makilakitumafra
Member
- Feb 3, 2010
- 21
- 2
mm nashangaa kila siku lowasa kwani anawalipa kumsafisha?tuache hayo watz ni wengi wenye uwezo,kavurunda akae kando
Lowassa analiliwaa...
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.
Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.
mkuu uwe unafikiria kabla ya kutoa mada kama hii, hii nchi licha ya kuhitaji mtu mchapakazi lakini kikubwa katika uongozi ni uadilifu, na huwezi kuwa mtendaji mzuri bila kuwa muadilifu na katika hilo EL hatufai watanzania
Not relevant Ben!hivi huyu mkulu wa kaya tuliye nae ni muadilifu ktk nini labda.ukimcopare na lowasa then EL at least ni hard working
But seriously when you compare the two mimi ningemchukua Lowasa.btn two evils ningemchagua lowasa kama ningezingatia mustakabali wa taifa langu kwa huko baadae.
Wizi wa lowassa hauna tofauti na gharama za nje za Jk but big plus kwa lowasa kwa kufanya kazi angalao.hapo ntakua nimefikiria kiuchumi zaidi,lowassa ni hard working.watu wakitaka kunisulubisha wanisulubishe but that's the fact
hivi huyu mkulu wa kaya tuliye nae ni muadilifu ktk nini labda.ukimcopare na lowasa then EL at least ni hard working
Hebu toa hoja basiNot relevant Ben!
Nadhani sijaeleweka wakuu...sisemi Lowasa ni bora ukilinganisha na tulio nao Tanzania bali ukilinganisha nna Jk
At leat lowassa anaweza kufanya kazi,ukilinganisha ela alizoiba na hizo ambazo Jk ametumia nje na kuwealinda mafisadi kweli mnasema Lowasas ni mbaya kiasi hicho?hebu tuwe serious sasa