Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
22,210
Reaction score
50,841
Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi
huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini)

watumishi endeeni kuvumilia na kuomba ili wasibadili msimamo. Ni hayo tu kwa sasa

swali la msingi ni je atatunisha kwa kiasi cha sh. ngapi? elfu 17?
===================================
updates1 19/7/2018

payroll zimekamilika na hakuna nyongeza yoyote.
watumishi tunaomba muendelee kuvumilia ktk hali hii ya mpito.
 
Halafu hizo ndege 3 za Bombardier CS300 jetliners zitanunuliwa na nini? Acha uwendawazimu
Hizo ndege Ngosha atachukua fedha za wastaafu,sasa hivi ukistaafu lazma ukae kwenye foleni kwa muda mpaka upauke qummer-maye wallah,lazma wadingi waelewe this time...tulikuwa tunawaambia wasichague Luprichan wao wakawa vichwa ngumu!
 
Serikali ishindwe kulipa madeni yenu ndo wawaongeze mishahara, THUBUTU!
 
Utasubiri sana meli ubungo, hamna hela atakayowaongeza jamaa
 
Hizo ndege Ngosha atachukua fedha za wastaafu,sasa hivi ukistaafu lazma ukae kwenye foleni kwa muda mpaka upauke qummer-maye wallah,lazma wadingi waelewe this time...tulikuwa tunawaambia wasichague Luprichan wao wakawa vichwa ngumu!
Hhhhh not to that extent
Mnamuita soda mafunguo leprechaun[emoji23]
 
Hizo ndege Ngosha atachukua fedha za wastaafu,sasa hivi ukistaafu lazma ukae kwenye foleni kwa muda mpaka upauke qummer-maye wallah,lazma wadingi waelewe this time...tulikuwa tunawaambia wasichague Luprichan wao wakawa vichwa ngumu!
Mkuu mi ninae mshua kastaafu na kasota sana kwenye foleni lakini bado anasifia na kupongeza..ndo uone sasa akili za wazee!
 
Nautabiria huu Uzi kupata views na wachangiaji wengi mno! Sababu zinajulikana..
 
Back
Top Bottom