In Dar with @slave ......

In Dar with @slave ......

weeeeeeeeeeeeeeeee? aje ili iweje? tena safari hii nitakuwa nakuja nae na kuondoka nae

Wacha hizo dogo, hivi unajua ile mimba aliyokuwa nayo charminglady kipindi kile ilikuwa ya nani!?? na je unajua kwa nini alivyokaribia kujifungua alikukimbia!?? kuwa uyaone jomba....
 
Last edited by a moderator:
kuwa uyaone jamani,maajabu ya dar nyumba za vyuma zinajengwa ktk ya barabara, Dr.zero nakushukuru sana kwa kunitambua ujue yule mzee Baba V alinitoroka akaniacha kwenye mataa

Kaka tena shukuru Mungu alikutoroka vinginevyo unaweza kujikuta mko Segerea, huwa hachelewi kuharíbu, si ajabu unadhani amekutoroka kumbe mwenzio yuko lupango muda mreeefu...
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa kazi unayo nakwambia, halafu jiandaeni kumsongea ugali wa nondo la sivyo utamtesa......!!!!!!

Amegoma kula wali eti ni "fyakula fya ndege" imebidi tutafute unga wa mtama na maziwa mtindi ndo kidogo katulia, ukimuuliza hapo vipi anasema "doho tabu"
 
Usisahau kumshika mkono kila mnapovuka barabara,,,,,,,, halafu mwambie asije akaenda kwa watu asubuhi asubuhi na mswaki mdomoni kusalimia majirani maana ndio tabia yake hiyo!!!!!!!!!!

kwani anatoka kijiji gani?
 
Dr.zero we acha tu
nimeshindwa kabisa kuonana na Slave
hapa nilipo kaizari kanitaiti ile mbaya,
ila naamini ulimpa kampani ya kutosha.

Next time tutamfuta huko huko pori kwa pori.

Yeah ilikuwa poa sana bibie... Hivi ni kujipanga tu tumzukie pande za kwao...
 
Last edited by a moderator:
Dr.zero we acha tu
nimeshindwa kabisa kuonana na Slave
hapa nilipo kaizari kanitaiti ile mbaya,
ila naamini ulimpa kampani ya kutosha.

Next time tutamfuta huko huko pori kwa pori.

Dah huyo kaizari alianza mida ya saa ngapi kukutaiti? habari ya asubuhi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom