Miss Rwanda: Wanaume wote ni wanyama

Miss Rwanda: Wanaume wote ni wanyama

36info

Member
Joined
Nov 17, 2025
Posts
13
Reaction score
38
Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'.

Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana kukasirishwa na matukio ya ukatili wanayofanyiwa wanawake, na kuwasihi wazazi kuwapa watoto wao wa kike mafunzo ya sanaa ya mapigano (martial arts) tangu wakiwa wadogo ili wajue jinsi ya kujilinda dhidi ya wanaume.

Vanessa alisisitiza kuwa tabia hiyo haibagui, akidai kuwa wanaume wote ni sawa, iwe ni baba, kaka, mjomba au binamu wa msichana.

Kauli hiyo imepokelewa kwa hisia mseto na hasira kwa watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii, ambapo watumiaji wengi wamemkosoa kwa kuvuka mipaka na kumkumbusha kuwa Kauli hiyo inamgusa hadi baba yake mzazi, kaka zake, na wanaume waliowahi kuwa wapenzi wake.

Baadhi ya watu wameenda mbali zaidi na kuitaka Mamlaka ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) imchukulie hatua kwa kutoa lugha ya kashfa na uchochezi.

Ila, baadhi ya watu wamemtetea wakisema kuwa huenda kauli yake imetokana na hasira au majeraha ya kihisia kutokana na ukatili wa kijinsia unaoendelea kushuhudiwa katika jamii.

Habari hii inaendelea kushika kasi huku wengi wakisubiri kuona kama mrembo huyo ataomba radhi au atashikilia msimamo wake.

IMG-20260922-WA0007.jpg

IMG-20260922-WA0006.jpg
 
View attachment 3676029
View attachment 3676028
Ukiachilia mbali story yenu hiyo ukweli ni kwamba analipa, chombo mwanana kabisa kinafaa kwa kurumangia.
Screenshot_20260923_104226.jpg
Screenshot_20260923_104235.jpg
 
Wanyama- anamanisha cruel
Katili
Labda amepitia manyanyaso ndio maana mtazami wake juu ya wanaume uko hivyo

Hajamaanisha ng'ombe,mbuzi nk
 
Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'.

Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana kukasirishwa na matukio ya ukatili wanayofanyiwa wanawake, na kuwasihi wazazi kuwapa watoto wao wa kike mafunzo ya sanaa ya mapigano (martial arts) tangu wakiwa wadogo ili wajue jinsi ya kujilinda dhidi ya wanaume.

Vanessa alisisitiza kuwa tabia hiyo haibagui, akidai kuwa wanaume wote ni sawa, iwe ni baba, kaka, mjomba au binamu wa msichana.

Kauli hiyo imepokelewa kwa hisia mseto na hasira kwa watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii, ambapo watumiaji wengi wamemkosoa kwa kuvuka mipaka na kumkumbusha kuwa Kauli hiyo inamgusa hadi baba yake mzazi, kaka zake, na wanaume waliowahi kuwa wapenzi wake.

Baadhi ya watu wameenda mbali zaidi na kuitaka Mamlaka ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) imchukulie hatua kwa kutoa lugha ya kashfa na uchochezi.

Ila, baadhi ya watu wamemtetea wakisema kuwa huenda kauli yake imetokana na hasira au majeraha ya kihisia kutokana na ukatili wa kijinsia unaoendelea kushuhudiwa katika jamii.

Habari hii inaendelea kushika kasi huku wengi wakisubiri kuona kama mrembo huyo ataomba radhi au atashikilia msimamo wake.
Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'.

Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana kukasirishwa na matukio ya ukatili wanayofanyiwa wanawake, na kuwasihi wazazi kuwapa watoto wao wa kike mafunzo ya sanaa ya mapigano (martial arts) tangu wakiwa wadogo ili wajue jinsi ya kujilinda dhidi ya wanaume.

Vanessa alisisitiza kuwa tabia hiyo haibagui, akidai kuwa wanaume wote ni sawa, iwe ni baba, kaka, mjomba au binamu wa msichana.

Kauli hiyo imepokelewa kwa hisia mseto na hasira kwa watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii, ambapo watumiaji wengi wamemkosoa kwa kuvuka mipaka na kumkumbusha kuwa Kauli hiyo inamgusa hadi baba yake mzazi, kaka zake, na wanaume waliowahi kuwa wapenzi wake.

Baadhi ya watu wameenda mbali zaidi na kuitaka Mamlaka ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) imchukulie hatua kwa kutoa lugha ya kashfa na uchochezi.

Ila, baadhi ya watu wamemtetea wakisema kuwa huenda kauli yake imetokana na hasira au majeraha ya kihisia kutokana na ukatili wa kijinsia unaoendelea kushuhudiwa katika jamii.

Habari hii inaendelea kushika kasi huku wengi wakisubiri kuona kama mrembo huyo ataomba radhi au atashikilia msimamo wake.
View attachment 3676029
View attachment 3676028
Kisayansi viumbe wa duniani kuna KINGDOM jumla 5, binadamu(mwanaume) yupo KINGDOM ANIMALIA, kwahiyo ni kweli mwanaume ni mnyama.
 
Sio kweli, mbona wewe ni binadamu? Baba angekuwa mnyama si angezaa mnyama?
 
Mapenzi yashamtandika bakora huyu sasa ni muda wa milio tu
 
kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'.
Wote?
Meaning hata baba ake ni mnyama??

Ila Toto mashaallah, hakika anafaa kwa matumizi. Mwambieni avuke mpaka azame ndani ya Tz chap
 
Mental health

Kachezewaaaa…. Kaachwa!!
 
Huyu lazima tu utotoni alipitia ukatili wa kijinsia kutoka kwa mtu wa karibu yake. Binafsi ninamhurumia badala ya kumhukumu.
 
Back
Top Bottom