Anyisile.. the question is about pattern of thanks... hilo la pumba ilikuwa ni off comment of speculation ya hiyo pattern...
nimikupataAnyisile.. the question is about pattern of thanks... hilo la pumba ilikuwa ni off comment of speculation ya hiyo pattern...
:behindsofa:...Mh... Babu kakasirika sasa... Bakora nje nje...:bolt:
Mdau , kumbukumbu zangu hazioneshi kwamba uliomba ruksa kutumia takwimu zangu.
Beware, this could lead to serious legal repercussions, if repeated in the future, without prior notice and grant of permission in writings, the said being recorded in a piece of hard-copy and/or electronic form within a readable domain of finite space, showing my legal seal and/or signature and time in (yy/mm/dd) form.
Next time u will be hearing from my lawyer!!!
Mwakijiji wewe nadhani ni amango top thanked member humu JF. Hata hivyo, only 10.05% ya post zako 19812 ndio zilizokuwa thanked!
Is it that the more you post the less the % frequency of being thanked?
Let me go and check on the % of thanks for least thanked member.
Oh yeah?u r not serious!
WEWE TEAMO na wengine ambao hamjaelewa ninachoongelea hapa:
1. Hapa hakuna malalamiko wala nini - ni katika kuona kitu kikakuvuta ukifanyie upembuzi.
2. Nime sema pattern ya thanks inacheza kati ya asilimia 10-30 ya total posts kwa wastani.
3.Haijalishi wewe una shukrani kiasi gani kwa wenzio- mfano wa Mwanakijiji ulioutoa hapa, ni kweli MKJJ yuko mkarimu sana kusema asante hata pale ambapo kachangiwa michango isiyo mizuri sana.Bado anatambua mtu kutumia muda wake na computer yake kuweka wazo kimaandishi. NAMPONGEZA KWA USTAARABU HUU. Kuna wenye kutoa asante hata bila kuwa na sababu kubwa kivile - hii ni kwenye utani zaidi na hili linaeleweka.
4. Mwisho wa siku pattern ya 10-30% of posts, mark you - posts SIZUNGUMZII THANKS hapa- prevails na ndicho ninachokijali ... Chukulia mfano Mwanakijiji - Posts 19,795 kashukuriwa katika posts 1,976 WHICH IS IN THE CATEGORY OF 10%! haikushangazi?
TOO LOW!.....
very unprofessional
Usemi huu huwa una maanisha nini? Huwa naona watu wakiutumia lakini nina shaka kama tunajua maana halisi ya usemi huu!
Kitu kisicho na maana kabisa! Upuuzi ! Ujinga etc etc ninavyoelewa mimi
Mtu akikwambia this is below the belt na Very low these words can be used interchangeably.....nadhani nimeasidia kidogo
Labda hawajaona mtu aliyeongea point!Ila kuna watu wengine wabishi unakuta mtu ana michango 1000, hajatoa thanks hata moja ila yeye kapewa thanks nyingi tu!