PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Yesu. Alisema Jicho ni Taa ya Mwili, Jicho likiwa Bovu Mwili wote Uwa Mbovu.fahari ya macho sio dhambi hata kidogo
Maana yake ni Nini!
Maana yake ni kwamba Mlango wa kuelekea Maovuni ni Macho yako.
Macho uona, upeleka Hisia isia uamsha Matamanio, matamanio uzaa Tukio la zinaa.
Hivyo basi Macho ni Mlango mbaya sana kuamsha Maovu.
Mfalme Daudi Alimchungulia Mke wa Uria akiwa Anaoga Ikapelekea kuwaka Tamaa na Kupelekea kuzini nae.