Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
- Thread starter
- #41
Utaozea jela ujue.
Jela kwangu disco tena siku hizi wanavaa nguo nzuri za Orange na na wanapanda mabasi ya Marcopolo yaani full raha.. Jela ilikuwa ya enzi zile mnavaa vi "dona" na mnasafiri kwa karandinga "banda la kuku" ... wacha nifungwe tu íla Madame B afanye mpango aniletee kitu yangu...
Last edited by a moderator: