Nikwambie kitu: Watazitoa kwa miezi 40 kwa kuwa mkopo huo ni mtego pia!! Watataka tukubaliane na mambo fulani fulani. Mkopo wenyewe unadai ni wa kufidia athari za vita vya urusi na Ukraine! Hapo ujue kabisa kutakuwa na sharti la kuilaani Urusi vinginevyo watatishia kuzuia mkopo! Wanaanza kwa kukulambisha kwanza kwa dola milioni 151.7 ili usikilizie utamu wake!! Ili sasa watakapokuwa wanatishia uwe unakumbukia utamu ulioonjeshwa!! Pili pamoja na kutakiwa kuilaani urusi kwa uvamizi wake kwa ukraine, watatutaka tuunge mkono vikwazo vya kiuchumi kwa urusi!! Kwa maneno mengine mkopo huu unaenda kutunyang'anya uhuru wetu!. Na mwisho tukitia ngumu tutatishiwa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wenyewe!! Huwezi ukaonjeshwa pesa ya beberu halafu ujifanye kichwa ngumu!! Tumejiweka kwenye hali ngumu sana!!
Rubbish,hiyo kigezo Wala sio mara ya kwanza kutolewa na mara nyingi hiyo mikopo ni kuendana na mipango ya Serikali..

Kwa hiyo hakuna shida ila mimi naona ni ndogo,angalau wangefanya dola 300.
 
Umenikumbusha kuna nchi ilitengeneza ndege na ikafanya safari kama mwaka baadae hali ya uchumi ikayumba wakaenda IMF kukopa kama nchi moja ya sharti ilikuwa hawaruhusiwa kuendeleza mradi wa utengenezaji ndege na Biashara ya ndege ikafia hapo nikiikumbuka nchi ndashare
 
Wapi Mama ya Zanzibare, Mama ya matashititi,Mama ya Mapesa mingi kumikopo,Mulezi ya wana Musog,Mutu ya mipasho!!
Bakopee, bakopee Batanzania mpaka Baelewe mauchungu ya kumikopo!
Mungu atunusuru jamani!!
 
Wau
Rubbish,hiyo kigezo Wala sio mara ya kwanza kutolewa na mara nyingi hiyo mikopo ni kuendana na mipango ya Serikali..

Kwa hiyo hakuna shida ila mimi naona ni ndogo,angalau wangefanya dola 300.
Waulize majirani zetu Malawi mazingira yaliyowafanya waruhusu ushoga na ndoa za jinsia moja rasmi!! Wewe haushangai kama ni nia njema kwa nini wasingetupa angalau nusu kwanza?
 
Ndugai alikuwa jikoni hivyo yale aliyowahi kuyasema yalikuwa sahihi kwa 100%, ila ndo hivyo wasiojua lolote wamuona boya.

Huyu mama yenu akikaa miaka 10 madarakani, hii nchi itakuwa tayari imeweka rehani mali nyingi sana (itakuwa imeuzwa).
 
Tufahamu tu hizo ni pesa za mkopo tena zina msururu wa masharti kutoka kwa wakopeshaji, hivyo tutapaswa kuzilipa kwa faida na kufuata masharti yao.
Swali linakuja.
1. Tutazilipaje?
2. Zina masharti gani?
Kama tunakopesheka kwanini tusifanye mambo ndani ya uwezo wetu na kwa ufanisi??
 
Kama wangetupa zote kwa wakati mmoja tungeweza kufanya walau kitu kimoja cha maana tukabaki na kumbukumbu!! Awamu ya kwanza ilipaswa kuwa kubwa ya kueleweka! Mbona ukraine wanawapa kwa mabilioni?
 
Kama wangetupa zote kwa wakati mmoja tungeweza kufanya walau kitu kimoja cha maana tukabaki na kumbukumbu!! Awamu ya kwanza ilipaswa kuwa kubwa ya kueleweka! Mbona ukraine wanawapa kwa mabilioni?
 
Waendelee kukopa sana, ila na sisi mtukopeshe huku kwenye kilimo. Una degree, una shamba, shamba lina miti ya miaka 10, unapeleka hati bank lakini bado unazungushwa kupewa hata milioni 1, ya kuimalisha kilimo. Sasa kama ajira hakuna basi tuwezesheni mikopo. Serikali inakopa, basi nasi tukopeshwe.
Hii mikopo inatakiwa kumfikia mtu wa mwisho. Mtendaji kama wewe. Warudishe PRIDE waiboreshe pesa zifike chini kupitia hiyo taasisi.
 
Back
Top Bottom