Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Ama kwel nyan haoni kundule mbon huwaga mnatukata macho pia

Mie sio nyani hivo najiona kila mahali, ni kweli huwa nawakodolea sana tuu wanaume pia kwa raha na starehe zangu....
 
Bora wewe ume tuelewa jitahd kuwafundisha wenzako,ata tunavyochepuka inabd mtuelewee tuu angalau kdgo.
 
Sasa nawewe kilikuwa kinakufurahisha kipi kwamwanamke mwenzako??
##au unaappreciate shape zao than yako??

Huwa wanasema wanawake hawapendanagi.... sio kimapenzi bali hata kusifiana. .... au kukubali kitu alichofanya mwanamke mwenzako. Nilikuwa naumizwa sana pale niko na mwanaume halafu anajisahau kama yuko na mimi anazubaa kumuangalia mwanamke mwingine saa ingine hata sio mzuri ila labda amepaka marashi mazuri au kuvaa kiatu kizuri au hata rangi yake ni ya mvuto.....

Hii ilinifanya japo wao ni wanaume ila kama binadamu huwa wanavutwa na nini. ... wakati huo wakozubaa kumuangalia mwanamke akili yao inawaza nini... inapata nini.... inashiba nini. ... nikajikuta namimi naanza kuwa makini kama wanaume kumuangalia mwanamke mwenzangu tena saa ingine nazubaa kushindwa hata mwanaume..... ndo nikagundua kuwa mnafaidi sana na mwanamke asili yake au jinsi alivyo maumbile yake hurojesha macho na akili na kumfanya mtazamaji aduwae au aachame mdomo hata inzi aingie bila mshangaaji kustuka.

Najua kuna wenye hofu kuwa naelekea kuwa lesbian au msagaji. ... laah sina hisia na mwanamke ni uchunguzi wangu na umeishia hapo. Mie ni wa kucharazwa na kirungu utamu ule siwezi uacha nikafanya ya siyo na tija wala kueleka. Sijui umenielewa....
 
Kuna mechanism gani ndani ya mwili/moyo wamwanaume iliyokuwepo ktk mwili/moyo wako kiasi nawewe kurojeka ukimwona mwanamke mwenzako??
 
Wala moyo hauhusiki hapa. ... ni akili tuu (mind)...ndo maana siwezi kumtamani mwanamke mwenzangu.
 
Ukienda uganda shingo inakatika,hakuna mji wenye mabint wenye chura kama ug,alafu uvaaji wao sasa,1st time niliumwa kichwa na shingo
 
Vituo vya mafuta vya KOBIL ndio balaa hao wahudumu utadhani uko mitaa ya Sinza....wanapiga vimini mpaka unabaki mmmh!

Back
Top Bottom