Palyang'ei
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 295
- 195
Msahau ujenzi wa reli na lili bwawa kubwa kuwa hauakamilika
Hizo ndege Ngosha atachukua fedha za wastaafu,sasa hivi ukistaafu lazma ukae kwenye foleni kwa muda mpaka upauke qummer-maye wallah,lazma wadingi waelewe this time...tulikuwa tunawaambia wasichague Luprichan wao wakawa vichwa ngumu!
Hio ni ndoto mtapingana na kanuni ya kuishi kishetani. " ukitaka kuwatawala wafanye kuwa masikini "shithole countries administrative principal.Hata mambo mabaya na mazur huanza kama tetesi mwisho huwa kweli...usipotujali mwaka huu basi mwakani au '20 lazma mambo yatakuwa byebye tumalizie vijumba vyetu kabla hatujaoa!
kikwete alikua mjinga sana maana alipandisha mishaharaTOENI UJING A WENU HUKO,nchi ina mambo mengi ya maana ya kufanya kama kujenga mabarabara na madaraja sio ujinga wenu huo
Kwenye kusaidia Wanyonge Bajeti ndio Takataka gani?Hizo ni ndoto za mchana. Bajeti ya 18/19 haikukasimia mabadiliko mkuu.
Impose them higher tax,lets them live like ghost,invest in ignorance and u will rule safely,80% of ignorance you're safe,disable them financially and rule them permanently
Wanyonge ni kichaka cha wimbo,sawa na ulokole ndani ya uovu.wanyonge aka wanyongwa.Kwenye kusaidia Wanyonge Bajeti ndio Takataka gani?
Mh.Rais akijiridhisha anaongeza tu
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asipo waongezea mwezi huu.... 2020 Fanyeni maamuzi magumu Pombe mwisho iwe kaunta
Ndiyo alisema ili kupunguza mizinga isiokuwa na sababuKaTelephone alisema wataongeza kimyakimya