Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Umeona guu hilo lakini? Mtoto mashalaaah
hivi kama huyu wanauzwa duka gani,
assseeeee, hii mutoto inasisimua my heart so hard!
haya mambo haya, hivi toto kama hilo unapata wapi ujasiri wa kutokumhonga ka salary kako kote,
kasinde hii ni picha yako...inaonekana kama mtu mzima sana na unastahili kuwa na familia unalea...hahaha
na za kwako pia,
ila ndio unampa nafasi ya kukuovateki ujue,
anyway no problemo, we utakua bi mkubwa,
ukachukua vyumba viwili vya mtima wangu na yeye atachukua viwili vilivyobaki,
Kama siyo msaagaji upo njiani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Asante nawe... karibuuuu
Mungu Fundi shekheNa wakati mwingine tunasuuza macho hadi abdala anashtuka. It's normal, unless uifanye kupita kiasi. Nikiwa na baby najitahidi shingo ikakamae..teh!!
Mkuu umeandika ngonjera ndefu sana, swali ni simple tu UMEWAHI KUVUMBUA NINI MKUU??
Wewe usiyewaza ngono umewahi hata kuvumbua baiskeli inayoenda kinyume nyume ili wataalamu wakusaidie kuifanya iende mbele??
Punguza u-much know..............