Je nikuulize Sie tunakopa kwa ajili ya kuwekeza au tunakopa kufidia mashimo ya bajeti? Vile vile nikuulize Our economic growth rate is 6.3% and rate of inflation is 17% Je growth ya tanzania inatokea wapi? Hebu tupe mchakato wa hizo activity drivers zinazosukuma uchumi kukuwa by 6.3% na vile vile kuweza kumanage debt kama unavyofikiria wewe. IMF wamesema hivi na nanukuu:-
Tunakopa kwa kuwekeza na tunakopa kwa kufidia bajeti. Hivi mabarabara, ma University, ma shule. Huo wote kivyako wewe sio uwekezaji? Unanshangaza sana.
Hivi ulitaka Serikali iwekeze tena kwenye viwanda vya umma, warudie makosa ya Nyerere? ni kiwanda kipi cha Umma kilichofanikiwa? uwekezaji wa uhakika ni kwenye elimu na miundo mbinu na huo ndio unafanyika kwa sasa, na hizo ndio katika "reforms strategies".
Kuhusu kufidia bajeti, naomba tazama takwimu zimewekwaa juu huko, uniambie ni kipindi kipi toka 1967 mpaka sasa ambacho tunafidia bajeti kwa kiwango kidogo? toka kashika Kiwete tumetoka kwenye zaidi ya 40% sasa tupo "around" 25%. Au hilo hulioni?
Under the PSI program through June 2011, the Bank of Tanzanias reserve money targets were met and foreign commercial borrowing was kept well within program limits. However, partly due to the shortfall in commercial borrowing, domestic financing of the budget was higher than planned and the target for accumulating net international reserves was missed. Structural reforms are moving forward, notably to strengthen debt management capacity.
Discussions during the mission focused on ensuring that public spending does not exceed the available fiscal space; setting the right policy mix for reducing inflation; and the financial implications of Tanzanias emergency power plan.
It was agreed that the budget deficit in 2011/12 should be allowed to exceed the earlier programmed level (6 percent of GDP) to help finance the emergency power plan and accommodate expanded social spending. At the same time, savings will be implemented in non-priority programs, ensuring that the deficit is reduced from year-ago levels to around 6½ percent of GDP. This fiscal tightening will also help the disinflation effort.
The authorities intend to pursue prudent fiscal policies in 2012/13 and beyond to stabilize Tanzanias rising public debt, projected to end this year at close to 42 percent of GDP. The government has agreed that recurrent spending in the 2012/13 budget should not exceed the financing provided by revenues and grants. This will require continuing efforts to prioritize spending and/or increase revenue collections.
The authorities will maintain tight liquidity conditions to help reduce the demand for foreign exchange and stem inflationary pressures. The floating exchange rate regime will be maintained, and the accumulation of international reserves will benefit in the coming months from new donor funding and other credits.
The governments emergency power plan combines public and private investment in new thermal power capacity, with initial investments having already reduced the frequency of load-shedding. The purchase cost to the state power utility of the new power supplies is relatively high, and the government recognizes that early steps will be needed to strengthen the power utilitys finances.
Reflecting discussions in these and other areas, the authorities and the mission reached understandings, ad referendum, on economic policies and reforms that could be supported under the PSI. The IMF Executive Board is expected to take up the third PSI review in January 2012.
Mwisho wa kunukuu.
Hayo uliyowawekea nyekundum ndio mambo yaliyokuwa kwenye "discussions" ya kuyafanyia kazi, ambayo ni kawaida kabisa, kama huna cha kuyafanyia kazi ili kuboresha uchumi wako utakuwa na faida ipi? tayari umeshatosheka? mnashangaza sana sijui hujaliona neno "discussion"?
Sasa yatazame hayo ambayo hujayaweke "red" uone ni nini hicho? uchumi mbovu?
Kwa hivyo basi serikali yenyewe inaliona tatizo la madeni ya nchi. IMF wanachokipendekeza na kukubaliana na serikali ndio hichi tunachokisema hapa kuwa serikali inahitaji kusave hela na kupunguza gharama zisizo na umuhimu pamoja na kutatua tatizo la umeme. Let us hope they keep their promise to the IMF we shall see!!!
Unasave pale unapokuwa nazo, na hilo linaongeleka tu pale unapokuwa nazo au hilo vile vile linakupa shida kufahamu hujakiona hiki kipande? hiki ndio hicho unachokiita wewe "kusave" "the Bank of Tanzanias reserve money targets were met and foreign commercial borrowing was kept well within program limits."