Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Hooold up Kasie! Unamaanisha nini kusema wanaume tunafaidi..have you switched teams..? Same love stuff?

Anyway, to put it in another perspective that might help you ladies see where we coming from when it comes to that...Ni kama wengi wenu na "uchizi" wa viatu. Mnaweza kuwa na pair 200 ndani, unavaa 3 tu, ila bado ukiona viatu ambavyo huna au ikitoka fasheni mpya unapagawa.
 
Hooold up Kasie! Unamaanisha nini kusema wanaume tunafaidi..have you switched teams..? Same love stuff?

Hhahahahahahaaa Sergio, am into you men..... and am enjoying the breez..... mngekuwa mmetuelewesha wala wivu na hasia hakuna. You guys enjoys for watching us.... the morphology.... I have not switch the team naaah am not in same love lesbian thing naaah...... kwa jinsi ninavolipenda rungu sitarajii kuja kufanya huo ungese wa same love staff.....

Wanaume mnafaidi kuwatazama wanawake... mwili wa mwanamke ni dawa, hata kama una msongo wa mawazo kwa kuwatizama wanawake mbalimbali wanaotembea barabarani au kazini au kwenye migahawa macho yanasafishika na kuwa fresh akili pia inakuwa mpyaa.

Anyway, to put it in another perspective that might help you ladies see where we coming from when it comes to that...Ni kama wengi wenu na "uchizi" wa viatu. Mnaweza kuwa na pair 200 ndani, unavaa 3 tu, ila bado ukiona viatu ambavyo huna au ikitoka fasheni mpya unapagawa.

Hhahahahaaa ni kweli usemacho, tangu niwaelewe ni sawa kabisa kama vile sie kuwa na hand bags na viatu ndani na bado nikiona kiatu kipya cha gap au aldo au nine west nataka kununua tena.

How are you by the way....??!!
 
Na mimi nimegundua pia wadada wengi pia hutupia macho wadada wengine (kama ilivyo wanaume tu au zaidi!😀😀😀). Hii ni tofauti kidogo kwa wanaume......kama njemba ina pita ni mara chache tunaangalia kwa ku admire sana sana unaangalia tu asije kuwa ni kibaka🙂🙂🙂.

Makadirio yangu:
>>>>Kama kuna wanaume 10 wapo pamoja halafu akapita dada mrembo, 10 kati yao watamtizama!😀😀😀😀😀
>>>>Kama kuna wadada 10 wapo pamoja halafu akapita dada mwingine mrembo, 9 kati yao watamtizama!😎😎😎
>>>>Kama kuna wanaume10 wapo pamoja halafu akapita njemba mwingine (tuseme handsome hivi), labda 3 tu kati yao watamtizama!😉😉😉
 
Si ni Miungu wenyu hao wamewakatazeni kuzini kutumia matamanio ya macho?
Hayajaandikwa haya kwenye vitabu vyenyu vya dini?
hapa hatuzungumzii imani ---- ni uhalisia,,,, kusifu uumbaji ni haki ya kila mtu bibie
 
hapa hatuzungumzii imani ---- ni uhalisia,,,, kusifu uumbaji ni haki ya kila mtu bibie

Bidada,hivyo,vitabu vyenu vinawashawishi mkamsifu MUUMBA ama VIUMBE??..........ona mnavyo kurupuka ?...labda tatizo ni upara mkubwa uliyoota Bi kidude!
 
Hahahahah, hata mavi ukinya kama siyo chooni lazima uyatizame ni kawaida tu, wewe ndo ulikuwa unatake negatively.

mmmhhhh ......... sivutiwagi kuangalia kitu kibaya kwa umakini hivyo labda wengine, turudi kwenye mada...kiukweli nilikuwa siwaelewi kabisaaa
 
Bora imekuchukua miaka 10 kuwaelewa wanaume..... kuwaelewa wanawake it may take a life time!!!!!
 
Hhahahahahahaaa Sergio, am into you men..... and am enjoying the breez..... mngekuwa mmetuelewesha wala wivu na hasia hakuna. You guys enjoys for watching us.... the morphology.... I have not switch the team naaah am not in same love lesbian thing naaah...... kwa jinsi ninavolipenda rungu sitarajii kuja kufanya huo ungese wa same love staff.....

Wanaume mnafaidi kuwatazama wanawake... mwili wa mwanamke ni dawa, hata kama una msongo wa mawazo kwa kuwatizama wanawake mbalimbali wanaotembea barabarani au kazini au kwenye migahawa macho yanasafishika na kuwa fresh akili pia inakuwa mpyaa.

Hhahahahaaa ni kweli usemacho, tangu niwaelewe ni sawa kabisa kama vile sie kuwa na hand bags na viatu ndani na bado nikiona kiatu kipya cha gap au aldo au nine west nataka kununua tena.

How are you by the way....??!!

I'm good, thank you.

I'm glad you've cleared that out. Muda wowote ukihitaji kuwaelewa zaidi wanaume na "marungu" yao, I'd be happy to help in the best way possible.
 
Yaa macho hayana pazia

Yanaona kila kilicho mbele ila kuna vitu ukivitazama macho huwa yanakuwa kama yamegandishwa na sumaku...... yanajikuta yanaendelea tuu kuangalia hata kama kichwa hakitaki hehehee
 
Its just appreciating the female beauty, its only wrong if you act towards it
Now I understand its just appreciating the female beauty, but by then..... I was bitterly angry why he was looking at other women while he was with me...... I think you men have to tell your ladies about the issue that it is just watching nothing else...(though it might lead to mtongozo hehehehee) otherwise its nature for us women to get jealous...
 
Back
Top Bottom