wastaafu,sasa hivi ukistaafu lazma ukae kwenye foleni kwa muda mpaka upauke qummer-maye wallah,lazma wadingi waelewe this time...tulikuwa tunawaambia wasichague Luprichan wao wakawa vichwa ngumu!
Tusiwalaumu wazee, tulaumu walioamua kutangaza matokeo yao.
 
Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi
huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini)

watumishi endeeni kuvumilia na kuomba ili wasibadili msimamo. Ni hayo tu kwa sasa

swali la msingi ni je atatunisha kwa kiasi cha sh. ngapi? elfu 17?
Daaaa Aiseeee mzee una sura ya kazi kwenye avatar lakini issue uliyoileta imenifikirisha sana.
 
Tusiwalaumu wazee, tulaumu walioamua kutangaza matokeo yao.
Na walipiga debe walioaminisha watu kuchagua kekundu kumbe tumeliwa kichwa, ni ngumu kupona kwenye zama hizi za Giza.
 
Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi
huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini)

watumishi endeeni kuvumilia na kuomba ili wasibadili msimamo. Ni hayo tu kwa sasa

swali la msingi ni je atatunisha kwa kiasi cha sh. ngapi? elfu 17?
Hizi kumi kumi na mbili ni kawaida kuongezwa, na alisema atafanya hivyo. Hivyo hili wala sio geni kama ni mfuatiliaji wa ma speechi ya mkubwa
 
Hizi kumi kumi na mbili ni kawaida kuongezwa, na alisema atafanya hivyo. Hivyo hili wala sio geni kama ni mfuatiliaji wa ma speechi ya mkubwa
Kumuamini didie stone ni lazima uwe na PhD ya usahulifu.
 
Tatizo wakiongeza inakuwa ni balimi tano tu na hapo hapo panga la PAYE linapita
 
watapindishiwa wale walioingia ktk ajira mwaka 2013 kurudi nyuma
 
Kula mwaka tarehe na mwezi kama huu Uzi kama huo ndo huwa habari ya mjini sasa nasema watapata tabu sana
 
Back
Top Bottom