Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Kama huyu

There you have it!

IMG-20160823-WA0013.jpg
 
Hata Presidaa watu huwa wanamkatia macho sana
 
Mmmmh Kama huyo nikikutana naye siwezi mtizama twice... maana aina hii ni wachokozi tu

Miguu yake ya ukweli!

Chura naye kakaa vyema.

Halafu sijui ni shombeshombe....

Kila nikiona shombeshombe huwa namuwaza Kisura wangu....
 
jamaani thio vizuri kutamanishana,
yaani huyu mbeibe anaweza nishawishi nisiandamane siku ya kupatwa jua,
View attachment 386564
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

na leo usiku lazima nimuote,

Hahahahahahahaaa the power of a woman..... Utaona mwanaume mwenyewe anajipeleka yeye na make.nde yake na iila kitu chake utasema mbwa amfatavyo chatu hahahah
 
Rudi tena kwenye uchunguzi Wako kupitia wanaume sio watoto wanojifunza mahusiano. Bandiko lako linadhihirisha wanaume hujawajua ispokua unawajua ni watoto wanaojifunza mahusiano na wanawake. By the hivi ni kweli manamke aliyevaa dira/dera iwapo ana tako linaonekana kiasi cha kustua hisia za mtazamaji kweli au ni dira la aina gani hilo? Jipange upya, halafu rudi tena bila kukurupuka kama vile unawahi msalani
 
Hahahahah, hata mavi ukinya kama siyo chooni lazima uyatizame ni kawaida tu, wewe ndo ulikuwa unatake negatively.
Tena hata kama unapita tu ukasukia nzi wanang'ong'a huridhiki hadi utafute uyaone kisha Mmmmmmh! ndiyo unarnda zako na kugeuza shingo fasta!
 
yaaani kwa mbeibe kama huyu lazima udenda ukutoke,

yaaani toto limekamilika kila idara,

yaani huyu mbeibe hata akiny@ anakuny@ mikate,

Duuh mnakamatikaga pabaya.... basi hapo mdada anasikia rahaa midume inafurukuta huko nyuma kwa ajili yake heheheheheh.... Kweli mmeumbiwa mateso. ... hapo huyo dada ataringa weeh hadi uje umchojoe akili ishakuruka hata ukipigiwa kelele la mwizii unasema wacha aibee ila wewe hadi urushe wazungu ndo utaanza kufukuza mwizi hehehe.
 
yaani huyo mwizi nitamsemehe wacha aniibie mpaka vijiko nitanunua vingine,

lakini kukatisha starehe na toto kama hilo nitashindwa, maana kama ni mechi itakua "el classico"
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Hahahahahahaa I can emagine....
 
haya mambo haya, hivi toto kama hilo unapata wapi ujasiri wa kutokumhonga ka salary kako kote,

Hahahahahaa baba ubaya utaua watoto..... baki za walau hela ya kauzu na matembele hata daktari ameshauri wakila mlo huo pamoja na dona watakuwa na akili darasani kisha inayobaki yote deposit kwa mamsap huyo upande raha hahahah maisha bana..... ukikuta wanaume waliokamatika wanafarijiana utawasikia..... maisha yenyewe ndo haya tunayaishi acha tuponye roho zetu huku tunaziangamiza hahahah
 
Back
Top Bottom