IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

Mkuu vipi unapimaje kuwa wewe unaipenda zaidi Tanzania kuliko mwana JF mwingine? na kwamba wewe hutmikii tumbo lako ila wengine wanatumikia??? unatumia kipimo gani??

Kwanini chadema makini na siyo CUF au TLP au NCCR makini what is special with chadema hasa kwako binafsi kama mwana ccm?? what connects you with chadema? what is the link? and why chadema and not other parties??

nashukuru kwa maswali mazuri tropical. tumbo laungu linanituma, kama vile lilivyo lako na ya wengine lakini kutumikia kitu chenye ku - maintain your dignity, and especially on something you believe in; i dont believe in kuitetea CCM pale napoona pana tatizo just because inanipatia mlo; mungu ametujalia njia nyingi sana za kuwezesha hilo, sio kwa kupitia kutetea masuala ya kipuuzi - yale mwalimu aliyosema ya kipumbavu;

Kuhusu kwanini chadema na sio CUF, i would rather say bila chama pinzani makini, point yangu nikwamba katika nchi yoyote ile yenye mfumo wa vyama vingi wenye demokrasia iliyokokaa, huwa kunakuwa na vyama viwili tu vikubwa vyenye ushindani mkali juu ya nani anamwelekeo bora wa maendeleo ya taifa, mimi kwa Tanzania sioni kama kutakuja chama kingine zaidi ya Chadema unless Chadema wenyewe waharibu; taarifa za CCM B na vitu kama hivyo sioni kama vitazaa chama kingine chenye nguvu to replace Chadema; Lakini ukweli pia unabakia kwamba the real opposition from Chadema has to go beyond ufisadi; it has to involve attacking the new world order, not to embrace it; ninsingependa kuingia zaidi katika siasa za CUF kwani suala la muungano limekaa very unpredictable;
 
Je hii sio failure ya watu na vitengo vya Mipango vya wiara ya fedha na Benki Kuu. Si moja ya kazi zao kuforecact mabo haya na kuchukua hatua na kushauri wahusika to the ealriest.
 
Mchambuzi,

Sasa nimegundua jinsi gani Nyerere anabezwa na baadhi ya wenzake CCM,

Nyerere au mwingine yeyote anapokosea ataambiwa kweli, na ukweli sio maana yake kumbeza mtu. Bora anichukie kwa ukweli wangu kuliko kunipenda kwa kumpaka mafuta, hata kama kakosea mie nikenue meno kujichekesha. Unanchekesha!

na nadhani pia wapo viongozi wa CCM vilevile, na sababu zao ni ngumu kuelewa. Ila bila shaka, wengi wao ni wale wasio kuwa na maadili ya uongozi kwahivyo Jina la Nyerere kuwa mwiba mkali kwao. Ni ajabu kwamba hata viongozi wa CCM wapo wanaobeza mafanikioa ya Nyerere;

Hayo ni mawazo yako na siwezi kukupinga kwa mawazo yako. Mimi siongelei mawazo hapa naongelea facts.

Tunampima Nyerere kwa vipimo vya Colgate, TV na Magari? Ina maana kwamba sifa za viongozi wa leo ni upataikanaji wa Colgate, TV na Magari? Nilibahatika kwenda Kiteto na maeneo mengine mengi sana Tanzania huko vijijini na maisha yao kule hayana tofauti na mwaka 1961;

Hivi ulitaka mafanikio ya nchi yapimwe na nini? foleni za sukari ya kilo moja kwa wiki? foleni ya dawa za meno za Maxim? kwa foleni za kwenye UDA kunukishana vikwapa?

Kigezo cha kwenda Kiteto kukuta watu wanaishi kama 1961 si kigezo cha kitaalam hicho, Kiteto na kwingine kwingi Tanzania kuna watu wanaishi kama walivyokuwa wanaishi miaka 200 nyuma ni kwa utamaduni wao na si kwa kuwa wanakosa mahitaji yao. Nnakuhakikishia 1961 Kiteto walikuwa wanaishi vizuri zaidi ya walivyoishi 1967-1985, wakati wa dhiki kila upande, si Kiteto tu, Tanzania nzima. Leo unaniambia Kiteto? ni nini unachokitaka Kiteto cha mahitaji ya kila siku ukakikosa leo hii, wamwagie hizi pumba wengine. Usichanganye "culture" ya Wamasai wa Kiteto kuwabeza kuwa wanaishi kama 1961, nenda leo kaone huko huko Kiteto "ma dish ya satellite" mamtandao ya simu na ma "internet". yaliyokuwepo hayo 1961? Nenda kaone Kiteto leo wanavyolima Mahindi, yalikuwepo hayo 1980? Nnakuhakikishia hata gazeti la Ngurumo na Mzalendo walikuwa hawayajui huko wakati wa Nyerere, nani awapelekee?

Isitoshe, hizo Colgate hazishikiki (huku wengine wakitumia vitu mbadala); TV ndio usiseme kwani sio zaiadi ya 12% ya watanzania wana umeme, leave alone uwezo wa kununua TV sets;

Colgate ipo mpaka ya shillingi mi mbili, kama hutaki kuitumia ni mazowea tu lakini sio kuwa hazipo za bei nafuu. Hiyo argument dhaifu.
Umeme wa Tanesco Tanzania unawafikia zaidi ya 14% ya Watanzania, na hiyo hujaongelea wenye majenereta yao huko ambapo haujafika na haujaongelea wanaojifungia "solar" hujaongelea wanaotumia "vinyesi" kuzalisha umeme wao binafsi. TV wanaziona hata ukipita kwenye vitenbe ndani huko unakuta "madish" wanaona ligi ya Uingereza kama wewe uliopo mjini na bado Serikali inafanya kila njia kuwafikishia umeme, tunayaona kila siku.

Well, Nyerere admits hata mwenyewe kwamba kuna mambo ya maana alifayanya na mengine ya kipumbavu lakini akashangaa awamu za mbele yake zinaacha ya maana na kuchukua ya kipumbavu; we can talk about what made him fail lakini sidhani kama ni mahala pake hapa, kwa sasa tuangalie yafuatayo kwa ufupi tu; ila kwa kifupi ni Nyerere alivyokwisha sema - yanachukuliwa ya kipumbavu, yanaachwa ya maana.
Nyerere aliipokea hii nchi ikiwa na 95% of Tanzanians as wanavijiji, and 5% as urbanites; Sina haja ya kuziweka takwimu hapa kuonyesha ni jinsi gani mpaka anaondoka social development indicators zilivyokuwa juu kama vile literacy rates at upper 60s percent - one of the highest in Africa; Leo hii, illiteracy in Tanzania is about 30%; and about 24% of Tanzanians hawana elimu of any kind (hawajasoma hata darasa la kwanza); tunazidi kushangilia shule za kata from a quantitative side, and we totally ignore the qualitative side of it; social indicators nyingi sana zinawasuta wale wanaosema leo hii tumepiga hatua kuliko enzi za Mwalimu kijamii – tukitazama suala la afya, elimu in qualitative terms hakuna la maana sasa compared to zamani, ila kama hoja zenu ni quantitative, Hurray, mmewapata wajinga.

Ndio maana kwa sasa Serikali hawa "invest" kipumbavu. Hilo ni jibu kwa hayo ya Nyerere hapo juu.

Uchumi wa Mwalimu ulikuwa una trickle down to the 95% of the rural masses, huu wa sasa sio pro – poor growth na hatuna haja ya kuweka takwimu hapa kuonyesha hilo kwani zipo wazi kila sehemu; Mpaka mwaka 1985 wakati Mwalimu anaondoka, Tangia Mwalimu kaondoka, hakuna much changes katika composition mfano ya manufacturing on GDP as we can see kwenye figures (see table below);

Hakuna uchumi wa Nyerere " economy wise he was a total failure" kaacha nchi haina "reserve" hata senti moja na BOT imechomwa moto, na akakaa kimya hamna uchunguzi wala kusema ni nini kilichoisibu BOT , au hulijui hilo?

Kilimo - mhango wa kilimo kwenye GDP umepungua na kufikia 28.9%; kwa kawaida hii huwa ni ishara nzuri lakini pale tu kama Kilimo ndicho kinachozalisha then tukipata earnings from there ndio ziende kuamsha na kuendeleza sectors nyingine kama viwanda, mining etc, hivyo ndivyo economic development comes about na ndivyo nchi zote zilianza na kilimo na later kuwa industrialized; hivyo ndivyo green reveolution occurs – increase in productivity ya kilimo, then kizalishe na kuleta hela kwa wingi na hela hizo ziwe invested kufungua sekta nyingine za uchumi (sio kutegemea misaada au wawekezaji kufanya hilo); We see in the table below kwamba between independence and now, imepungua from 48% to around 29%; but hizi namba hazina maana yoyote kwani hazina mahusiano yoyote na kilimo kuwa productive na kutupatia uwezo wa kupata fedha ili zijenge viwanda vyetu, zichimbe madini yetu, zifungue taasisi zetu muhimu za umma; the change from 48% to 29% in agricultural composition kwenye GDP hazina association yoyote katika haya; why? Because we don't invest in zaidi ya Mwalimu alivyokuwa anawekez mkazo; tumebaki na porojo tu za Kilimo Kwanza huku matrekta mengi yakienda kwa watu wasio walengwa; Tuangalie mfano in 1961, agricultural machinery, tractors per 100 sq. km of arable land was 31.8; as of 2004 it was down to 23; productivity ya kilimo compared to miaka ya nyuma imepungua sana – ebu fikiria in 1961 Cereal production (metric tons) was 1.1 million; by 2009, that figure had only reached to 6.2 million; mind you, in 1961, population yah ii nchi was around 9million, by 2009, 40million plus; hata tukiangalia annual growth in the kilimo sector (see the table below), hatuna cha ajabu cha kujivunia na kumbeza Mwalimu;

Manufacturing – hakuna anything impressive tofauti na Mwalimu Nyerere; at most imezidi kuporomoka; manufacturing composition yake on GDP haina tofauti sana na miaka ya nyuma nab ado hatujafikia kiwango cha Mwalimu cha 10.8% (see table below);

Service Sector – hakuna ubishi kwamba hii sekta imepanuka zaidi kuliko wakati wa Mwalimu lakini tusisahau kwamba service economy is a new phenomenon, hata nchi zilizoendelea halikuwa jambo la maana zaidi ya industrialization Kwahiyo kwa uwezo wake na bidii yake, a 22% level ya Mwalimu during the 1970 – 1980 period inastahili pongezi;

YearKilimo as % of GDPKilimo annual growth rateManufacturing as % of GDPManufacturing growth rateService Sector % of GDPService sector growth rate
1960 – 1970 (Nyerere)43.6%3.7%8.7%10.4%15.7%7.2%
1970 – 1980 (Nyerere)43.4%3.4%10.3%4.4%22%15.7%
200630.4%3.88.5%8.4%46.7%7.1%
200729.6%4.08.5%8.7%46.7%8.4%
200829.7%4.58.6%9.9%47.1%7.9%
200928.7%3.29.5%8%46.9%7.1%

Source: Various World Development Reports

Napenda kuzidi kusisitiza kwamba kinachofanya watu waone kuna mabadiliko katika pato la taifa (GDP) ni mchango wa sekta ya madini katika GDP, but the question comes – this production is for who? Mwalimu aliamua madini yasiguswe kwani yatakuwa abused hivyo ‘yakae tu huko chini kwani hayaozi' mpaka watanzania waweze produce wataalum wa kuyafanyia kazi wao wenyewe na kwa faida yao wenyewe; sasa yanaguswa na wawekezaji, na yanakuwa abused, ndio tunashangilia economic growth ya over 6% since mwaka 2000 kama ni mafanikio wakati hii inatokana na mchango wa madini in terms of production peke yake, not income from the sekta? Huu ndio uchumi uchwara.
It's obvious kuna watu wanadanganyika sana na GDP growth bila kuangalia nini kimeipelekea ku behave that way: angalieni hali za wananchi kama zinabadilika, na sio wa mjini, the 70% plus in rual areas! Otherwise hakuna that much of a difference between miaka ya Mwalimu sasa, especially in his first 20 years in terms of Maendeleo na mchango wa kilimo, manfucaturing;

Ni muhimu lakini tukaangalia impact ya kilimo on GDP kushuka from 48% to 29%; again, kwa kawaida haya ni Maendeleo lakini tumeone kwetu sisi hakuna lolote hapo; inatakiwa composition ya GDP ikishuka, kwingine ipande na ajira kwenye hizo sekta nyingine kama viwanda, mining, services zipande; ebu tazama jedwali la hapo chini la hali ya sasa relative to ile ya Mwalimu where about 80% of the labour force was in the agricultural sector, je leo tumepiga hatua kweli?

Table1: Employment in Tanzania According to Sectors (%)
SECTORDAR-ES-SALAAM (%)OTHER URBAN AREAS (%)RURAL AREAS (%)TOTAL(%)
Agriculture, Hunting, Forests7.138.081.867.9
Fishing0.51.31.41.3
Mining0.52.60.60.9
Manufacturing4.23.90.61.4
Production of electricity, gas and water1.00.90.50.6
Construction4.62.81.01.6
Trade (retail and wholesale)27.918.63.68.3
Hotel and restaurants4.53.30.61.4
Transport and communication6.72.90.41.4
Financial services0.70.20.10.1
Estate leasing0.30.20.10.1
Administration, Defence and Public safety5.43.20.51.4
Education2.32.61.11.4
Health and social welfare1.81.80.40.7
Other services30.315.56.910.4
Private household employing other persons2.12.10.40.9
Diplomatic offices and foreign service organizations0.10.10.00.0
Total 100.0 100.0 100.0 100.0

Source: Household Budget Survey + World Bank Data.

The table above proves kwamba GDP composition imeshuka from 48% to 29% sio kwa sababu ajira kwingine zimeongezeka kutokana na mafanikio ya kilimo (agricultural revolution) ambayo yamesaidia kupanua sekta nyingine; instead, ukweli ni kwamba kushuka kwa hii composition ni kwamba watanzania wengi vijijini wamekimbia kilimo kwasababu hakilipi, lakini kama tunavyoona kwenye hizo figures, hawajaenda kwenye viwanda wala service sector wala madini bali kwenye informal sector huko ambapo the so called service sector inawabeba kama wauza vocha, maji ya uhai, magazeti na wabeba zege;

Faizyfoxx, pia on your point kwamba:
"It is highly suicidal to economize on expenditures to your economy, to fuel economic growth you have to be extravagant in all aspects. How can you have a growth without spending? simple economy rule; "the more you spend the more you earn the more you earn the more you spend". That is the only way you can measure your growth, you can never ever measure growth by not spending. Be real."
Hata sijui nianzie wapi kukujibu hili, na wengi sana humu tayari wamelielezea sana; cha ajabu ni kwamba, ni wazo hili hili ulilonalo hapa ndilo linalotupelekea sisi kama nchi kufilisika kiuchumi kwani tunakopa kuliko tunavyoweza lipa na tunatumia kuliko tunavyoingiza

Hizo takwimu zako zote pumba tupu, mchele tumekuwekea juu huko kajibu kwanza.
 
kaka mimi binafsi huwa ninahusudu sana comments zako. ni za mtu aliyekwenda shule na asiyependa kujinafikisha, ati kwa kisingizio cha u-ccm wako.

kimsingi Faiza Fox hayupo hapa kutetea CCM. yuko hapa kwa hoja za udini.

unaweza kuthibitisha hilo kwa kupitia makala za Mohamed Said zinazoeleza mambo ya uhuru wa Tanganyika.

ukipitia makala zile ndiyo utajua motives za Faiza Fox. Ni udini na kumnanga Nyerere kiasi ambacho hata mtoa mada mwenyewe hafanyi, hasa la kumsakama Nyerere na familia yake.

Ng'wanangwa,
umenieleza kitu cha maana sana; sikujua kwamba context ya tofauti zetu ndio hiyo; nashukuru sana;
 
....... Lakini ukweli pia unabakia kwamba the real opposition from Chadema has to go beyond ufisadi; it has to involve attacking the new world order, not to embrace it; ninsingependa kuingia zaidi katika siasa za CUF kwani suala la muungano limekaa very unpredictable;

Mchambuzi hili unalosema ni kweli kabisa. Hawa CDM na hataa wapinzani wengine 80% ya effortr zao zipo kwenye political.. Tunajua matatzo mengi ya nchi zetu kwa asilimia kubwa yamesababishwa na siasa lakini suluisho la 80% linahitaji zaidi ya siasa . Though nami ni advocate wa change lakini sioni kama tunaowatazama wana mawazo mapya ya kutekelezeka na yenye tija nje ya siasa.
 
nashukuru kwa maswali mazuri tropical. tumbo laungu linanituma, kama vile lilivyo lako na ya wengine lakini kutumikia kitu chenye ku - maintain your dignity, and especially on something you believe in; i dont believe in kuitetea CCM pale napoona pana tatizo just because inanipatia mlo; mungu ametujalia njia nyingi sana za kuwezesha hilo, sio kwa kupitia kutetea masuala ya kipuuzi - yale mwalimu aliyosema ya kipumbavu;

Kuhusu kwanini chadema na sio CUF, i would rather say bila chama pinzani makini, point yangu nikwamba katika nchi yoyote ile yenye mfumo wa vyama vingi wenye demokrasia iliyokokaa, huwa kunakuwa na vyama viwili tu vikubwa vyenye ushindani mkali juu ya nani anamwelekeo bora wa maendeleo ya taifa, mimi kwa Tanzania sioni kama kutakuja chama kingine zaidi ya Chadema unless Chadema wenyewe waharibu; taarifa za CCM B na vitu kama hivyo sioni kama vitazaa chama kingine chenye nguvu to replace Chadema; Lakini ukweli pia unabakia kwamba the real opposition from Chadema has to go beyond ufisadi; it has to involve attacking the new world order, not to embrace it; ninsingependa kuingia zaidi katika siasa za CUF kwani suala la muungano limekaa very unpredictable;

Sawa mkuu lakini dignity ina kipimo sasa nashindwa kuelewa kitu gani wewe unakiona ni dignity si lazima mwanaJF aone the same way..nilikuwa nakutahadharisha tu kwamba "unatakiwa kutoa mawazo yako tu na si kufikiri ni sahihi kupita ya wengine" na kwamba wenye mawazo tofauti ni wachumia tumbo..

Swala la upinzani makini ni vema usingekuwa specific kuwa chadema makini otherwise unachosema ni kwamba wewe huamini katika "vyama vingine" unaamini chadema tu..vyama vya upinzani vyote vinatakiwa viwe makini kwa faida ya wanachama wake pamoja na taifa..

Hiyo selection unayofanya inaonyesha umekaa huku na kule kama wanafiki wengine walioko ccm mchana usiku wako cdm..
 
wanaofanya kazi kwenye halmashauri za wilaya na sehemu nyingine wanajua hili-nchi haina hela kabisa-
baada ya muda nchi itakuwa kwenye wakati mgumu sana

Hakuna wakati wowote Tanzania ipo "strong" ki "economy" kama sasa, tokea mkoloni.
 
Heshima mbele, kwenu Mdondoaji, Mchambuzi, ETM, Mosha na wengine.
Mada hii ni timamu, yenye mashiko na mvuto, uchambuzi, vithibitisho sawia na kuwa imekuja wakati muafaka. In terms of pure timing this is undoubdely the best ever!

Kila aliyesoma uzi huu na kupata elimu/taarifa na ajihesabu ana bahati kubwa sana!
 
Mchambuzi,

Sasa nimegundua jinsi gani Nyerere anabezwa na baadhi ya wenzake CCM,

Nyerere au mwingine yeyote anapokosea ataambiwa kweli, na ukweli sio maana yake kumbeza mtu. Bora anichukie kwa ukweli wangu kuliko kunipenda kwa kumpaka mafuta, hata kama kakosea mie nikenue meno kujichekesha. Unanchekesha!

na nadhani pia wapo viongozi wa CCM vilevile, na sababu zao ni ngumu kuelewa. Ila bila shaka, wengi wao ni wale wasio kuwa na maadili ya uongozi kwahivyo Jina la Nyerere kuwa mwiba mkali kwao. Ni ajabu kwamba hata viongozi wa CCM wapo wanaobeza mafanikioa ya Nyerere;

Hayo ni mawazo yako na siwezi kukupinga kwa mawazo yako. Mimi siongelei mawazo hapa naongelea facts.

Tunampima Nyerere kwa vipimo vya Colgate, TV na Magari? Ina maana kwamba sifa za viongozi wa leo ni upataikanaji wa Colgate, TV na Magari? Nilibahatika kwenda Kiteto na maeneo mengine mengi sana Tanzania huko vijijini na maisha yao kule hayana tofauti na mwaka 1961;

Hivi ulitaka mafanikio ya nchi yapimwe na nini? foleni za sukari ya kilo moja kwa wiki? foleni ya dawa za meno za Maxim? kwa foleni za kwenye UDA kunukishana vikwapa?

Kigezo cha kwenda Kiteto kukuta watu wanaishi kama 1961 si kigezo cha kitaalam hicho, Kiteto na kwingine kwingi Tanzania kuna watu wanaishi kama walivyokuwa wanaishi miaka 200 nyuma ni kwa utamaduni wao na si kwa kuwa wanakosa mahitaji yao. Nnakuhakikishia 1961 Kiteto walikuwa wanaishi vizuri zaidi ya walivyoishi 1967-1985, wakati wa dhiki kila upande, si Kiteto tu, Tanzania nzima. Leo unaniambia Kiteto? ni nini unachokitaka Kiteto cha mahitaji ya kila siku ukakikosa leo hii, wamwagie hizi pumba wengine. Usichanganye "culture" ya Wamasai wa Kiteto kuwabeza kuwa wanaishi kama 1961, nenda leo kaone huko huko Kiteto "ma dish ya satellite" mamtandao ya simu na ma "internet". yaliyokuwepo hayo 1961? Nenda kaone Kiteto leo wanavyolima Mahindi, yalikuwepo hayo 1980? Nnakuhakikishia hata gazeti la Ngurumo na Mzalendo walikuwa hawayajui huko wakati wa Nyerere, nani awapelekee?

Isitoshe, hizo Colgate hazishikiki (huku wengine wakitumia vitu mbadala); TV ndio usiseme kwani sio zaiadi ya 12% ya watanzania wana umeme, leave alone uwezo wa kununua TV sets;

Colgate ipo mpaka ya shillingi mi mbili, kama hutaki kuitumia ni mazowea tu lakini sio kuwa hazipo za bei nafuu. Hiyo argument dhaifu.
Umeme wa Tanesco Tanzania unawafikia zaidi ya 14% ya Watanzania, na hiyo hujaongelea wenye majenereta yao huko ambapo haujafika na haujaongelea wanaojifungia "solar" hujaongelea wanaotumia "vinyesi" kuzalisha umeme wao binafsi. TV wanaziona hata ukipita kwenye vitenbe ndani huko unakuta "madish" wanaona ligi ya Uingereza kama wewe uliopo mjini na bado Serikali inafanya kila njia kuwafikishia umeme, tunayaona kila siku.

Well, Nyerere admits hata mwenyewe kwamba kuna mambo ya maana alifayanya na mengine ya kipumbavu lakini akashangaa awamu za mbele yake zinaacha ya maana na kuchukua ya kipumbavu; we can talk about what made him fail lakini sidhani kama ni mahala pake hapa, kwa sasa tuangalie yafuatayo kwa ufupi tu; ila kwa kifupi ni Nyerere alivyokwisha sema - yanachukuliwa ya kipumbavu, yanaachwa ya maana.
Nyerere aliipokea hii nchi ikiwa na 95% of Tanzanians as wanavijiji, and 5% as urbanites; Sina haja ya kuziweka takwimu hapa kuonyesha ni jinsi gani mpaka anaondoka social development indicators zilivyokuwa juu kama vile literacy rates at upper 60s percent - one of the highest in Africa; Leo hii, illiteracy in Tanzania is about 30%; and about 24% of Tanzanians hawana elimu of any kind (hawajasoma hata darasa la kwanza); tunazidi kushangilia shule za kata from a quantitative side, and we totally ignore the qualitative side of it; social indicators nyingi sana zinawasuta wale wanaosema leo hii tumepiga hatua kuliko enzi za Mwalimu kijamii – tukitazama suala la afya, elimu in qualitative terms hakuna la maana sasa compared to zamani, ila kama hoja zenu ni quantitative, Hurray, mmewapata wajinga.

Ndio maana kwa sasa Serikali hawa "invest" kipumbavu. Hilo ni jibu kwa hayo ya Nyerere hapo juu.

Uchumi wa Mwalimu ulikuwa una trickle down to the 95% of the rural masses, huu wa sasa sio pro – poor growth na hatuna haja ya kuweka takwimu hapa kuonyesha hilo kwani zipo wazi kila sehemu; Mpaka mwaka 1985 wakati Mwalimu anaondoka, Tangia Mwalimu kaondoka, hakuna much changes katika composition mfano ya manufacturing on GDP as we can see kwenye figures (see table below);

Hakuna uchumi wa Nyerere " economy wise he was a total failure" kaacha nchi haina "reserve" hata senti moja na BOT imechomwa moto, na akakaa kimya hamna uchunguzi wala kusema ni nini kilichoisibu BOT , au hulijui hilo?

Kilimo - mhango wa kilimo kwenye GDP umepungua na kufikia 28.9%; kwa kawaida hii huwa ni ishara nzuri lakini pale tu kama Kilimo ndicho kinachozalisha then tukipata earnings from there ndio ziende kuamsha na kuendeleza sectors nyingine kama viwanda, mining etc, hivyo ndivyo economic development comes about na ndivyo nchi zote zilianza na kilimo na later kuwa industrialized; hivyo ndivyo green reveolution occurs – increase in productivity ya kilimo, then kizalishe na kuleta hela kwa wingi na hela hizo ziwe invested kufungua sekta nyingine za uchumi (sio kutegemea misaada au wawekezaji kufanya hilo); We see in the table below kwamba between independence and now, imepungua from 48% to around 29%; but hizi namba hazina maana yoyote kwani hazina mahusiano yoyote na kilimo kuwa productive na kutupatia uwezo wa kupata fedha ili zijenge viwanda vyetu, zichimbe madini yetu, zifungue taasisi zetu muhimu za umma; the change from 48% to 29% in agricultural composition kwenye GDP hazina association yoyote katika haya; why? Because we don’t invest in zaidi ya Mwalimu alivyokuwa anawekez mkazo; tumebaki na porojo tu za Kilimo Kwanza huku matrekta mengi yakienda kwa watu wasio walengwa; Tuangalie mfano in 1961, agricultural machinery, tractors per 100 sq. km of arable land was 31.8; as of 2004 it was down to 23; productivity ya kilimo compared to miaka ya nyuma imepungua sana – ebu fikiria in 1961 Cereal production (metric tons) was 1.1 million; by 2009, that figure had only reached to 6.2 million; mind you, in 1961, population yah ii nchi was around 9million, by 2009, 40million plus; hata tukiangalia annual growth in the kilimo sector (see the table below), hatuna cha ajabu cha kujivunia na kumbeza Mwalimu;

Manufacturing – hakuna anything impressive tofauti na Mwalimu Nyerere; at most imezidi kuporomoka; manufacturing composition yake on GDP haina tofauti sana na miaka ya nyuma nab ado hatujafikia kiwango cha Mwalimu cha 10.8% (see table below);

Service Sector – hakuna ubishi kwamba hii sekta imepanuka zaidi kuliko wakati wa Mwalimu lakini tusisahau kwamba service economy is a new phenomenon, hata nchi zilizoendelea halikuwa jambo la maana zaidi ya industrialization Kwahiyo kwa uwezo wake na bidii yake, a 22% level ya Mwalimu during the 1970 – 1980 period inastahili pongezi;

YearKilimo as % of GDPKilimo annual growth rateManufacturing as % of GDPManufacturing growth rateService Sector % of GDPService sector growth rate
1960 – 1970 (Nyerere)43.6%3.7%8.7%10.4%15.7%7.2%
1970 – 1980 (Nyerere)43.4%3.4%10.3%4.4%22%15.7%
200630.4%3.88.5%8.4%46.7%7.1%
200729.6%4.08.5%8.7%46.7%8.4%
200829.7%4.58.6%9.9%47.1%7.9%
200928.7%3.29.5%8%46.9%7.1%

Source: Various World Development Reports

Napenda kuzidi kusisitiza kwamba kinachofanya watu waone kuna mabadiliko katika pato la taifa (GDP) ni mchango wa sekta ya madini katika GDP, but the question comes – this production is for who? Mwalimu aliamua madini yasiguswe kwani yatakuwa abused hivyo ‘yakae tu huko chini kwani hayaozi’ mpaka watanzania waweze produce wataalum wa kuyafanyia kazi wao wenyewe na kwa faida yao wenyewe; sasa yanaguswa na wawekezaji, na yanakuwa abused, ndio tunashangilia economic growth ya over 6% since mwaka 2000 kama ni mafanikio wakati hii inatokana na mchango wa madini in terms of production peke yake, not income from the sekta? Huu ndio uchumi uchwara.
It’s obvious kuna watu wanadanganyika sana na GDP growth bila kuangalia nini kimeipelekea ku behave that way: angalieni hali za wananchi kama zinabadilika, na sio wa mjini, the 70% plus in rual areas! Otherwise hakuna that much of a difference between miaka ya Mwalimu sasa, especially in his first 20 years in terms of Maendeleo na mchango wa kilimo, manfucaturing;

Ni muhimu lakini tukaangalia impact ya kilimo on GDP kushuka from 48% to 29%; again, kwa kawaida haya ni Maendeleo lakini tumeone kwetu sisi hakuna lolote hapo; inatakiwa composition ya GDP ikishuka, kwingine ipande na ajira kwenye hizo sekta nyingine kama viwanda, mining, services zipande; ebu tazama jedwali la hapo chini la hali ya sasa relative to ile ya Mwalimu where about 80% of the labour force was in the agricultural sector, je leo tumepiga hatua kweli?

Table1: Employment in Tanzania According to Sectors (%)
SECTORDAR-ES-SALAAM (%)OTHER URBAN AREAS (%)RURAL AREAS (%)TOTAL(%)
Agriculture, Hunting, Forests7.138.081.867.9
Fishing0.51.31.41.3
Mining0.52.60.60.9
Manufacturing4.23.90.61.4
Production of electricity, gas and water1.00.90.50.6
Construction4.62.81.01.6
Trade (retail and wholesale)27.918.63.68.3
Hotel and restaurants4.53.30.61.4
Transport and communication6.72.90.41.4
Financial services0.70.20.10.1
Estate leasing0.30.20.10.1
Administration, Defence and Public safety5.43.20.51.4
Education2.32.61.11.4
Health and social welfare1.81.80.40.7
Other services30.315.56.910.4
Private household employing other persons2.12.10.40.9
Diplomatic offices and foreign service organizations0.10.10.00.0
Total 100.0 100.0 100.0 100.0

Source: Household Budget Survey + World Bank Data.

The table above proves kwamba GDP composition imeshuka from 48% to 29% sio kwa sababu ajira kwingine zimeongezeka kutokana na mafanikio ya kilimo (agricultural revolution) ambayo yamesaidia kupanua sekta nyingine; instead, ukweli ni kwamba kushuka kwa hii composition ni kwamba watanzania wengi vijijini wamekimbia kilimo kwasababu hakilipi, lakini kama tunavyoona kwenye hizo figures, hawajaenda kwenye viwanda wala service sector wala madini bali kwenye informal sector huko ambapo the so called service sector inawabeba kama wauza vocha, maji ya uhai, magazeti na wabeba zege;

Faizyfoxx, pia on your point kwamba:
“It is highly suicidal to economize on expenditures to your economy, to fuel economic growth you have to be extravagant in all aspects. How can you have a growth without spending? simple economy rule; "the more you spend the more you earn the more you earn the more you spend". That is the only way you can measure your growth, you can never ever measure growth by not spending. Be real.”
Hata sijui nianzie wapi kukujibu hili, na wengi sana humu tayari wamelielezea sana; cha ajabu ni kwamba, ni wazo hili hili ulilonalo hapa ndilo linalotupelekea sisi kama nchi kufilisika kiuchumi kwani tunakopa kuliko tunavyoweza lipa na tunatumia kuliko tunavyoingiza

Hizo takwimu zako zote pumba tupu, mchele tumekuwekea juu huko kajibu kwanza.

Source please.
 
hata kama ni propaganda umezidi na wewe hebu kaa kimya muda mwingine tuweze kupata facts agrrrrrrrrrrrrrh...
ujuaji kila kitu eeeeeeeeh
diversion kila sehemu "magwanda magwanda" wakati intellectuals wanatupa fact hapa
unabahati sana wewe shukuru hii katiba tu
Ibara ya 18, "kila mtu ana haki ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza, kutafuta, kupata na kusambaza habari na mawazo yake kupitia chombo chochote kile cha habari bila kujali mipaka ya nchi, na pia ana haki ya uhuru wa kutokuingiliwa mawasiliano yake".

Facts mnaziona uchumi umekuwa 6.3% bado hamuoni, mnapindua pindua maneno. Mnanshangaza.
 
Nimewahi kuliuliza hili swali na sijawahi kupata jibu la kiakili.

a. Asilimia kati ya 20 na 30 ya bajeti yetu inapotea kwa kwenye ufisadi
b. Vitendo vya ufisadi vimeingia kwenye kila taasisi ambapo matokeo yake ni kutumika na kupatikana kwa fedha ambayo haitokani na uzalishaji mali
c. Shughuli nyingi za kiuchumi zinahusisha vile vile fedha nyingi za kifisadi (zilizopatikana kiharamu)

Well..

a. Ni kwa kiasi gani uchumi wetu unahusiana moja kwa moja na ufisadi? Kwa mfano mirija ya ufisadi ikifungwa au kuzibwa uchumi wetu utaathirika vipi?

b. Je tunaweza kutengeneza uchumi wa kisasa bila kushughulikia ufisadi?

Nimesoma sana takwimu mbalimbali na hata kuangalia "data" mbalimbali zinazotolewa hapa kuhus GNP au GDP, PPP na makolombwezo yote hayo. Yote yanafurahisha akili lakini ukweli ni kuwa namba zote hizi ni za UONGO. Ni za uongo kwa sababu the most constant element ya shughuli zetu za uchumi - corruption - haiingizwi. Hivi kweli tunaweza kuzungumzia Per Capita Income bila kuangalia corruption? Mtu ambaye income yake ya kila mwezi inaongezewa na shughuli za corruption anahesabiwaje? Ili kampuni ifanye biashara mahali fulani inahitaji kuweka kwenye bajeti yake kiasi kidogo cha kulainisha mikono ya watu - unaweka wapi hizo fedha kwenye hesabu zako za capital expenditure?

Tunaweza vipi kusema hali yetu ya kiuchumi iko hivi au vile bila kuangalia the level of corruption?

Labda hii economic crisis ni nzuri kwa nchi kama Tanzania kwa sababu misaada ikipunguzwa na gharama zikipanda watu wataanza kuangalia kweli ni kitu gani tunazalisha na kutumia kuweza kusustain maisha yetu. Kwa mfano, bei ya viwanja Dar au hata mapango kweli mtu anaweza kusema inatokana na kanuni za "demand and supply" ?
 
angalia marekani wanapokopa wanakopa kwa matumizi gani jimama

Mkuu, nimejitahidi sana kmwelezea tofauti ya ukopaji wa mataifa mengine na ukopaji wa Tanzania. Kwa bahati mbaya hakunielewa na alishusha single zake zile za kawaida- Udini na Ushabiki kwa kikwete( sii CCM, maana hapa kuna mdau mmoja, mchambuzi ambaye amejitambulisha dhahiri kuwa ni CCM, lakini bado fikra zake ni objective sana). Binafsi siamini kama huo ndio upeo wa dada FF wa kufikirri ila anafanya makusudi tuu. Nafikiri anapata raha sana anapojibiwa vibaya.
 
"Core inflation, measured excluding food and energy components, remains in single digits"

Na hilo hamjaliona wamwaga pumba?
 
Haya ndiyo nayaita mawazo mgando. Kwanini halmashauri zishindwe kujiendesha zenyewe?
haziwezi jiendesha zenyewe kwa reasons 2
moja-system iliyopo ya uongozi inawafanya wawe tegemezi
mbili wana limited sources of fund,
 
Dah!!..... yaani wewe unataka kuniambia hatuwezi kuzidisha exports zetu? Hatuwezi kuzidisha ?
Then let's not waste our time.

Soby,

Narudia numbers do not lie. Tumezidisha exports wakati Current account deficit inaexpand kila siku. Mwezi wa 9 Tanzania current account deficit ili expand by 8% kama kawaida BOT ikakimbilia kulaumu oil prices and food prices. Zanzibar iliyokuwa ikirikodi current account surplus, recorded a deficit this year. Unafikiri hizo foreign currencies tutazitoa wapi????
 
angalia marekani wanapokopa wanakopa kwa matumizi gani jimama

Kwanza wewe uangalie Tanzania wanakopa kwa matumiza gani halafu tazama IMF wanasemaje:

"...the Bank of Tanzania's reserve money targets were met and foreign commercial borrowing was kept well within program limits..."
 
Kwanza wewe uangali Tanzania wanakopa kwa matumiza gani halafu tazam IMF wanasemaje:

IMF hawawezi kusema baya lolote kwa hii serikali yetu ya mfukoni hasa kama wanahakikishiwa kuvuna madini na misitu yetu.

IMF na Worl Bank ndo hao hao kina Nicolaus Sarkozy ambaye ni ndugu yake na Christine Lagard waliofadhili mauwaji ya Qaddafi ili wanyonye mafuta.

Na ndiyo hao hao kina Cameron wanaotaka sasa kuwageuzia kibao kwamba lazima mruhusu raia wote wa nchi yenu kuolewa(bila kujali jinsia) ili mpewe misaada.

Tanzania inapashwa kusemwa vizuri na Watanzania wenyewe, siyo IMF.
 
hakuna wakati wowote tanzania ipo "strong" ki "economy" kama sasa, tokea mkoloni.
nilikuwa sifahamu kama kulikuwa na tanzania ya mkoloni,
nilikuwa sijafahamu hilo-so sikuweza kui-consider kwenye comparison yangu
 
Back
Top Bottom