Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
Zakumi,
Pepo la uwajibikaji na kuchapa kazi limenipanda leo.
Nilikuwa nyumbani kwa wiki tatu, nikatalii nchi kwa kiasi fulani ili nijionee kile nilichokuwa nabezwa kila siku eti kubeba kwangu maboksi najua nini zaidi ya kutumia funguobao(keyboard).
What I saw in Tanzania ni Chaos, Disorder and Disorganization!
Hakuna efficiency, hakuna mwenye ku-demand accountability au kumhold mtu responsible, kila mtu anajifanyia anachotaka.
It is not about BOT statistics au zile za CIA factbook, bali ni reality on ground.
Watu wengi wana afya nzuri na uwezo wa kufanya kazi. Nilipoandika kuhusu Idlelism, watu walinijia juu, sasa kama ile ilikuwa ni kitu nilichokiona Dar, sasa nilipokwenda vijijini ndio zaidi. Wewe mtu akiamka asubuhi anaoga na saa moja na nusu anapuyanga kwenda kuunga Azimio la Kimpumu!
What we lack is decisive and strong leadership and Lowassa stands tall above all!
He can do it, I trust that he can deliver! It may not be the way we want it, and its impact will never be short term but long term!
Mkuu:
Get your acts together maana unachanganya vitu vingi hapa. Je wakati Lowassa alipokuwa waziri mkuu watu walikuwa wanafanya kazi au walikuwa wanaenda kupiga chimpumu???
Je wakati Sumaye alipokuwa waziri mkuu watu walikuwa wanafanya kazi au walikuwa wanaenda kupiga chimpumu???
Matokeo uliyoyaona yana sababu nyingi na Lowassa sio mtu wa kutatua hayo. Kwani kufokafoka au kupanda mori hakubadilishi order ya maendeleo ya kiuchumi duniani.
Watu watafanya kazi, watu watakuwa wanafanya mambo kwa utaratibu iwapo wataona INCENTIVES ya kufanya hivyo.
Lowassa likely anafanya biashara ambazo alizilipiwi kodi, biashara ambazo ni corrupt. Hivyo mwenyewe atakuwa ni chanzo cha hayo mambo. Hivyo hakuna atakayemsikiliza. Na watakaomsikiliza watafanya hivyo kwa woga wa kupoteza kazi.
N.B: Sababu ya watanzania kutokuwa wazalishaji, inawezekana ni kukumbatia sera za Macro-economy.