Hhahahahaha BAK banaa, siku hizi sinuni tena tunaosha wote macho hehehehe, saa nyingine nikiwa na mwanaume huwa namstua nikiona mdada mkali ili avute hisia halafu akishapita naanza kumchokoza hahahahaha utaskia hebu njoo ndani mara moja nikitoka huko natembea migulu baja, na kama tuko kwenye gari na ni maeneo ya porini basi napewa kazi ya kuhesabu nuti za tairi kama zimetimia hahahahaha nikimaliza kumpa idadi wazungu washaingia saa mingii, laah kama maeneo ya mjini basi hotel au lodge inahusika.
Wadada siku hizi wanajichonga kwa kuvaa cosets za kubana halafu hapo nyuma wanaachia wazi akitembea sasa ni mrindimo utasema tetemeko la ardhi.
Ila kuna wale wako flat nyuma ila dera linazunguka juu chini kulia kushoto kadri wanavotembea hahahahaha wanaume mna kazi sana looh.
Bado mkiona mikato ya chupi kwenye makalio mnadindisha ndwiii