Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Amegoma kula wali eti ni "fyakula fya ndege" imebidi tutafute unga wa mtama na maziwa mtindi ndo kidogo katulia, ukimuuliza hapo vipi anasema "doho tabu"
hahahaaa!!!!!!! Chezea msukuma wewe!!!!