Ni kweli Mungu kaumba maana saa ingine unaweza kusema huyu sio wa kuchonga kweli au wale wa kuchora kwenye magazeti ya sani.....
Nikweli, wakati ukiwa unashangaa uumbaji wa Mungu.... unajikuta unakaa kimyaaa ndo maana hata honi barabarani unaisikia ya tatu au ya nne, honi ya kwanza na pili husikii.....
Mie nikipishana na mwanaume aliyeivutia huwa naosha macho maeneo ya kiuno na kifuani baasi. Nasuuzikaaa.
Mkuu umeandika ngonjera ndefu sana, swali ni simple tu UMEWAHI KUVUMBUA NINI MKUU??Utakosaje kulipenda?
Itakua maajabu sana, kama ulivyo mwaafrika wa kawaida,kazi ni kuwaza ngono,kungonoka,kula,kulala,mziki na chakula pamoja na mambo kama hayo.
Mnatumia muda,nguvu na wakati mwingi kwa haya badala ya kuwaza jinsi mtakavyo vumbua teknolojia /mashine za ajabu,sayansi,na uvumbuzi wa aina mbali mbali mkajiepushe na janga la magonjwa ya kutisha yanayowazonga pamoja na umasikini.
Haya basi mkishamaliza kuwaza ngono mkatafutane kabisa mkangonoke,baadae UKIMWI kwenda mbele ,hata mlivyo athirika kama bara la watu weusi atakuja mzungu anayetumia mda wake kwenye mahabara kuvumbua tiba akawaokoeni.
Shida kwl kwl.
hiyo ni asili tu ya viumbe vya kiume ndio maana ni rahisi sana kumuona beberu anayapanda majike yote zizini....kama ilivyo kwako vigumu kutuelewa hata sisi bado tunajifunza kuwaelewa.
mameno mengine sio!Hahahahah, hata mavi ukinya kama siyo chooni lazima uyatizame ni kawaida tu, wewe ndo ulikuwa unatake negatively.
Kassie miaka 10 ndio kuwaelewa wanaume? Na bado ujaolewa tu, karibu kwangu nataka niongeze mke wa pili. Lakin Yesu alisema " Kila amtazamae mwanamke na kumtamani moyoni mwake amekwisha zini naye" Mara nyingi sisi wanaume atuishi kuwaangalia tu pia uwatamani. Je kwako vipi nawe unawatamani?Habari za usiku mabibi na mabwana,
Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi.
Msema ukweli siku zote mpenzi wa Mungu. Mie tangu nijifahamu kuwa ni mschana bin kigori niliyekamilika idara zote, nilikuwa na marafiki wengi wa kiume na kati yao kuna waliokuwa wapenzi. Shida kubwa ya Kasie nilikuwa siwapi nafasi wanaume, muda wote naambatana nao na kugombana nao.
Ugomvi wangu kwao ulikuwa ni tabia ya wanaume kupiga kiwi cha macho pale anapopita mschana aidha awe mrembo au hata wa kawaida tuu ila ananukia uturi wa kuamsha hamasa, basi mwanaume bila kujali mie nipo pale atamtizama yule dada hadi atakoishia tena kwa kushangaa saa ingine hadi kuachama midomo.
Hii kitu ilikuwa inaniudhi inanipa hasira na kunipa wivu.... kwanini amwangalie yule inamaana mimi sio mzuri? Simvutii? Sasa kama anaangalia wengine mi nafanya nini hapa si aniache awafate hao...? Nilikuwa nachukia mno.... (hii ndo ilikuwa dalili kuwa Kasie ni mbinafsi ). Nakumbuka kuna jamaa mmoja ndo ilikuwa mtoko wetu wa 2 tangu tufahamiane na ndo ilikuwa tunawekana sawa ili tufahamiane zaidi. Heee...!!! Katikati ya maongezi si akapita mdada mrembo kiukweli, asipigwe na butwaa nini.....! Nikamstua mara 2 hasikii. Nilinyanyua pochi yangu nikasepa na ndo ikawa mwisho wetu.
Kiukweli nilikuwa sijawaelewa kuwa ile ni kusuuza macho tuu japo saa ingine hupelekea kuosha rungu.
Tangu mwaka jana nikaanza kufanya majaribio ya kuwa nikiwa kwenye migahawa au barabarani nikiona mdada anayevutia au mrembo namtizama kwa umakini. Nilichogundua... kiwi cha macho kitamu na wanaume wanafaidi.
NAMALIZIA NILIPOISHIA JANA.......
Siku hizi nimekuwa addicted na kuangalia wadada, yaani nikipishana na mdada lazima nigeuke kumuangalia nyuma. Au nikiwa kwenye gari najikuta naangalia wadada hasa unakuta wamevaa dera halafu huku nyuma ni maashalaah looh basi ntasindikiza ile dodoma singida na nikimpita namuangalia kwenye side mirror hadi anapotea. Hii ya kwenye foleni imeshanitokea sana yaani inakuwa tumesimama foleni halafu kuna mdada nakuwa namuangala kwa mshangao kuja kustuka napigiwa honi na gari la nyuma kumbe magari yalisharuhusiwa siku nyingi mie nimezubaishwa na kumuangalia mdada.
Nilichokigundua, wakati unaweka umakini kuangalia maungo ya mwanamke ila akiwa amevaa nguo, akili huwa inapumzika na inaburudika au inafurahi. Nimejikuta nimewaelewa sana wanaume na hata ningekuwa kwenye ndoa mwanaume wangu wala asingepata tabu ya mie kukasirika tena kwa yeye kuduwaa kumuangalia mwanamke.
Wengine unakuta hana tako ila ana kashepu ka uchokozi ambako ukimuangalia na nguo aliyoivaa daah unajikuta unazubaa flani hivii huku akili inaburudika hahahahhaaa.
Uzuri wake muda mwingi nakuwa nimevaa miwani tinted na kwenye gari vioo ni tinted hivyo huwa hawanioni sana ninavyopiga kiwi cha macho.
Ila wanaume muda wote huo wanafaidi ila hawawaambiagi wanawake wao ukweli na kujikuta wananuiwa au kusababisha ugomvi, ila mie nimeshawaelewa sanaa hahahahaa.
Kasie.
Well said Kasinde na huo ndio ukweli wenyewe.
Wewe alishakupata na kila wakati anasuuza macho na rungu kwako. Sasa mwache asuuze macho kwa wengine.
Kila binadam anafanya ogling.Mwanaume ni rahisi sana kushtukiwa akiwa anapiga chabo kwa sababu ana tunnel vision ndo maana anahitaji kugeuza shingo ili aone.Ni vigumu kumspot KE akiwa anapiga chabo kwa sababu wana strong peripheral vision, ana uwezo wa kuona nyuzi 45 upande wowote bila kugeuza shingo...hizi tofauti hutokana na evolution...wanawake wanaongoza kwa kuwapiga chabo wanaume kuliko wanaume wanavyo wapiga chabo wanawake....Hadi watawa wa kike hupiga chabo kama kawaida.
Bora umegundua hilo aisee.
Ila kuosha rungu hilo neno nalipendaga sana
ooh really!!A lower than that... average is an upgrade.......
come on(yo happy now aaah???)... a selfie please....
..but not a smooth operator😀😀He was being a man ....
good for you..... but by now I understand them very well.
Ni kweli hata sie wamama huwa tunawakata macho wababa kwa vijana saa ingine unaona mtulinga ambao haujakaa ndani ya boksa unaenda kulia kushoto kulia kushoto ndani ya sarawili hehehehehe unabaki unaeza mate tuuuu mmmhhNa mimi nimegundua pia wadada wengi pia hutupia macho wadada wengine (kama ilivyo wanaume tu au zaidi!😀😀😀). Hii ni tofauti kidogo kwa wanaume......kama njemba ina pita ni mara chache tunaangalia kwa ku admire sana sana unaangalia tu asije kuwa ni kibaka🙂🙂🙂.
Makadirio yangu:
>>>>Kama kuna wanaume 10 wapo pamoja halafu akapita dada mrembo, 10 kati yao watamtizama!😀😀😀😀😀
>>>>Kama kuna wadada 10 wapo pamoja halafu akapita dada mwingine mrembo, 9 kati yao watamtizama!😎😎😎
>>>>Kama kuna wanaume10 wapo pamoja halafu akapita njemba mwingine (tuseme handsome hivi), labda 3 tu kati yao watamtizama!😉😉😉
Hhaahahhahaaaa Sergio..... you know what I like ...... the glass lens thing .......looking at the bells or balls...... naked.......I'm good, thank you.
I'm glad you've cleared that out. Muda wowote ukihitaji kuwaelewa zaidi wanaume na "marungu" yao, I'd be happy to help in the best way possible.