Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Sasa nikiona hivo macho kuyabandua hapo ni tabu kidogo...MPINI kuna wakati unafyatuka vibaya inabidi uupachike katikati ya mkanda na tumbo hapo kidoogo una epuka aibu
Sasa nikiona hivo macho kuyabandua hapo ni tabu kidogo...MPINI kuna wakati unafyatuka vibaya inabidi uupachike katikati ya mkanda na tumbo hapo kidoogo una epuka aibu
Duh! basi ndio fahari ya macho tena hiyo haifilisi duka. Mwenzio anapata tabu kuu control MPINI ulio fyatuka penye ala yake.Sasa nikiona hivo macho kuyabandua hapo ni tabu kidogo...
Ah watoto wa kizungu hao?Mbona hata wanawake wapo wengi tu ambao husuuza macho!
Hakuna sehemu ambayo nikienda na wawepo wanawake halafu wasinikatie shingo.
Si gym..si ofisini..si mall...popote pale niendapo lazima huwa nakamata kadhaa wanaonikatia shingo.
Kusuuza macho ni asili ya binadamu.