In Dar with @slave ......

In Dar with @slave ......

kuwa uyaone jamani,maajabu ya dar nyumba za vyuma zinajengwa ktk ya barabara, Dr.zero nakushukuru sana kwa kunitambua ujue yule mzee Baba V alinitoroka akaniacha kwenye mataa

Ohon we acha kabisa, mie mwenzio muda wowote ni wanted, usiponiona usiulize ujue niko lupango....
 
Last edited by a moderator:
Kama hajambo au ana jambo wewe inakuhusu nini!....?? Hivi umebakiza kete ngapi kumaliza mzigo iliurudi tena Hong kong....!!??

hahaha mwenyekiti Baba V, mwenye kuhusika na ujumbe keshaupata

Hujasikia hali ya hewa imechafuka eapoti? nani akawekwe kwenye vyombo vya habari
 
Last edited by a moderator:
hahaha mwenyekiti Baba V, mwenye kuhusika na ujumbe keshaupata

Hujasikia hali ya hewa imechafuka eapoti? nani akawekwe kwenye vyombo vya habari

Ni sehemu moja wapo ya kupatia umaarufu...
 
Last edited by a moderator:
Ohon we acha kabisa, mie mwenzio muda wowote ni wanted, usiponiona usiulize ujue niko lupango....

pole sana nawewe uache mambo yako ya kudandia watoto wa vigogo
 
2bishanga Dr.zero Arushaone embu nitazamieni kwenye list ya vigogo waliotajwa kama na jina langu limo uchukuzi kimenuka nataka nitorokee kwa kagame
 
Last edited by a moderator:
laiti ungejua tumeshafunga njia zote za mawasiliano, njia za maji, njia za hewa, pamoja na njia za reli
imekula kwako na jinalo liko kwenye list nmecheki mtandaoni hapa unabisha!! sema Slave !!!!!
2bishanga Dr.zero Arushaone embu nitazamieni kwenye list ya vigogo waliotajwa kama na jina langu limo uchukuzi kimenuka nataka nitorokee kwa kagame
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom