so ,alitakiwa awepo mpka mwisho wa serikali,cheo ni dhamana bwana.Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne..........
Ni sehemu ya kumsafisha !
Nchi yetu inahitaji mfuatiliaji/msimiaji wa kweli kweli km tunataka maendeleo
so ,alitakiwa awepo mpka mwisho wa serikali,cheo ni dhamana bwana.
Jamani mbona nachoka, hatuwezi kuachana na Lowasa tukajadili mengine na kwenda mbele. Hata kama alikuwa anafaa, najua hakuwa anafaa na hatafaa, kwani hatupo wengine wa kuongoza nchi ni lazima Lowasa.
Tusonge mbele jamani.
Kama alikuwa hafai, hao wanaofaa baada ya kuingia, kikwazo kikiwa kimeondoka wamefanya nini cha kuikomboa nchi?
Au ni kusema walioingia na waliotoka wote hawafai?
Naunga mkono hoja.........
Bado siku chache ifike tarehe 6/2/2008 siku ambayo Mh Lowassa alitangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu kufuatia Ripoti ya kamati ya bunge juu ya sakata la Richmord.
Kwa wakazi wa dar es salaam wanakumbuka mh. Lowassa alivyopiga marufuku uchimbaji wa kokoto kule Kunduchi, jamaa walianza taratibu sasa hivi biashara ya kokoto Kunduchi imerudi kama kawaida.
Na lile la barabara tatu kupunguza msongamano ameondoka nalo.
There is no need crying over spilt milk. After all Lowassa is a spent force. What we need is brains not a bull-dozer for a Prime Minister! Mtoto wa Mkulima is far far better than Lowassa when it comes to realizing issues and dealing with problems of wananchi in a cool but efficient manner.
Jamani mbona nachoka, hatuwezi kuachana na Lowasa tukajadili mengine na kwenda mbele. Hata kama alikuwa anafaa, najua hakuwa anafaa na hatafaa, kwani hatupo wengine wa kuongoza nchi ni lazima Lowasa.
Tusonge mbele jamani.