Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi
huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini)

watumishi endeeni kuvumilia na kuomba ili wasibadili msimamo. Ni hayo tu kwa sasa

swali la msingi ni je atatunisha kwa kiasi cha sh. ngapi? elfu 17?
===================================
updates1 19/7/2018

payroll zimekamilika na hakuna nyongeza yoyote.
watumishi tunaomba muendelee kuvumilia ktk hali hii ya mpito.
Fanyeni shuguuli zingine za kujiongezea kipato, tunanunua ndege kwanza!!
 
Hamna kitu pamoja na utabiri wako. Ngoja tuongeze juhudi ya kufanya mengine
 
Wewe nawe, acha kutuletea zengwe tuu. Tulishaambiwa tusubiri miradi mikubwa iishe ndo tuongezewe mishahara.
Swali, Miradi hiyo imeisha?
 
Back
Top Bottom