Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

mpaka 2020 injili ya Yohana itakuwa imehubiriwa kila kona ya nchi, kwa watu wote.
Ahaha ah mkuu, hii vipofu wameiona na viziwi wameisikia, kuja kufikia hiyo 2020 hata viwete watakuwa wanapaa kama ndege john na kukimbia marathon zaidi ya bolt
 
Tuwaombe wazee wa busara kutoka mbeya uyu JIWE wamtoeshe duniani hatufai kabisa
 
Tuwaombe wazee wa busara kutoka mbeya uyu JIWE wamtoeshe duniani hatufai kabisa
Huna haja ya kumuombea
mabaya aishi muda mrefu ili aone watumishi wakisinyaa kipindi chake na wakichanua kipindi cha mwenzake ili azomewe milele na historia imuandike kama rais aliyemaskinisha watumushi wa uma nchi nzima kwa miradi ambayo haitakuwa na tija ten yrs to come kizazi hiki kitamkumbuka kama rais mbaya kuwahi kutokea ktk zama hizi
 
Back
Top Bottom